International Forum

News and Stories from rest of the World
Waziri Mkuu wa Australia kawaonya raia wa nchi yake wasijaribu kusafiri kisirisiri kwenda kupewa silaha na rais wa Ukraine ili kupigana na majeshi ya Russia. Onyo hilo la Waziri Mkuu limejiri...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Iko hivi, Marekani kwa kutaka kuikomoa Urusi wakapata mawazo ya kugomea kununua mafuta Yao. Lakini kabla hawajafikia muafaka wa kugomea mafuta ya Urusi wakaona watafuta chanzo mbadala Cha mafuta...
46 Reactions
99 Replies
7K Views
Binafsi nasema vita hii haitachukua zaidi ya miezi 2 kuanzia sasa. Mrusi atapigiwa ugenini, atapigiwa na nyumbani. Kuna watu wenye akili ili kulinda legacy zao za kimataifa watajipenyeza na...
25 Reactions
173 Replies
14K Views
Jana usiku 12 ballistic Missiles kutoka Iran zililenga base ya Marekani nchi Iraq ya Erbil na kusababisha kuteketezwa kambi hio, hii ni mara ya pili Iran kushambulia direct kutoka Iran mpaka...
10 Reactions
144 Replies
10K Views
Wafanyakazi wa viwanja vya ndege wamegoma kupakia shehena ya silaha Toka Nchi za magharibi, huku zikiwa zimeandikwa kuwa ni shehena ya madawa na vyakula Kama misaada ya kibinadamu! Nchi za...
11 Reactions
54 Replies
4K Views
Nakili wazi bado sijapata majibu ya hoja zangu tatu za kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za Kijeshi Ukraine. Hoja zangu hazijajibiwa, wanaojaribu kujibu wanajibu kwa hisiasa zao bila...
23 Reactions
98 Replies
5K Views
WENGI wetu hata humu jukwaani wanameza kirahisi sana taarifa za habari za uongo na elimu za uongo, espesheli, historia. Ili mradi zimeletwa na mzungu... afu Cha kusikitisha, ndo wanakuwa wabishi...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau, inakuwaje Kiongozi mmoja anaikimbia Nchi yake na watu wake na mwingine anakomaa na kuongoza mapambano. Hata hapa Nyumbani kuna Kiongozi mmoja Uviko wa kumi na tisa ulipoingia alikimbilia...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Ethiopia Hii ni nchi tuliyokuwa tukipigiwa mfano barani Afrika kwa kutowahi kutawaliwa kikoloni na mabeberu wa Ulaya. Historia yaandika kuwa Ethipia ilikaliwa tu kimabavu na Waitaliano kwa siku 4...
20 Reactions
211 Replies
18K Views
With Russian strategic bomber patrols already raising hackles in the West, Defense Minister Sergei Shoigu on Wednesday called for renewed production of Russia's long-range supersonic Tu-160...
7 Reactions
63 Replies
17K Views
Russia's foreign ministry said Tuesday that US President Joe Biden and a dozen other top officials had been banned from entering the country in a reciprocal response to US sanctions. The measure...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Unazima moto wa msitu, lakini bado unawaka," yalisoma maandishi juu ya picha ya mwanamke mchanga wa Kirusi, akitabasamu huku akiwa nusu uchi. Kama hii, picha zingine 11 zenye maneno ya kuudhi...
12 Reactions
140 Replies
9K Views
Mzuka wanajamvi! Marekani ikiwa mbioni kuiwekea vikwazo mafuta ya Urusi tayari imeshatuma ujumbe mzito Venezuela kukutana na Rais wa Venezuela Nicholas Maduro. Ujumbe huo mzito wa Marekani na...
6 Reactions
111 Replies
8K Views
Kambi za kijeshi za Marekani na MOSSAD nchini Iraq zashambuliwa kwa makombora Kambi za kijeshi za Marekani na MOSSAD nchini Iraq zashambuliwa kwa makombora Vyombo vya habari vya Iraq na duru za...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Huyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
3 Reactions
98 Replies
6K Views
Hili ni swali ambalo nimekutana nalo mahala fulani na mmoja wa wachangiaji ambaye ni Mr Kyle Krebs ambaye ni B.S. in Electrical Engineering & Mathematics, The University of Utah anajibu kama...
19 Reactions
120 Replies
8K Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema NATO hawajawahi kuwa dhaifu kama walivyo sasa, ambapo nchi yake imepigwa kwa siku 20 na hawajachukua hatua. Amelaumu kwa kutaja Ibara ya 15 ya NATO...
7 Reactions
50 Replies
4K Views
Ni mwana habari katika runinga ya taifa ya nchini Russia. Alivamia taarifa ya habari iliyokuwa live hewani na kuprotest dhidi ya Russia kuivamia Ukraine.
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amewekewa vikwazo vya kutokanyaga #Urusi Pia Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Melanie Joly na waziri wa Ulinzi Anita Ananda hawataruhusiwa kuingia Urusi...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Naona Western Bloc wanataka kubaki peke yao wanapiga propaganda vita ya Urusi na Ukraine ambapo Multichoice Afrika maarufu kwa kisimbusi chake cha DSTV imeiondoa chaneli ya Urusi ya Russia...
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Back
Top Bottom