International Forum

News and Stories from rest of the World
Televisheni ya Czech imeonyesha picha za zana za kijeshi katika treni katika kituo katika mji wa Jihlava - zilizoripotiwa kuelekea Ukraine. Jumanne, Aprili 5, 2022 Waziri wa Ulinzi wa Czech, ana...
10 Reactions
202 Replies
11K Views
Kushindwa kwa Urusi kuiteka Ukraine kwa haraka na kukimbizwa Marekani kule Afghanistan na wanamgambo wa Taliban kumedhihirisha kwa mara nyengine kuwa kwa sasa dunia hakuna tena taifa kubwa...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Katika taarifa iliyotolewa na Chongyang institute for financial studies at Renmin University of China kilitoa taarifa ya njia, sifa, na madhara ya vikwazo vya kiuchumi vya marekani, na funzo...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Ajali imetokea huku Costa Rica pale ilipojaribu kutua kwa dharura . Tariifa zaidi zitawajia === A Boeing 757-200 cargo aircraft operated by DHL has made a dramatic emergency landing at Costa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Tragic events have occurred all across the world. Wars, genocides, riots, assassinations, famines, and so on. The authors of these inhumane procedures, on the other hand, are the true evildoers...
2 Reactions
89 Replies
6K Views
Deep in the flat and featureless landscape of eastern Ukraine, it is all too -possible that the outline of World War III is taking shape. Whipped up by the Kremlin -propaganda machine and led by...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive And those who supported aids will be reduced to 100%
20 Reactions
186 Replies
8K Views
Mapambano makali zaidi ya kivita yanaendelea Ukraine hasa mashariki mwa nchi, unaambiwa mapigano yaliyoko kule ni zaidi ya movie za kivita , Jeshi la Urusi limeuchakaza mji wa Mariopol lakini...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Kufuatia uvumizi wa urusi ndani ya ardhi ya jirani yake ukraine dunia imeshuudia kwa mara nyingine sura halisi ya uzalendo na uwezo wa watu kulinda uhuru wao. Kwa sababu zake mwenyewe wengi...
22 Reactions
152 Replies
8K Views
Bunge la Pakistan linatarajiwa kukutana Ijumaa kwa lengo la kushiriki zoezi la kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Imran Khan, katika kile kinachotazamwa kuwa ni wakati mgumu kwake...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukraine imesema imechukua udhibiti wa eneo zima la Kyiv baada ya wanajeshi wa Urusi kurudi nyuma kutoka katika baadhi ya miji muhimu karibu na mji huo mkuu. Naibu waziri wa ulinzi Ganna Maliar...
9 Reactions
141 Replies
8K Views
Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa. Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za...
8 Reactions
67 Replies
4K Views
Mie sina neno, Ila mrusi amekosea sana kufanya Mambo ya kishamba ya kuvamia sovereign state tena bila sababu za kueleweka. Tanzania tuache unafiki tusimame na HAKI tuwaambie warusi waziwazi tena...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Russia imesema imekamilisha awamu ya kwanza ya operesheni yake nchini Ukraine kwa mafanikio makubwa ambapo imepoteza wanajeshi 1300 tu vitani. Russia wanadai sasa wameingia awamu ya pili ya...
9 Reactions
71 Replies
4K Views
Urusi imekiri kupata "hasara kubwa" ya wanajeshi nchini Ukraine, huku uvamizi huo ukiingia siku yake ya 44. Msemaji wa rais Dmitry Peskov aliambia kituo cha Uingereza cha Sky News kuwa...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanajeshi wa Urusi wamesonga ndani zaidi katika mji wa Mariupol ulioathirika zaidi na vita vinavyoendelea nchini Ukraine ambapo inaarifiwa kuwa mapigano makali yamepelekea kufungwa kwa kampuni...
10 Reactions
76 Replies
7K Views
Hatua hii imekua ya kushtukiza kwani yale maeneo yaliyoamua kupigana vita ili kutengana na UKRAINE hatimae yamepata uhuru wake baada ya Bunge la Ukraine kukubaliana kwa pamoja kuyaruhusu majimbo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa Ukrain, Petro Poroshenko amesema Urusi inapaswa kuwajibishwa kuhusiana na kuanguka kwa Ndege ya Shirika la Malaysia Airlines Ndege aina ya MH17 miaka mitatu iliyopita ambapo watu 298...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zanguni Habari ziko sky news sasa kuwa ndege ya Malaysian airways imeanguka ikiwa na abiria 295 Hii ni ndege ya pili sasa STAY TUNED... Update; Russian news agency wanasema hiyo ndege...
4 Reactions
323 Replies
55K Views
Kumekuwako na tuhuma kwamba, ndege hiyo iliyoanguka ktk maeneo yanayoshikiliwa na waasi wa Ukrain wanaoungwa mkono na Urusi huenda imetunguiwa. Kutokana na mwenendo wa hali ninavyoiona, tuhuma...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Back
Top Bottom