Huyu supapawa kwa kweli hana la maana, hivi ameingiwa na nini Mrusi, mbona miaka yote tulikua tunamwogopa bure tu...
KHARKIV, Ukraine — Turkey is working to negotiate an exit for the wounded...
Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), leo Ijumaa Mei 13, 2022 limethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Covid-19, ikiwa takwimu za kwanza kutolewa rasmi siku moja baada ya nchi hiyo...
Bunge la Congress la Marekani limepitisha msaada wa Dollar Bilioni 40 Sawa na Tsh Trillion 97 kwa ajili ya msaada wa kijeshi Kwa Ukraine. Msaada huu unakuja ikiwa Ni Ombi la Rais wa Marekani Joe...
Katika muendelezo wa mapambano huko Ukraine tumeona Urusi inavyopata ushindi kwa tabu sana kutokana baadhi ya nchi za magharib kuendelea kumpa siraha rais wa ukraine kitu ambacho kitafanya hii...
Vladmir Putin
Rais wa Russia Comrade Vladmir Putin Amesema Nchi hiyo inakwenda kuwa Nchi Imara na yenye Uchumi Mzito kuliko ilivyo Leo kinyume na Maadui zake wanavyojidanganya.
Putin aliyasema...
The strikes come as President Volodymyr Zelensky warned Putin is running out of time to sit at the negotiating table, as analysts now suggest Ukraine may well win the war in the coming weeks...
Ugaidi wa Kibaguzi Marekani. Biden kasema ni ugaidi. Hii ni baada ya kijana kuua watu kuni huku kuni na moja aliopiga risasi wakiwa na asili ya kiafrika!
Kuweni makini mkiwa huko Marekani...
Rais Vladimir Putin ameahidi kuwa Russia itatimiza kile alichokiita ni "malengo mema" Nchini Ukraine. Amesema mazungumzo ya amani hajapata mwafaka, na uvamizi huo unaendelea kama ilivyopangwa...
A Russian businessman has put a $1 million bounty on Vladimir Putin's head
A Russian investor has put a $1 million bounty on Russian President Vladimir Putin, asking for Russian military officers...
Afghanistan: Viongozi wa Taliban wazozana Ikulu, vyanzo vimeeleza
Saa 3 zilizopita
CHANZO CHA PICHA,AFP
Mzozo mkubwa ulizuka kati ya viongozi wa Taliban kuhusu muundo wa serikali mpya ya kundi...
Magavana wa majimbo manne ya nchini Urusi wamejiuzulu jana wakati huu ambao nchi hiyo ikijiandaa kukabiliana na athari za vikwazo vya kiuchumi kutoka katika Nchi za Magharibi, REUTERS wameripoti...
Russia ijiandae kuzificha meli zake za kivita maana haya makombora ya Blue Spear ni hatari sana kwa usalama wa Meli Vita maana precision, guidance and maneuver yake si ya kitoto.
===
Jerusalem...
Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev ambaye pia ni Mshirika wa karibu wa Rais Vladimir Putin amezionya Nchi za Magharibi, akisema ongezeko la Misaada ya Kijeshi Ukraine linaweza kusababisha...
Lengo la Mmarekani na washirika wake Nato ni kuhakikisha Urusi inafilisika kiuchumi. Na ili hilo lifanikiwe wanataka vita iendelee kwa muda mrefu ili Urusi idhoofike ndio maana tunaona hayo...
Nimeleta uzi huu kuhusisha pande zote mbili za me&ke katika kila pande ichangie uzi huu ni kwanini dada zetu.Ni wachache utawaskia wakidai kinga pindi wanapokutana na wapenzi zao.Nimeliona hili...
Mahakama Nchini Afghanistan imemuhukumu mwanandishi wa habari, Khalid Qaderi kifungo cha jela mwaka mmoja kwa makosa ya kuikosoa Serikali ya Taliban katika mitandao ya kijamii, japokuwa Msemaji wa...
Wakuu Kuna Taarifa Kwamba Sheikh Khalifa Mfalme na Rais wa falme za kiarabu amefariki dunia Leo.
.
Innallillahi Wainaillah Rajiuun
.
Baba yake ni Zayeed bin sultan al nahyan
===
Rais wa Umoja...
Rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 baada ya kusumbuliwa na saratani ya tumbo.
Mtoto wa Banda ameeleza kuwa baba yake amefikwa na umauti Ijumaa Machi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.