International Forum

News and Stories from rest of the World
Huyu kichaa ataachiwa apigane mwenyewe.... Kuna wanajeshi wameamua liwalo na liwe hawapigani. _________________ More Russian soldiers refuse to fight in Ukraine Prepared to face consequences...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa kike Debora Samuel (baadhi ya taarifa kaitwa Debora Yakubu) wa chuo cha elimu cha Shehu Shagari kilichopo Sokoto state nchini Nigeria ameuwawa na wanafunzi wenzake kwa kupigwa mawe...
4 Reactions
211 Replies
12K Views
Wizara ya Usafirishaji na Miundombinu Nchini Uchina imezipiga Marufuku ndege za Urusi Aina ya Boeing na Airbus Kupita kwenye Anga la China kwasababu za Kiusalama. Hii inakuja baada ya Shirika la...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Narudia tena kuuliza...wazungu wanaajenda yao kwenye mzozo wa Ukraine au ni ubinaadamu tu wa kupinga Ukraine kuonewa? Hatimaye waziri mkuu wa uingerezani Bwana Boris naye anamtazamo kama wa USA...
2 Reactions
10 Replies
763 Views
Kwa mtazamo wangu nilipenda Sana dunia ipate machungu Kama wananchi wa Ukraine wanavyopata machungu ,Jambo moja ambalo dunia haitambui tatizo lingekwisha kitambo Sana endapo Ukraine ingeamua...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Marekani imetakiwa kuhakikisha inawezesha kiuchumi suala la ulinzi wa shule za taifa hilo badala ya kutumia fedha nyingi kuisaidia Ukraine katika vita yake dhidi ya Urusi. Ushauri huo umetolewa...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Vikosi vya Urusi vimeshambulia zaidi ya miji 40 katika maeneo ya mashariki huko Donbas na Luhansk, jeshi la Ukraine lilisema. "Wavamizi walifyatua risasi katika miji zaidi ya 40 katika mkoa wa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
WHAT IS MONKEY POXY DISEASE?# A pandemic disease!!!!& THE ONES WHICH MAKE HEAD LINES IN CNN AND OTHER TELEVISION CHANNELS IN THE WORLD. Tap the link below for more information from WHO Monkeypox .
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Mahakama imemhukumu Mwanajeshi wa Urusi, Vadim Shishimarin kifungo cha maisha jela kwa mauaji ya Raia. Hii ni kesi ya kwanza ya uhalifu wa kivita tangu vita kati ya Urusi na Ukraine kuanza...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Raia kadhaa wanaripotiwa wameuawa na wapiganaji waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) katika kijiji cha Beu Manyama, Beni, jimbo la Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
1 Reactions
3 Replies
936 Views
Wengi wanaendelea kuasi na kujiunga kwenye hili vuguvugu, wakiwemo makamanda kabisa, wameona hamna haja ya kuendelea kuteseka kwenye njaa huku wakitumia zana ambazo zenyewe nyingi zimeharibika au...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Baada ya ugiriki kukamata meli ya mafuta ya Iran na kumkabidhi USA. Iran imejibu mapigo kwa kukamata meli mbili za ugiriki ambazo zilibeba mafuta katika ghuba ya uajemi. Ugiriki yalaani vikali...
19 Reactions
100 Replies
7K Views
Naomba nijue ukweli kwenye JamiiForums wengine wanasema Urusi ni nchi maskini hata Jimbo moja la marekani linazidi nchi kubwa duniani kiuchumi ambayo ni Russia. Kama Ni hivo kwanini marekani na...
11 Reactions
82 Replies
6K Views
Rais wa Uturuki,Recep Tayyip Erdogan amesema nchi Yake itapiga kura ya hapana kwa nchi za Finland na Sweden kujiunga na NATO. Hilo litakuwa Pigo Kubwa kwa Finland na Sweden na mwisho wa matumaini...
9 Reactions
59 Replies
4K Views
Ukitilia maanani ushauri wa Henry Kissinger na kusikia kauli za kukata tamaa kwa viongozi wa Ukraine utaona ya kuwa Ukraine imeishiwa nguvu na haina tena wa kuisaidia. Hii inaweza ikawa ni habari...
13 Reactions
83 Replies
6K Views
Kampuni ya Twitter nchini Marekani mapema wiki hii, imepigwa faini ya Tsh. bilioni 349,050,000,000 sawa na dola Milioni 150 za Marekani, baada ya kudaiwa kutumia kinyume cha sheria taarifa za...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukraine imeikashifu sana ujerumani. Kisa ni kwamba ukraine iliiomba ujerumani msaada wa silaha nzito za kurusha makombora lakini mpaka sasa ujerumani haijatekeleza japo milikubali. Sasa ukraine...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kauli hiyo imetolewa leo hii na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz wakati akihutubia kwenye kongamano la kiuchumi la dunia huko Davos. Kauli hii inamuacha Putin na wakati mgumu sana, ukizingatia...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Baadhi ya wanaomuunga Mkono Rais Faustin-Archange Touadera wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) wameshauri Katiba kubadilishwa na kuondoa ukomo wa Ugombea Urais, ili aendelee kuwania nafasi hiyo...
0 Reactions
4 Replies
786 Views
Utelezi huu hata anaanguka. Msikilize huyu Senator Rand Paul anavyomkwamisha Joe Biden kupeleka msaada Ukraine rand paul $40b ukraine aid package
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom