Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki.
Siku ya Ijumaa Idara Kuu ya Mahusiano ya Umma...
Ninachofahamu "hatishiwi nyau". Marekani kudai kuwa kama China ikiamua kuichukua Taiwan kwa nguvu, iko tayari kuipigania taiwan kijeshi ni uongo na ndoto za mchana!! Marekani haina kabisa ubavu...
Marekani imekanusha tuhuma zinazosambaa mitandaoni kuhusu kusambaza virusi vya "Monkey pox" kupitia maabara zake zilizoko nchini Naijeria ubalozi wa mareakani nchini Naojeria umeeleza
FUATILIA...
Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na vikundi mbalimbali Nchini Mali kuanzia Januari hadi Machi, 2022.
Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imeelea kuwa hali...
Six million Canadians detained in largest prison in the World.These are voices which need to be heard.
Luma Catherine Malone
I am one of over 6 million Canadians who are currently forbidden to...
Akiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya...
Wali ni mwanajeshi mstaafu wa kikosi maalumu cha Jeshi la Canada (The Royal 22nd Regiment). Baada ya Zelensky kuomba msaada wa wapiganaji toka Duniani kote, Wali aliamua kuitikia wito huo.
Vyombo...
Baada ya wiki kadhaa za majadiliano, Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kukata 90% ya Uagizaji wa Mafuta kutoka Urusi kufikia mwisho mwa Mwaka huu. Imeelezwa kuwa, uamuzi huo utakata...
Mei 29, mchoro maarufu wa Leonardo da Vinci "Mona Lisa" kwenye Jumba la Makumbusho la Louvre huko Paris, Ufaransa, ulitupiwa keki na mwanaume mmoja aliyejifanya kuwa mwanamke mzee mlemavu...
Mkuu wa Kanisa la Methodist Nchini Nigeria, Samuel Kanu pamoja na mapadri wawili wametekwa wakati walipokuwa wakirejea kutoka kwa shughuli za la kanisa.
Tukio limetokea Mei 29, 2022 katika Jimbo...
Baada ya kushupaza shingo kwa miezi kadhaa kuhusu kulipia gesi kwa sarafu ya Ruble, mwisho aa siku Ujerumani imetababahi kuwa haina msuli wowote wa kususia au kuacha kutumia gesi ya Russia...
Kama sio Airbus, utatumia Coca-cola au Pepsi, utakwepa huko utakamatwa Kwenye Colgate. Haya utakimbia iphone lakini utabanwa Kwenye fb, insta, Whatsapp. Kama uko kijijini, una kitorch Cha mchina...
Tarehe 30 mwezi Mei, 2022, huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), kuna mgahawa ambao hutoa vitafunio, keki na vyakula vingine kwa mbwa wanaofugwa.
Wamiliki wa mbwa hupeleka wanyama wao...
When White House staffers Joe Mahshie and Brian Mosteller tied the knot yesterday (Aug. 1), US vice president Joe Biden officiated, at their request. The small wedding ceremony took place in the...
Tarehe mosi, Juni ni Siku ya Watoto China. Watoto ni maua ya nchi na mustakabali na matumaini ya taifa. Kutoka "Vijana wafanye kazi kwa bidii maishani, wasiwe wavivu wa kupoteza muda" hadi...
Yeah, yeah, we’ve heard that before. 1944, the alleged “Wunderwaffen” of the Nazis. Didn’t work then, won’t work now. It’s propaganda directed at the Russian population, drawing attention away...
Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Frédéric Leclerc-Imhoff (32) ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Ukraine. Leclerc-Imhoff alikuwa akifanya kazi katika Shirika la habari la BFM TV na alikuwa nchini...
25 May 2022
Pretoria, Gauteng
Republic of South Africa
The EFF commits to fight tooth and nail the "micro management" of African affairs by France
The EFF has committed to fighting tooth and...
Rais Putin jana alisema Urusi inapanga kuuza nje chakula na mbolea ili kutoa mchango katika kukabiliana na msukosuko wa chakula duniani, lakini sharti lake ni kuwa nchi za magharibi zitaondoa...
Serbia ni mojawapo ya nchi za Ulaya na ambayo ilifanya maombi ya kujiunga na Umoja wa Ulaya mwaka 2009. Majadiliano yake na EU kuhusu kukubaliwa uanachama yanaendelea na inategemewa kupewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.