Mwanamuziki nchini katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria la Kano amehukumiwa kifo kwa kunyongwa kwa kumkufuru Mtume Mohammad
Mahakama ya juu ya kiislamu inayotumia Sharia katika eneo la Hausawa...
Rais wa Umoja wa Ulaya (EU) Ursula von der Leyen kapindua msimamo wake alioutangaza hapo kabla kuhusu EU kususia mafuta ya Russia. Mwanzo EU walikusudia kususia mafuta ya Russia ili Russia akose...
Marekani yaripoti kupitia the Washington Post kuwa wale wapiganaji wa kigeni toka nchi za magharibi ikiwemo Marekani, Ujerumani na Canada wanakimbia kwa wingi toka uwanja wa vita (Ukraine) na...
Tangu uvamizi wa Russia nchi Ukraine uanze Pro-Putin/Russia naweza kuwagawanya katika makundi matano
1. Wanaozungumzia huu uvamazi wa Urusi kwa upande wa Historia ila bahati mbaya historia...
Nigeria imetangaza kuwa na visa 21 vya Ugonjwa wa MonkeyPox katika majimbo 9, ambapo mtu mmoja amefariki Dunia, ripoti hiyo ni kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Nigeria (NCDC)...
Raia wa Australia Michael O'Neill mwenye miaka 47 ameuawa nchini Ukraine pamoja na wanajeshi kadhaa wa Ukraine baada ya kupelekewa moto mkali wa mvua za makombora na mizinga ya majeshi ya Russia...
Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk...
Siweki maneno yangu, kasome mwenyewe au tafuta vyanzo vyako.
Hayo mafuta yanaelekea Marekani kwa sasa
Tunaanza nyaka na Meli za Urusi
----
U.S. seizes Iranian oil cargo near Greek island -...
Mahakama Nchini humo imemhukumu Abdel Moneim Aboul Fotouh (70) kifungo cha miaka 15 gerezani kwa makosa mbalimbali ikiwemo kusambaza taarifa za uongo na kupanga njama za kupindua Serikali
Fotouh...
Mpaka sasa nchi Nyingi wanachama wa NATO walishaanza kuingiwa na Woga kwamba Marekani Yuko tayari kuwatoa kafara kuliko Kuingia Vitani na Urusi. Baada ya mgogoro wa Ukraine hakuna nchi...
MAZINGIRA YA VITA VYA SYRIA YATUFIKIRISHE .
Kinachotokea Syria kimesababishwa na familia ya rais Bashar al-Assad ambaye ndiye rais wa SYRIA .Kumbuka tokea mwaka 1971 familia ya...
Ndege ya shirika la ndege la Nepal la Tara Air, iliyokuwa ikiruka kutoka mji wa Pokhara kuelekea mji maarufu wa kitalii wa Jomsom, katikati mwa Nepal Mei 29, iliripotiwa kupoteza mawasiliano na...
Mei 29, 2022, Jumba la Makumbusho ya Kasri la Kifalme la Hong Kong
Jumba la Makumbusho ya Kasri la Kifalme la Hong Kong lililoko magharibi mwa wilaya ya kitamaduni ya Kowloon Magharibi...
Kumekucha....Ukraine sasa anapewa nguvu ya kupiga ndani na sio pembeni ya mipaka ya Russia...
Hii vita inaenda kuchukua sura nyingine kwa uwezo anaoenda kupewa Ukraine
1.Swali je Russia atakubali...
Sijui Putin huwaambia nini wazazi wa hawa wanajeshi wanaouawa kama senene.
___________________
KATERYNA TYSHCHENKO - Tuesday, 24 May 2022, 21:46
According to an intercepted conversation of a...
Tarehe 28 mwezi Mei, timu ya madaktari ya kikosi cha 25 cha walinda amani wa China nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) walitembelea Kituo cha kulelea Watoto yatima cha shirika la...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema nchi yake inahitaji silaha zaidi kwa ajili ya kundelea kupambana na Urusi kauli ambayo amesema inalenga washirika wake wenye nia ya kuwasaidia.
Ametoa...
Mabingwa wa kurusha mabomu makubwa ya kudondosha kutoka Syria wametua nchini Urusi ili kuisaidia nchi hiyo katika vita yake dhidi ya Ukraine, watu hawa hudondosha mabomu ya petrol ana chlorune...
Ukraine inalalamika kuwa Russia inatumia silaha nzito mno, TOS-1A Thermostatic Rockets (vacuum bombs), ktk mapigano huko Donetsk.
Kwa mujibu wa Marekani, silaha hizo ni special kwa kuangamiza...
Grandbook haidanganyi, soma kwa makini na uelewe
DANIEL 1:
31 Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.