Inadaiwa endapo kama ndege za marekani zitafuta Safari zake kwenda China basi hasara watakayoipata kwa mwaka inakadiriwa kufika dola bilioni hamsini(50billion USD).
Chanzo: China center, US...
Wachina ni watu ambao ni risk takers, baada ya Wamarekani kuondoka afghanistan, wajasiriamali kutoka China wamekuwa wakikimbilia huko wakidai kuwa Afghanistan kwa sasa ni kama China ilivyokuwa...
Waziri wa Mazingira, Adam Aw Hirsi amesema amenusurika katika tukio hilo lililotokea katika Hoteli ya Villa Rose inayotumiwa mara nyingi na maafisa wa juu wa Serikalini.
Inadaiwa kuwa Waziri wa...
Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yalifanyika jana mjini Xiamen, na kuvutia zaidi ya wanafunzi 1,000 wa shule za msingi na sekondari kutoka kila sehemu ya jiji hilo kushiriki...
Mamia ya waandamanaji wanazidi kukabiliana na Polisi kwa kupinga Sheria kali zilizowekwa na Serikali ili kudhibiti hali ya mambukizi mapya yanayorejea tena nchini humo
China bado imeweka Sheria...
Katika vita inayoendelea Kati ya taifa la URUSI na UKRAINE' mataifa ya ulaya na marekani yamekuwa yakiisaidia ukrane Kwa kulani uvamizi huo,na pia Kwa kuiwekea URUSI vikwazo vya kiuchumi.
Hivyo...
Wizara ya Ulinzi ya Russia: Wamarekani wametengeneza virusi vipya vya corona
Nov 27, 2022 06:54 UTC
Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa: Chuo Kikuu cha Boston cha nchini Marekani...
Maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China
Wakati hali ya hewa katika Uwanja wa Ndege wa Yaohu huko mjini Nanchang ikiwa nzuri, maonyesho ya safari za ndege yalifanyika kwa siku ya...
Niliwahi kuandika humu kwamba hapa JF asilimia 90 ya wanaomuunga mkono Putin ni Waislam na nikatoa na sababu ila moderators walifuta ule uzi.
Wengi wanaamini hivyo kwamba Putin analipiza madhira...
Waziri wa fedha, Samuel Tweah amesema Rais George Weah "anastahiki" posho ya kila siku ya $2,000 sawa na Tsh. 4,660,000 wakati wa safari yake ya Nje ya Nchi iliyoanza Novemba 1 hadi 23...
Yaani naangalia watu wanaodharau USA na EU ni matakore kabisa , Misaada ya chanjo kama vile Ndui, Pepopunda , Kifua kikuu , Kifaduru . Pneumonia zote zinatoka kwao na ni misaada ni bure watoto...
Rais na mwanaye kama makamu waendelea kuongoza Equatorial Guinea, Rais huyo mwenye umri wa miaka 80 ndiye anaongoza duniani kwa kushikilia madaraka kwa muda mrefu kwenye hiyo nchi yenye umaskini...
Baadhi ya benki za Marekani ambazo hazitaki tena wateja kuweka akiba
Benki zaomba wateja wake kuweka akiba zao kwingineko.
Baadhi ya benki tayari zimeanza kukataza wateja wake kuweka pesa zao...
Base ya Marekani iliyopo Syria imeshambuliwa na makombora [emoji1787]
LIVE
26 Nov, 2022 01:12
HomeWorld News
Missiles strike US base in Syria – Pentagon
The incident comes amid Türkiye’s...
Kundi la waasi la M23 siku ya Ijumaa lilikaidi wito wa kusitishwa kwa mapigano, likitaja mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa jeshi la Kongo, FARDC, lakini wakaomba kukutana na mpatanishi wa...
Polisi katika kituo kimoja huko india Wamewalaumu Panya kwa kuharibu kilo 200 za bangi iliyokuwa imetunzwa kama ushahidi wa kesi ya jinai.
Mahakama ilinukuu kauli tatu za kesi zibazofanana na...
Imeelezwa kuwa panya hao wamekula bangi hizo zilizokamatwa kama ushahidi kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa kwenye Kituo cha Polisi.
Maelezo hayo yametolewa Mahakamani wakati kesi tatu za bangi...
Wakuu,
Hili swali linanitatiza Sana.
Tumeona kwenye Hizi Vita zinazoendelea,
Nchi mbali mbali zikitumia mifumo ya kulinda anga na kudungua makombora.
Nilichoona kweny Hizi airdefence nyingi Ni...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesifu uhusiano "bora" na kati ya nchi yake na Uchina alipotoa kwa mara ya kwanza hotuba kwa Taifa katika jengo jipya la Bunge lenye thamani ya mamilioni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.