International Forum

News and Stories from rest of the World
Saudi Arabia imetekeleza hukumu ya kifo kwa watu 81 katika muda wa saa 24 zilizopita, wakiwemo raia saba wa Yemen na raia mmoja wa Syria, kwa tuhuma zikiwemo za "kuhusishwa na mashirika ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu,Iwe Urusi imeshinda ama imeshindwa katika operation yake dhidi ya Ukraine mara TU baada ya operation hiyo kuisha Umoja wa NATO utavunjuka. Hautavunjika kwa siku moja au...
23 Reactions
43 Replies
3K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema vita kati ya Urusi na Ukraine vitazidisha madhara ya COVID-19 kwa kuwa juhudi za kupambana na Corona zinasahaulika. Japo maambukizi yamepungua nchini...
0 Reactions
3 Replies
699 Views
Wanachokifanya Marekani, NATO na mataifa ya magharibi kwa ujumla dhidi ya urusi ni kuifunga mikono na miguu Urusi wakati ikipigana na ukraine, ili kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo. Hakuna...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Jua jeusi (Black Sun) ni moja na alama iliyokuwa ikitumika na Jeshi la Hitler,(Nazi). Ni nembo yenye asili ya kishetani na inayotumika katika dini ya ya waabuduo shetani (Satanism). Sio hiyo...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Raia wa Uingereza watakaoruhusu Wananchi wanaokimbia mapigano Nchini Ukraine kukaa nyumbani kwao au kuwapa eneo kwa kipindi kisichopungua miezi sita watalipwa Paundi 350 kwa mwezi Hatua hiyo ya...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kaimu Waziri Mkuu wa Ukraine, Iryna Vereshchuk amesema Wananchi wa Mji wa Mariupol wameshindwa kuondoka baada ya Makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda kushindwa kutekelezwa Kutokana na hali...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Saa sita na dakika kumi leo tarehe 13 jumapili 2022 walipost hii habari (picha ya kwanza), lakini immediately wakaifuta na kupost hii (picha ya pili). Lengo likiwa ni kupotosha ukweli dhidi ya...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Bunge la Urusi limepitisha agizo la Rais Vladimir Putin la kutambua uhuru wa maeneo ya waasi mashariki mwa Ukraine, siku moja baada ya Rais Putin kutia saini agizo hilo na kuamuru wanajeshi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya west kuipiga vikwazo vya kibabe Urusi hatimaye na wao wameanza kulia kutokana na ukali wa vikwazo husika kutokana na baadhi ya makampuni yanayohudumu miongoni mwa nchi za west kusitisha...
8 Reactions
7 Replies
1K Views
Bw Yoon aliita ushindi wake "ushindi wa watu wakuu wa Korea Kusini"Image caption: Bw Yoon aliita ushindi wake "ushindi wa watu wakuu wa Korea Kusini". Korea Kusini imemchagua mgombea wa upinzani...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Hakika nimeamini silaha za maangamizi (nyuklia)ni silaha zinazoogopwa dunia nzima matokeo yake endapo mataifa makubwa yakitumia nadhani ndio mwisho wa sayari hii ya dunia ,kwa...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Ballistic missiles hit Mossad bases in Iraq’s Erbil, kill Israeli officers: Iraqi media Sunday, 13 March 2022 1:46 AM [ Last Update: Sunday, 13 March 2022 10:27 AM ] This photo released by...
1 Reactions
4 Replies
536 Views
Leo mwenyekiti wa umoja wa ulaya(na viongozi wote wakubwa) wamekataa maombi ya Ukraine kuwa mwanachama wa ulaya baada ya siku chache zilizopita kukataa kutimiza haja yake yakutaka kutimizwa kwa no...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Urusi ina silaha ngapi za nyuklia? Takwimu zote za silaha za nyuklia ni makadirio lakini, kwa mujibu wa Shirikisho la Wanasayansi wa Marekani, Urusi ina vichwa vya nyuklia 5,977 - vifaa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kitu ambacho watu hawafahamu in kuwa taifa la Ukraine ndilo taifa lenye eneo kubwa lililopakana na Urusi kuliko nchi nyingine zilizojitenga na Russia, pili Ukraine ndilo taifa pekee kati ya watu 6...
11 Reactions
39 Replies
5K Views
Katika muda wa wiki mbili, zaidi ya watu milioni 4.4 wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na mapigano nchini Ukraine yamesema mashirika ya Umoja wa Mataifa hii leo. Kwa mujibu wa shirika la...
1 Reactions
6 Replies
755 Views
NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA (angalia Ukraine) NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA NCHI ZENYE SILAHA ZA NYUKLIA Yaani nahisi ajali ya nyuklia ni tishio zaidi ya vita vya nyuklia
2 Reactions
9 Replies
2K Views
waUkraine na waRus wameishi pamoja kwa amani hadi mshinikizo wa mmarekani na wenzake wa ulaya magharibi - wakaanza kubeza na kuwaonea waRus tokea 2014 kiukatili sana... waUkraine (viongozi) na...
8 Reactions
57 Replies
5K Views
Back
Top Bottom