Usiku huu Hamas keshaanza kurusha maroketi kuelekea Israel
Ni kujibu mashambulizi ya uchokozi ya Israel
Mfumo wa Iron umefeli kuzuia makombora ya Hamas japo jana walifanikiwa kutungua moja...
Nimekuwa nikijiuliza hali ingekuwaje kama mpambano kati ya Urusi na Ukraine ungekuwa MMOJA DHIDI YA MMOJA na wengine wakawa watazamaji tu.
Ukraine wameshakiri kuwa sehemu kubwa ya silaha zake...
Waziri wa ulinzi wa uturukii bwana HULUS AKAR akiongea JUMATATU asubuh kwenye briefing kuhusiana na kuanza operation Iyo anasema
"Hatutasimama, Tutaendeleza Hii special operation bila kikomo...
Guys does the custodian of the US dollar have in its reserves the currencies of the countries that trade in US dollar.
In other words s there such a thing a a foreign exchange of the scale big...
Dolla ya Marekani ipo hatarini kusambaratika baada ya vita ya Urusi-Ukraine ikiisha. Baada ya Putin kutangaza mali zake zitauzwa kwa pesa yake RUBEL moja kwa moja, pesa hiyo imeimarika baada ya...
Vikwazo vinawaathiri sana mabeberu wakicheza na urusi watazidi kudidimia
KAMPUNI ya huduma ya utayarishaji maudhui mtandaoni ya Netflix yenye makao yake makuu nchini Marekani imepata hasara ya Sh...
Picha ya kwanza juu ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Donetsk bwana Denis Pushilin, Na picha ya chini ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Luhansk bwana Leonid Pasechnik, Jamhuri hizo ni majimbo...
Meya wa Jiji la Moscow Nchini Urusi, Sergei Sobyanin amesema kuwa takriban wafanyakazi 200,000 wa makampuni ya kigeni wanakabiliwa na hatari ya kupoteza ajira zao kutokana na vikwazo ilivyowekewa...
Kipigo cha Iraq wakuu kilikuwa ni cha kikatili sana.
Ziliruka ndege mamia juu ya Anga Siku ya kwanza zikadondosha mabomu kama mvua Baghdad. Hata sisimizi wa Iraq walijua kuna wanadamu katili...
Wanajeshi wawili wamewaua kwa risasi watu 15 katika mashambulizi tofauti mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Wahasiriwa takriban wote walikuwa raia.
Haya yanajiri baada ya watu sita...
Taifa hilo limewataka Wanadiplomasia 31 kutoka Nchi Tatu kuondoka siku kadhaa zijazo. Wizara ya Mambo ya Nje imeagiza Wanadiplomasia 15 wa Uholanzi kuondoka ndani ya siku 14
Agizo hilo pia...
Huu ni mwaka wa 30 tangu China ilipoanza kupeleka vikosi vya kulinda amani kwa nchi za nje. Ikiwa moja ya nchi kubwa zaidi duniani, katika miaka 30 iliyopita, China imetekeleza kikamilifu wajibu...
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwezo wa majeshi ya Iran ni uwezo wa kumzuia adui na kuongeza kuwa, uchokozi hata mdogo zaidi wa maadui kama vile utawala wa Kizayuni wa Israel...
Drone "Gaza" ya Jeshi la Sepah la Iran yafaulu majaribio na kuanza kufanya kazi kikamilifu
Ndege mpya isiyo na rubani ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) iliyopewa jina la Gaza...
Hii ni kauli ya rais wa Ukraine ndugu Volodymyr Zelensky alipokuwa anahojiwa juu ya vita inayoendela kwamba mwamba anaweza kugeukia silaha za nyuklia au za kemikali kwa sababu hathamini maisha ya...
Serikali ya Ukraine ilipanga njama za kushambulia makanisa ili kuchochea hisia za Wamagharibi
Viongozi wa Russia wamesema kuwa, wamegundua njama zilizofanywa na viongozi wa Ukraine za kushambulia...
Kulikuwa na kisa kimoja kuwa mama mmoja alikuwa na watoto watatu. Kati ya hao wawili ni watoto wa kambo na mmoja ni WA kwake. Huyu mama alinunua machungwa mawili huku akitaka mtoto wake apate...
Baada ya soko la karume mchikichin kuungua uchumi wangu uliporomoka kwa kiwango ambacho hakijawah shuhudiwa tangu mzee pombe atoke dunian,lkn nikapiga moyo konde nikiamin subra ndio mpango mzima...
Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, limeshusha makisio ya ukuwaji wa uchumi wa dunia mwaka huu, likisema uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umechangia kwenye kuichafuwa biashara ulimwenguni na...
Wakuu kheri ya pasaka, juzi juzi mkuu wa baraza la usalama la urusi na rais mstaafu Dimitry Medved alionya kua endapo Finland na Sweden watalazimisha kujiunga Nato, basi urusi itakuja na jibu la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.