International Forum

News and Stories from rest of the World
Ukraine ilipiga kambi mbili za Urusi nchini urusi mamia ya maili kutoka mpaka wake kwa kutumia drones za enzi za Usovieti za Tu-141 zilizofanyiwa marekebisho. Marekebisho hayo yanaonyesha uwezo...
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Moja kwa Moja kwenye mada. Kama ilivyo Ada Dunia inazidi kuwaamini wanawake huku Marais wa Kiume wakionekana Ni mafisadi wasiojali. Hii inajili baada ya Bunge la Peru kumuondoa Madarakani Rais...
1 Reactions
7 Replies
482 Views
Serikali imetangaza ni tukio la kwanza la kunyongwa hadharani kwa Mohsen Shekari aliyekutwa na hatia ya kufanya uhalifu ikiwemo kumshambulia Askari kwa Kisu na kufunga Barabara Adhabu hiyo...
0 Reactions
5 Replies
959 Views
Notice to Moderators:This is an important post to Tanzanians and all of humanity,please let everybody read it.Do not accept to be used as a tool in the evil being carried out against humanity...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Wanachama wa mtandao wa majambazi na makundi yenye uhusiano na shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamenyongwa alfajiri ya leo nchini Iran. Vyombo vya habari rasmi vimesema kuwa...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Piga ua Zaragaza zika fukua Volodymyr Zelenskyy rais wa Ukraine lazima awe Times Person of the year 2022. Tutamlaumu Putin kwa kumkosesha Mwamba Freeman Mbowe hii nafas. Ilishapangwa na Ilibidi...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja. Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Baadhi ya watu wanakula chakula cha wanyama wafungwao 'Pet' wakati wengine wanajaribu kupasha chakula kwenye radiator. Haya yamesemwa na Mark Seed, mkurugenzi wa mradi wa chakula cha jamii huko...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Bunduki aina ya machine gun iliyosheheniwa kwenye juu ya gari inatumika kufanya mauaji kwa raia, serikali inapambana kumpigania "mungu" wa kiislamu kwa kuua wananchi.
6 Reactions
79 Replies
5K Views
Wana wamembip tu wala hajaguswa vizuri tayari keshaanza kuita vikao ndani kwa ndani, baada ya kambi za ndani ya Urusi kulipuliwa tena ndani kabisa mleee! Alishasema Urusi ikishambuliwa atafanya...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Mashambulizi ya Russia kuharibu miundombinu ya umeme in hatari asema Mayor was Kiev. Kiev mayor warns of ‘apocalyptic’ winter Be prepared to evacuate but don’t panic, Vitaly Klitschko tells...
1 Reactions
3 Replies
840 Views
Msanii huyo wa Afrobeats amekamatwa kwa madai ya ulaghai baada ya mamilioni ya dola yaliyokusudiwa kuwasaidia vijana wasio na ajira kuanzisha biashara kuripotiwa kupotea. Msanii huyo ametajwa...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Mdemokrati Raphael Warnock Amemshinda Uchaguzi wa marudio wa kiti Cha Useneta katika Jimbo lililokuwa na ushindani mkali la Georgia siku ya Jumanne,na kuongeza udhibiti wa Chama chake katika Jimbo...
1 Reactions
4 Replies
605 Views
Putin drives over repaired Crimean Bridge (VIDEO) The strategic landmark was damaged by a massive explosion that Moscow blamed on Kiev President Vladimir Putin visited the Crimean Bridge on...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Aminu Adamu (24) alikamatwa kutokana na ujumbe wa Twitter ambapo anadaiwa kumtuhumu mke wa Rais kwa kutumia vibaya pesa za umma na kushtakiwa kwa kueneza habari za uongo Kukamatwa na mashtaka...
0 Reactions
4 Replies
935 Views
Kuna mliokua mkikejeli madubwana yaliyopelekwa Ukraine ya kulinda dhidi ya drones, mkachekelea kwamba hayana kazi, haya hapa matokeo yake, drones zinapigwa chini hamna hata moja inamudu kupita...
3 Reactions
5 Replies
949 Views
Charles Michel, Rais wa Baraza la Ulaya, amekutana na kuzungumza na Rais Xi Jinping katika ziara yake rasmi nchini China. Katika mkutano huu. Michel alimwomba Xi kutumia ushawishi wa Beijing kwa...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Sheria za kiislamu za wanaume kuhangaika na nywele za wanawake, zitaondolewa na pia kikosi kilichokua kinafukuzia nywele za wanawake kimevunjiliwa mbali....labda hii itapunguza maandamano maana...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Hapo juzi mataifa ya G7 yakiongozwa na Marekani yalipitisha azimio la kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya kutoka Urusi. Katika mpango huo nchi hizo zimekubaliana kuwa bei ya mafuta ya Urusi isizidi...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Safari ya kufika Crimea bado iko pale pale, Zelensky ametembela eneo la Sloviansk ambalo lilikua limekaliwa na Warusi tangu 2014 na sasa lipo mikononi mwa wazalendo wa Ukraine. Vita kwa sasa...
0 Reactions
5 Replies
810 Views
Back
Top Bottom