International Forum

News and Stories from rest of the World
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga Kura kuisimamisha Urusi katika Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja huo (UNHRC) kama adhabu kwa uvamizi wake dhidi ya Ukraine Kati ya Wajumbe 193 wa...
0 Reactions
14 Replies
983 Views
Ombi la kuisimamisha Urusi na kuitoa kwenye Baraza la Haki za binadamu la UN limeletwa na Marekani. Zoezi la upigaji kura linaendelea mubashara BBC. Tanzania tunasimama na nani US au Russia au...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Russia inazidi kudhihirisha kua ni taifa lenye nguvu kubwa duniani, pamoja na kuwekewa vikwazo vingi kuliko taifa lolote duniani tofauti na matarajio ya EU na US sarafu ya Russia Rubles imezidi...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Naona vizio vya kupanda kwa bei ya mafuta na baadhi ya huduma muhimu vinasikika kote duniani. Sababu kuu inasemwa ni vita inayoendelea nchini Ukraine. Pengine mini ni mchanga ktk historia. Naomba...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Sweden, Stefan Lofven, ambaye amekuwepo madarakani kwa miaka saba amejiuzulu wadhifa wake baada ya Bunge la Nchi hiyo kupiga kura ya kutokuwa na imani yake wiki iliyopita. Alikuwa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mzuka wanajamvi! Sankshen zinabite kichiz kwa Putin. Biden sasa hivi ameamua kuendelea kupiga vikwazo vya kiuchumi kwenye inner circle ya Putin na familia zao. Kampiga vikwazo vya uchumi mpishi...
10 Reactions
68 Replies
5K Views
Uzi wa awali ulieleza jinsi Urusi alivyopoteza, Vitani ila huu utaangalia Uchumi na uwekezaji MAUZO Mauzo nje yameshuka kwa asilimia 30 tokea amewekwa vikwazo Hungary imesitisha uingizaji wa...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Haya yanatokea sehemu nyingi duniani. Jukumu la serikali ni kuwahami wananchi wake. Inatokea Zambia, Rwanda na kote ambako maslahi ya wananchi yamewekwa mbele. Kuwa viongozi wao si wezi, pana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Putin ni mtu mmoja hatari sana mwenye akili nyingi sana na mbobezi haswaa wa intelligence ex-KGB. Hii vita ya kuivamia Ukraine, ilikuwa ni mkakati wa kuinua uchumi wa Russia. Baada ya kuzichanga...
37 Reactions
241 Replies
12K Views
Ujerumani inaeleza kwa nini haitapiga marufuku gesi ya Urusi Berlin haiamini kuwa vikwazo vya nishati vinaweza kumaliza mzozo wa Ukraine Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
IRAN YAIDUKUA SIMU YA MKE WA MKUU WA #MOSSAD. Taarifa kutoka The Times of Israel zinasema kuwa, simu ya mke wa mkuu wa mossad imedukuliwa na kikundi kinachoaminika kuwa ni cha Iran, katika...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
'Smart Voting App' ya Kiongozi wa Upinzani Nchini humo, Alexei Navalny imeondolewa Google na Apple Store katika siku ambayo Wananchi wanaanza kupiga kura kwenye Uchanguzi wa Bunge. Mamlaka...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesaini Sheria inayomruhusu kugombea kwa mihula mingine miwili baada ya muhula wake unaomalizika mwaka 2024 Sheria hiyo ambayo inamuwezesha Putin kusalia madarakani...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Leo Jumatatu bunge la Ulaya litapiga kura kuhusu matumizi ya bitcoin na sarafu nyingine. Matokeo ya kura hiyo yataamua kuhusu matokeo ya baadae ya bitcoin. Wanatumia kigezo cha mazingira kwakuwa...
2 Reactions
2 Replies
788 Views
Urusi imetuma ujumbe kwa Marekani kupitia kamanda wake wa majeshi huko Syria kuomba msaada wa kuijenga Syria ambayo imeharibiwa vibaya kutokana na Vita vilivyoanza tangu mwaka 2011. Urusi...
6 Reactions
79 Replies
8K Views
Mahakama mjini Moscow yamhukumu kwenda jela siku 30 kiongozi wa Upinzani nchini humo bwana Alexei Navalny kwa kosa la kuandaa maandamano ya kumpinga rais Putin bila kibali cha vyombo vya usalama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jeshi mahiri na lenye morali isiyo na mfano la Ukraine wamedaka mdude wa kirusi ambao kwa sasa uko njiani kupelekwa Ulaya kabla ya kupelekwa Marekani kuchunguzwa kwa kina. Ni matumaini ya wapenda...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Moscow Imeelezwa kuwa mamlaka za Urusi zilikamata jengo la Alexei Navalny lililoko mjini Moscow pamoja na kuzishikilia akaunti zake wakati akiwa bado hajitambui na akiendelea na matibabu baada ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
1. Rais Putin mbali na kuungwa mkono na chama chake, uchaguzi wa mwaka huu anagombea kama mgombea binafsi. 2. Mke na mshauri wa Mufti wa Russia(Dagestan) na mwanahabari aliyefanikiwa pia mkuu wa...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Back
Top Bottom