International Forum

News and Stories from rest of the World
Putin alimtumia Marekani barua kwamba akiendelea kusaidia Ukraine kijeshi asubiri kitakachotokea, Marekani amejibu kwa kutoa msaada wa kufa mtu, dola milioni 800 sio mchezo aki ya nani huu ni...
10 Reactions
70 Replies
4K Views
Kiongozi wa Jimbo la KwaZulu-Natal, Sihle Zikalala amesema idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa zilizopeleka maporomoko ya ardhi na mafuriko imeongezeka kufikia 443 Mbali na vifo...
0 Reactions
1 Replies
632 Views
Kundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar . Wezi hao walifanikisha wizi huo...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Muda mfupi uliopita Urusi imesema jiji la bandari na viwanda la Mariupol limeingia mikononi mwao kikamilifu baada ya kusafisha mabaki ya askari wa Ukraine waliokataa kujisalimisha waliokuwa...
20 Reactions
90 Replies
8K Views
In South Africa, the week leading up to Easter is a time when people should be preparing for the holiday, but unfortunately that isn't the case. Many people were left homeless as a result of...
1 Reactions
2 Replies
696 Views
Kwa nini taifa la Marekani hawaoneshi silaha zao na vifaa vyao vya kijeshi. Hata maonesho yao ya gwaride la kijeshi hakuna kama wafanyavyo China na Russia. Kuna usiri gani kutoonesha. Najua humu...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi ya Russia ni kwamba meli ya kivita ya Urusi iliyoko Bahari Nyeusi inazama. Awali jeshi la Ukraine lilisema limeipiga mituringa Urusi wakasema ni ajali ya kawaida...
13 Reactions
272 Replies
16K Views
Finland na Urusi wanachangia mpaka wenye urefu zaidi ya kilomita 1,300km Urusi amejiingiza kwenye vita dhidi ya Ukraine akiwa na nia ya kuonyesha makucha yake kwa majirani wote, na kuwaonya...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Rosemary Alvarez alijikuta akiwa na maumivu ya kichwa na mkono kukosa nguvu. baada ya kufanyiwa scanning ikaoneka kama ni "brain tumor", pindi alipofanyiwa upasuaji alikutwa na "mnyoo (taenia...
7 Reactions
303 Replies
29K Views
Rais Joe Biden wa Marekani ameendelea kuonyesha kuwa, mbali na kuboronga katika uzungumzaji, anazidi kupungukiwa na fahamu pia baada ya kupotea njia ya kuelekea ofisini kwake katika Ikulu ya White...
5 Reactions
61 Replies
5K Views
Zaidi ya miili 900 ya wananchi wa kawaida imebainika kuwepo katika Jiji la Kyiv ambao ni Mji Mkuu wa Ukraine baada ya kuondoka kwa majeshi ya #Russia, mingi kati ya hiyo ikiwa imeshambuliwa kwa...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amesema kati ya wanajeshi 2,500 na 3,000 wa taifa lake wamepoteza maisha hadi sasa katika vita vya taifa hilo na Urusi na kwamba wengine 10,000 wamejeruhiwa...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Imekuwaje NATO kuingia Ukraine wakati operation ya kijeshi ya Mr. Putin ilipoanza hawakuingia sasa wameona hasara inayopatikana Ukraine ndio waingie tena kwa mikoa miwili tu, kuna nini? Sent from...
0 Reactions
4 Replies
611 Views
Mei 9 hutumika kama maadhimisho ya kijeshi ya kusheherekea ushindi dhidi ya Hittler, na kawaida wanajeshi Warusi hufanya gwaride zao kwa mbwembwe na huonyesha zana zao za kivita kama mikwara kwa...
11 Reactions
56 Replies
3K Views
Russian military publishes Ukrainian casualty numbers Moscow claims Kiev has lost 23,367 combatants combined from the army, national guard and foreign mercenaries Ukraine has suffered the...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Umeshudiwa ugeni mzito nzito Kyiv Ukraine, katika kipindi hiki cha mgogoro. Rais wa umoja wa Ulaya amefika Kyiv. Mawaziri wakuu toka Czech, Slovenia, Poland na juzi UK nao wamefika pale...
14 Reactions
67 Replies
4K Views
Raisi Putin amemteua generali Alexander dVOrNIKOV kuwa kamanda mpya wa kuongoza jeshi lake katika nchi ya Ukraine.Generali Alexander ndiye aliyekuwa kamanda wa mwanzo wa Urusi nchini Syria katika...
23 Reactions
107 Replies
8K Views
Urusi hajapoteza chochote ktk hii vita Ukraine na NATO wamepoteza kila kitu Ukijaribu kuangalia hasara ya kiuchumi alopata Ukraine ni takriban sawa na trilioni 1400 za kitanzania hadi sasa...
22 Reactions
55 Replies
4K Views
Kwa kujibu Rais wa Ukraine, wanajeshi wake zaidi ya 3,000 wameuawa. Hii ni mbali na raia wa kawaida. Russia wamepoteza si zaidi ya 1500 soldiers (according to official news). Zile takwimu za...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Russian Cargo Ships Spotted 'Going Dark' to Evade Sanctions March 29, 2022 1:32 AM Rob Garver FILE - A seagull flies by a tanker near a liquefied natural gas plant on Sakhalin island outside...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom