Maelfu ya madaktari, wauguzi na wahudumu wengine katika sekta ya afya nchini Haiti wamefanya mgomo nchini kote kupinga wimbi la utekaji nyara uliokithiri kwa watu wa sekta yao.
Waandamaji katika...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ameonesha kuguswa na kinachoendelea baina ya Urusi na Ukraine, ambapo amesema hatari ya vita ilisababisha maumivu makali moyoni mwake
Papa ametoa...
Urusi siku ya Jumapili imetanua kampeni yake ya kijeshi nchini Ukraine kwa kufanya mashambulizi makali magharibi mwa nchi hiyo.
Mapema leo makombora ya Urusi yaliishambulia kambi moja ya kijeshi...
Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing imefungwa tarehe 13 Machi. Kama kioo, michezo hiyo haioneshi tu moyo wa kujiendeleza wa walemavu, lakini pia inaonyesha mafanikio ya...
Will we all regret not helping Ukraine?
It’s not that we haven’t helped. We have. The West has delivered thousands of anti-tank missiles. Note: Russia has not committed a thousand tanks to the...
Kilichowashtua sana Marekani na NATO kwa ujumla ni kushambuliwa kwa mafanikio makubwa kambi ya kijeshi ya Ukraine iliyopo karibu kabisa na mpaka wa Poland.
Hii kambi ilikuwa imewekewa ulinzi wote...
Kama kuna kichaa duniani leo ambaye anaweza kuitumbukiza dunia kwenye vita kuu ya tatu ni Rais na msanii wa kuchekesha Zelensky wa Ukraine.
Kila kukicha anazililia nchi wanachama wa NATO waweke...
Waziri wa Ulinzi, Meja Jenerali Igor Konashenkov amesema wanajeshi wa #Urusi 498 wameuawa na 1,597 wamejeruhiwa. Idadi inatofautiana na iliyotajwa na mshauri wa Rais aliyesema wanajeshi 7,000...
Ukizingatia gharama ya kifaru na zaidi gharama ya kufiksha hicho kifaru Ukrane halafu kinaondoshwa na kombora moja tu inayorushwa kwa kifaa kinachobebwa begani, hivi vifaa vipo vingi na...
Kwanza wameanza kwa kumbembeleza India wamuuzie mafuta kwa bei ya hasara angalau tu wapate pesa ya kuendesha vita, na pia wamempigia goti mchina awape msaada wa Fedha na siraha.
Dah! Pumzi imekata...
Karne ya 20 imeshuhudia Vita kubwa kabisa zilizotawaliwa na uharibifu mkubwa kuwahii kutokea katika historia ya dunia Huku takribani mamilioni ya watu na Mali zikiangamia kwakiasi kikubwa njaa...
NANI ANAAMUA NINI UONE /USIKIE??
Teknolojia ya habari na mawasiliano inaweza kutumika Kama siraha ya Vita kama zilivyo nyingine( biological, nuclear n.k) mfano mzuri unaweza ukaupa ukirejea Vita...
Urusi:
Marekani inashrikiana na Ukraine katika kutengeneza silaha za kibiolojia
Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa Marekani imekuwa ikidhamini fedha kwa ajili ya mradi wa kuzalisha silaha...
Mashirika ya misaada kadhaa ya Umoja wa Mataifa yamesema watu wapatao 160,000 wamo hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula nchini Yemen.
Ripoti ya mashirika hayo juu ya hali hiyo ya...
Wakati kwenye sikukuu ya akina mama ulimwemguni akina mama wa Tanzania waliisherehekea kwa kula na kurukaruka hewani na vigelegele visivyoingiza pesa wanawake na wengine kutumia siku hiyo...
Kama ulikuwepo kipindi cha vita ya pili ya Marekani nchini Iraq (2003 - 2011), inawezekana utamkumbuka Baghdad bob, Mohammed Saeed al-Sahaf, ambae alikuwa ni Waziri wa Habari wa Iraq na wakati huo...
Tumeambiwa patatokea manabii wa uwongo kila kona, na kweli sasa hivi tunawaona dhahiri kwa macho mawili.
Tuliambiwa patatokea matetemeko huku na kule, ni kweli hata Mbeya, Sumbawanga na Kagera...
Aliyewahi kuwa rais wa Marekani Barack Obama amekutwa na maambukizi ya corona baada ya kufanyiwa vipimo.
Obama ametangaza kuwa na maambukizi hayo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii...
Mwandishi wa Habari wa Marekani anayefanya kazi nchini Ukraine ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Irpin, nje ya Kyiv, polisi wamesema.
Brent Renaud, mwenye umri wa miaka 50, alikuwa...
Mpaka Sasa USA na NATO na wafuasi wao wameshindwa vibaya na Russia.
Nasema hivo kwasababu silaha kubwa ambao USA, NATO walitegemea vikwazo kwa Russia Ila mpaka Sasa USA, NATO na dunia kwa ujumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.