International Forum

News and Stories from rest of the World
President Donald Trump has warned Syria's government the US is "locked and loaded" to strike again if it carries out new chemical attacks. The warning came after the US, UK and France struck...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Hii ndio ilikua ndege kubwa Duniani, Ni ya kipekee zaidi, Na ilitengenezwa moja tu na kampuni iliyoitwa Antonov Serial Production Plant huku ikimilikiwa na Ukraine SSR. Ilikuwa na Uwezo wa Kubeba...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Wahenga hawakukosea waliposema malipo ni hapa hapa duniani. Mwanzoni kabisa wakati Russia ya Putin inafanya mashambulizi dhidi ya nchi ya kidemokrasia iliyokua imetulia kabisa Ukraine...
12 Reactions
56 Replies
4K Views
Takriban watu sita wakiwemo wanafunzi wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa baada ya milipuko miwili kulenga shule ya wavulana katika kitongoji cha Dasht-e-Barchi katika mji mkuu wa Afghanistan...
0 Reactions
2 Replies
734 Views
Rais wa Emirates, Sir Tim Clarke amekataa kufuata agizo la Nchi za Ulaya kuiwekea vikwazo Urusi kwa kusitisha ndege kwenda Nchini humo, akisema hayo maamuzi yanatakiwa kufanywa na Serikali ya...
18 Reactions
38 Replies
2K Views
Tunisia itafanya kazi na nchi nyingine ambazo zimejitolea kuisaidia kuzuia uharibifu wa mazingira baada ya meli ya kibiashara iliyokuwa imebeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama katika maji ya...
0 Reactions
1 Replies
566 Views
Waziri wa fedha wa Japani Shunichi Suzuki mnamo Jumanne alisema uharibifu wa uchumi kutokana na sarafu ya yen inayodhoofika kwa sasa ni kubwa kuliko faida inayopatikana, akitoa onyo la wazi zaidi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Tulielezwa kuwa Ukraine anasaidiwa na ameshapewa silaha nyingi na vifaa mahsusi kujilinda na mashambulizi ya Russia. Lkn hali inayoendelea sasa ni kuongezeka kwa mashambulizi kila uchao. BBC...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Katika hali ya kustaabisha rais wa Marekani bwana Joe Biden ameonekana akimpatia mkono mtu asiyeonekana punde tu baada ya kumaliza kutoa hotuba yake. Inadaiwa hiyo sio mara yake ya kwanza kufanya...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Hakuna binadamu yeyote mwenye asili kutoka Afrika ataingia mbinguni [emoji33][emoji33][emoji33] [emoji44] Nabii Agya Dan wa kanisa la Power Revelation Chapel la nchini Ghana amewaacha watu midomo...
1 Reactions
11 Replies
773 Views
Nina sababu nyingi za kuipenda urusi sana tena sana. Hizi ni baadhi. 1. Urusi alisaidia sana Kwenye ukombozi wa bara la afrika wakati tukipigania uhuru. Wapiganaji wengi wa kuikomboa afrika...
23 Reactions
59 Replies
3K Views
Kutokana na vikwazo vikali ilivyowekewa urusi , ikiwa ni pamoja na kuteneganishwa rasmi na dola na euro, taasisi za kifedha za Urusi kama mabenki yamemelazimika kugeukia sarafu ya Uchina na kuanza...
10 Reactions
56 Replies
6K Views
Ukraine imekamilisha mchakato wa awali uliohusisha maswali ambapo sasa hatua inayofuata ni kuanza mchakato rasmi wa kuelekea kujiunga na Umoja wa Ulaya (EU), hayo yamesemwa na Msaidizi wa Rais...
0 Reactions
12 Replies
909 Views
Msemaji wa Jeshi la Israel amesema kwamba Ndege za Jeshi la Israel F-16 zimefanya mashambulizi ya Anga katika mji mkuu wa Syria, Damascus. Mashambulizi hayo yanasemekana yalilenga Vituo vya...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
MOSCOW; JIJI KATIKATI YA JANGWA LA BARAFU, JIJI LENYE BARIDI ZAIDI DUNIANI. Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA). Friday-18/02/2022 Moshi DC , Kilimanjaro Tanzania Jiji la Moskova (Moscow), ndio...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Kadi aliyobakia nayo kidiplomasia ni kitisho Cha mashambulizi ya Nyuklia dhidi ya Ukraine na nchi Neutral kama vile Finland na Sweden. Kadi yake ya kuivamia Ukraine ili kuionyesha Dunia yeye sio...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Ukrain ni kama nukta kwa Russia, ila mpaka leo Putin kashindwa kufanya chochote cha maana
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Waziri Mkuu mpya wa Pakistan, Shebaz Sharif amesema nchi yake inapendelea zaidi amani na uhusiano wa kushirikiana na India, mtazamo ulioonesha kuchaguliwa kwake huenda kukatoa nafasi mpya ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Waendesha Mashitaka wa Ufaransa wameanzisha Uchunguzi dhidi ya Mgombea Urais wa Ufaransa Marine Le Pen kuhusu Fedha alizozitumia Kama malipo hewa. Mwanamama Huyo ambaye anatarajia Kuingia duru ya...
0 Reactions
19 Replies
982 Views
Mamilioni ya waumini wa dini ya Kikristo duniani leo Aprili 17, 2022 wanasherehekea Sikukuu ya Pasaka kukumbuka kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubiwa msalabani zaidi ya miaka 2000...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom