International Forum

News and Stories from rest of the World
The U.S. Air Force will roll out its new B-21 stealth bomber the first week of December, the service's top weapons buyer said Tuesday. Andrew Hunter, the assistant Air Force secretary for...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Serikali -ya -Rwanda -imedaiwa -kuwazuia -kupita -nchini -humo -baadhi -ya -askari -wa -jeshi -la -wananchi -wa -Tanzania -(JWTZ) -waliotoka -kukisambaratisha -kikundi -cha -waasi -wa -M23...
3 Reactions
264 Replies
43K Views
Vita vya Ukraine: Urusi yataka maeneo iliyonyakuwa Ukraine kutambuliwa kabla ya mazungumzo Rais Putin aliteka mikoa minne ya Ukraine kinyume cha sheria mwishoni mwa mwezi Septemba.Image caption...
0 Reactions
6 Replies
872 Views
Ursula von der Leyen alitoa makadirio hayo, na kuongeza kuwa takriban maisha ya raia 20,000 pia yamepotea. Rais wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amewasilisha jumla ya idadi ya hasara...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Urusi baada ya kuishiwa mbinu na kupoteza wanajeshi wengi wamekosa njia wameamua kujaribu vitisho vya kijinga, wanatuma viungo vya wanyama hususan macho kwenye vifurushi kwenda kwa balozi za...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
DRC vitu vimepanda bei hususani katika mji wa BARAKA. Ambapo unga umepanda kwa ghafla. ==== The current occupation of the towns of Rutshuru and Kiwanja by M23 rebels has had a severe impact on...
0 Reactions
2 Replies
502 Views
Jumuiya ya Ulaya inasema tayari imetoa ufafanuzi wa taarifa hiyo. Jumuiya ya Umoja wa Ulaya inasema "hakuna haja ya kuomba msamaha" kwa Ukraine kwa kauli ambayo sasa imefutwa iliyotolewa na rais...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
"Nimeshiriki mazungumzo ya amani ya Congo DR na hata kushauri mambo mema ila nasikitika mwenzangu hataki kuwajibika kwa upande wake." "Wanasema Rwanda inaipiga Congo DR ila hawasemi wala hawaoni...
9 Reactions
49 Replies
4K Views
Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani.
0 Reactions
6 Replies
706 Views
BAADA YA WAZUNGU(EU) KUANZA KUIJADILI IRAN KUHUSU DRONE...IRAN YAMBWELA YAOMBA MAZUNGUMZO NA UKRAINE WAVAA KOBAZ NA MADERA POVU RUKSA Ukraine has been vocal about the purported use of Iranian...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Warusi wanaendelea kutumika kama vipande vya nyama za kutumbukizwa kwenye "meat grinder", makundi baada ya makundi wanapelekwa na kufyekwa Ukraine, sasa habari zimeanza kujitokeza kuwa Urusi...
1 Reactions
18 Replies
952 Views
Muuza duka anaonesha sahani ya mchuzi wa pilipili wa Harissa katika soko huko Tunis, Tunisia. Mchuzi wa Harissa unaotengenezwa kwa pilpili umewekwa katika orodha ya urithi wa dunia na Shirika la...
1 Reactions
1 Replies
657 Views
Massata Samb aliyekuwa akitoa hotuba Bungeni alisitisha na Kwenda kumshambulia Amy Ndiaye Gniby kwa kumpiga kichwani, Gniby akajibu mapigo kwa kumrushia kiti Samb. Licha ya Wabunge wengine...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
"Ni muhimu kuheshimu masuala makuu ya kila mmoja na maslahi yake ya msingi, hasa mamlaka, uhuru na umoja wa kitaifa na kuacha kuingilia mambo ya ndani ya kila mmoja, ili kuhifadhi kwa pamoja...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Mapema leo, akiwa ziarani nchini humu kuimarisha uhusiano katika nyanja ya elimu, utamadan n.k, Bi.Auxillia Mnangagwa alitembelea Chuo Kikuu kijulikanacho kama "Russian State University for the...
1 Reactions
2 Replies
591 Views
Vijana kutoka nchi 8 za Afrika wameongea na wanaanga wa China walioko kwenye Kituo cha Anga ya Juu Tiangong kwa njia ya mtandao. Wanaanga hao wakiwemo Chen Dong, Liu Yang na Cai Xuzhe wamejibu...
1 Reactions
5 Replies
821 Views
Habari wadau.. Licha ya Taifa la Ghana Kukumbwa na shida kubwa ya madeni na mfumuko mkubwa wa maisha ila Taifa Hilo linaendelea kukaza kwa kujenga miundombinu ya gharama na viwango vya Juu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Malawi imeanza kampeni kubwa ya chanjo ya watoto wachanga dhidi ya Malaria ambayo ni kampeni ya kwanza kabisa duniani, mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Dk Neema Kimambo amesema...
0 Reactions
9 Replies
753 Views
Elon Musk amesema Kampuni ya Apple imesitisha matangazo yake mengi kwenye mtandao wa Twitter na kuishutumu kampuni hiyo kwa kutishia kuiondoa Twitter kwenye program zake. Mzozo huo umeibuka baada...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Zambia ambayo inakabiliwa na wimbi la tatu la Virusi vya Corona imesema maeneo ya starehe ikiwemo baa na casino zitafungwa kwa siku 14, ili kupunguza kasi ya maambukizi ya Ugonjwa huo. Wiki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom