Pichani chini ni bwana Kelvin Johson(37) akiwa na mama, binti yake na mjukuu wake Ikaus. Ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji kwa kutumia silaha anayetarajia kunyongwa wiki ijayo, siku ya jumanne Nov...
Wakati dunia tuko mwaka 2022, Dubai wanataka kutonyesha kuwa wao wako mbele ya muda, wanaishi ‘future’ yetu.
Wataalamu wa mambo wanasema Dubai ni kama tayari wanaishi mwaka 3000, kwa maana Dubai...
Sifa za hii ndege ni za kiajabu ajabu, kitengo cha wana hewa (airforce) kitaagiza 100 kama hizi, zina uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi tena bila rubani na zitashambulia kwa silaha kali ikiwemo...
Wakuu, katika pitapita zangu kwenye vyombo mbalimbali vya habari,nikifuatilia sakata linaloendelea Kati ya urusi na taifa Jirani yake ( ukraine).., nimegundua kitu kwamba waafrika tusiendelee...
Wazalendo wa Ukraine wanaendelea kudhihirisha walivyo balaa, Urusi ilijipigia kura na kusema italinda hayo maeneo kwa namna yote, ila hilo halijawa tishio kwa hawa vijana wa Ukraine, wanaendelea...
Ramaphosa maji yamemfika utosini. Anytime anakwenda kujiuzulu ama ANC wamvue urais wa Chama (ambapo atakua amepoteza sifa za kuwa Rais wa Afrika Kusini). Tusubiri kukuche.
NB: Hii ndio demokrasia
Moja ya madai ya hao kuruta wa kirusi ni vifaa duni vya kijeshi walivyopewa🤔
.....
Mobilised Russian soldiers preparing for the war in Ukraine appear to have enough poor equipment and training as...
Aliyekuwa mkuu wa kijasusi nchini Afrika Kusini Arthur Fraser amemshutumu Rais Cyril Ramaphosa kwa utekaji nyara na rushwa katika kesi ambayo ameisajili kwa polisi. Amesema kesi hiyo inahusiana...
1. Sayings of Prophet ﷺ in every corner promoting the beauty of Islam.
2. In hotel rooms, there is a barcode that introduces the teachings of Islam, hadiths, and a simple definition of our faith...
Baada ya Rais wa France, Emmanuel Macron kutapika nyongo kuwa ; Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi"
Naye Rais wa Baraza la Ulaya...
Serikali ya Kijeshi imechukua maamuzi hayo kwa madai kuwa kituo hicho kimetangaza taarifa za uongo na kuwapa nafasi Waasi wa Kiislamu kusikika kwenye matangazo yao.
Pia, Jeshi limesema RFI...
Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari"
Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya...
Kwa zilivyomlemaza Mrusi, zinahitajika kote, hata Waarabu watazihitaji sana na kuhama utegemezi wao kwa Urusi...
The Estonian government on Saturday announced the purchase of U.S. HIMARS multiple...
Nchi za Magharibi zinapaswa kuimarisha ulinzi huku mzozo wa Ukraine ukiendelea, Waziri Mkuu Sanna Marin amependekeza
Nchi za Ulaya zingekuwa katika hatari sasa kama isingekuwa kwa Marekani kubeba...
Senate passes same-sex marriage bill with bipartisan support
By Brianna Herlihy
Published November 29, 2022
The U.S. Senate passed the Respect for Marriage Act Tuesday in a bipartisan vote of 61...
Washindi mara nne wa Kombe la Dunia walitoka katika hatua ya makundi nchini Qatar
Kuondolewa mapema kwa Ujerumani kutoka kwenye Kombe la Dunia la FIFA nchini Qatar ni "kufeli sana" kwa taifa...
Marekani na washirika wake wa NATO waliiandaa Ukraine kupambana na Urusi toka 2014! Wamewekeza sana kupita kiasi walichotazamia lakini hadi kufikia muda huu hawaoni dalili za kuiangiusha Urusi...
Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari"
Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya...
Baada ya Ukraine kuchakazwa na makombora na drones za urusi, Marekani inajinasibu kuwa itapeleka huko ulinzi wa anga /air defenses wa kiwango cha juu ili kulinda anga la ukraine dhidi ya...
Mkurugenzi wa FBI, Chris Wray amesema mtandao wa kijamii wa China TikTok umeanza kuwatia "wasiwasi wa kuhusu usalama wa taifa la Marekani.
Akizungumza katika hafla katika Chuo Kikuu cha Michigan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.