Hali ya vita vya Ukraine sasa iko wazi kwa kila mshirika.
NATO na Ukraine kwa upande mmoja na Russia kwa upande mwingine.
Uwanja wa vita rasmi unaeleweka kwa wote kuwa ni Ukraine.
Russia kama...
Wadau hii imekaaje Waziri huyu Bibi Janet Yellen anasema US haitashiriki mikutano ya G20 kama Russia atashiriki, naomba athari za Russia kutoshiriki G20 maana huyu jamaa naona anabanwa kila...
Watu 6 wameuawa na wengine 15 kujeruhiwa kufuatia mlipuko uliotokea kwenye baa eneo la Goma katika Mji wa Kivu Kaskazini, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kulingana na vyanzo vya serikali...
SpaceX imeandaa safari za matajiri watatu wakiwa na wataalamu wao wa anga kwenda anga za mbali ambapo watatumia wiki moja wakitalii sehemu hiyo ya nje ya dunia.
Matajiri watatu, mmoja mmarekani...
Ndege aina ya Boeing-737 iliyokuwa imebeba watu 133 ilianguka kwenye milima kusini mwa mkoa wa Guangxi nchini China Jumatatu alasiri, na moto ukionekana kwa mashuhuda waelezao, kulingana na...
Haipo siri Kwamba Urusi ilipeleka majeshi yake kwenda kuivamia na kuikalia Ukraine.
Si haki kwa nchi yoyote kufanya hivyo.
Si haki kwa Israel kuikalia Palestina, wala kuikalia milima ya Golan...
Hii vita ni Russia vs west countries, battlefield ni ukraine,,, saa hizi ukraine wanapata support zote kuanzia intelligence, sattelite image za Russia military movements, etc,
Siku vita inaanza...
Kampuni ya kutengeneza Chip za Marekani ya Intel Corp ilisema Jumanne kwamba imesitisha shughuli za biashara nchini Urusi, ikijiunga na makampuni kadhaa kuondoka nchini humo kufuatia uvamizi wake...
Halmashauri Kuu ya Ulaya imependekeza leo vikwazo vipya dhidi ya Urusi, ikiwemo marufuku ya ununuzi wa makaa ya mawe.
Katika vikwazo vinavyopendekezwa, ambavyo mataifa ya Umoja wa Ulaya lazima...
Duniani kote zinasikika sauti za kupinga mauaji ya raia wasio na hatia huko Ukraine. Wajuvi mnijuze, katika historia ya dunia, hakuna taifa jingine lilipata kufanya makosa hayo tofauti na Russia...
Msemaji wa Putin, Mr. Peskov anakiri wamepoteza kwenye vita na Ukraine, amesema wamekiri kutofanikiwa Kwa kasi Kama walivyodhani, na hii ni kutokana na wageni kuingilia operation yao huko Ukraine...
Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda Koichi Hagiuda aliwaambia waandishi wa habari siku ya Ijumaa kwamba Japan italenga baada ya muda kukomesha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka Urusi, muuzaji wa...
Marekani imemkamata kiongozi wa kundi la yakuza la Japan na wanaume watatu wa Thailand, wakiwatuhumu kwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini na methamphetamine na kujaribu kupata makombora...
Yani kilichotokea hapa ni kama vile ex wa mke wako anakuja nyumbani, anapewa attention kubwa kuzidi wewe, atachinjiwa kuku, watoto wanamwita baba, duuhh!!
Dah hadi huruma, hapa Biden amekosa wa...
Roch Kabore ambaye alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani tangu alipopinduliwa katika mapinduzi ya kijeshi mwezi Januari, ameruhusiwa kurejea katika nyumba ya familia yake, kwa mujibu wa serikali...
Katika kile kinachoonekana kama ni 'wake up call' ya kinachoendelea China na Urusi,serikali ya Rais wa Marekani Joe Biden imeliomba bunge la nchi hiyo lipitishe au kuidhinisha kiasi cha dola...
Russian oligarch Roman Abramovich is reportedly begging his rich friends including Hollywood director Brett Ratner for £765,000 ($980,000) loans to help him pay his staff after being sanctioned by...
1900 - 1910: mapinduzi makubwa ya modern technology ya kisasa Kama magari, ndege etc.
1910 - 1920: Vita ya kwanza ya dunia
1920 - 1930: anguko kubwa la kiuchumi was dunia. ( Great depression)...
Zamotomoto kutoka katika uwanja wa Vita mji wa Mauripol, Makomandoo wa Urusi kutoka kikosi hatari zaidi Ulimwenguni cha Spetsnaz kilichochini ya KGB /FSB wamemteka Kamanda wa Jeshi la Marekani...
> Rosemary Ndlovu will be back in court on 20 April over allegations that she plotted the murders of three people
Two of the people she allegedly wanted killed are her former boss and the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.