Alaska ilikua ni sehemu ya Russia lakini iliuzwa kwenda kwa Marekani mwaka 1867 kwa $7.2M sawa na Tzs. Bilioni 16.6 ambayo kwa sasa ingekua sawa na $133M (Tzs. Bilioni 307.7).
Sababu ya kuuzwa...
Habari kutoka nchi jirani ya Rwanda zinasema mipaka yake yote hatimaye jana rasmi imefunguliwa.
Ikumbukwe mpaka wa Tanzania - Rwanda (Rusumo) umekuwa umefungwa tangia March 2020 kwa sababu ya...
Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zangu kinachoendelea leo huko Ukraine kinatokana na ujinga wa viongozi wa nchi hiyo kushindwa kujiongeza mapema huko nyuma ili kuepuka uvamizi huu unaofanywa...
Huenda dunia ikarudi tulikotoka 1962,baada ya uoga wa Marekani dhidi ya USSR na kuamua kupeleka silaha za nyukilia nchini uturuki ili kuivizia USSR, nayo USSR haikua mvivu, ikapeleka silaha zake...
Hali inazidi kuwa ngumu kwa Urusi kadiri wanavyoshindwa kuiteka Kiev, maelfu ya makomando wazoefu wa kivita wanazidi kutiririka Ukraine, ukizingatiia pia silaha nyingi zinapitishwa kuingia Ukraine...
Kweli Vita hii inafanywa kama Proxy war lakini hatihati ijegeuka vita ya 3 ya Dunia kwa jinsi inavyoelekea
2008 wakati Kuna mgogoro wa ndani Nchi ya Georgia baada ya Georgia kuonesha kutaka...
Kuna uzi nilijaribu kueleza kuhusu cryptocurrency jinsi njia zinavotumika kusafirisha pesa.
Mifumo ya cryptocurrency utumia address maalumu za kutuma.
Njia ya cryptocurrency kwa dunia ya sasa ni...
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR) limeripoti kuwa machafuko ya Ethiopia yamesababisha watu milioni 2 kuhama makazi yao, watu laki 6 kati yao wamekimbilia Sudan...
Dear all, how are you?
We are in a brink of WW3 which would not guarantee anyone's safety! American and NATO have instigated this war, and now, by providing weaponry to Ukraine, in actual sense...
North Korea leo jumamosi imerusha kombora moja la balistiki baharini. Kombora hilo linakuwa ni la 9 toka mwaka huu kuanza. South Korea imelalamika kuwa majaribio hayo yanatishia usalama wa wa...
Waambie watoto wako ukweli.
Waambie ukweli ndugu na dada zako.
Sema ukweli kwa marafiki zako na ulimwengu.
Vita vya Iraq?
Marekani [emoji631] + NATO [emoji1099] (Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji...
Urusi inawaajiri Wasyria wenye ujuzi katika mapigano ya mijini kupigana nchini Ukraine huku Moscow ikijiandaa kwa mapigano makali ya barabara hadi mtaa katika harakati zake za kuteka miji mikubwa...
Hapo zamani,Sadam huseini wa Iraq alifanya kama anavyofanya Putin wa Urusi Leo kwa kuivamia nchi ya Kuwait.
Marekani na washirika wake wakaivamia Iraq na kuipiga Hadi ikatoka Kuwait.
Miaka...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Mataifa ya Magharibi kuimarisha vikwazo dhidi ya Urusi, akikosoa Viongozi kwa kutojibu tangazo la awali la Wizara ya Ulinzi ya Urusi kuhusu...
Baadhi ya raia wa #Urusi wameingia mtaani kupinga hatua ya nchi yao kuishambulia #Ukraine wakitoa maneno ya ‘No to War’. Polisi wameripotiwa kuwapiga na kuwakamata waandamanaji hao katika miji...
Aliyekuwa mwanajeshi wa SAS amewaasa raia wa kawaida wa Uingereza wakae nyumbani na watazame kwa umakini movies za 'Call of Duty' badala ya kusafiri kwenda Ukraine kupigana na majeshi ya Russia...
Moscow, Russia. Wakati Russia ikisitisha mapigano katika Jiji la Mariupol nchini Ukraine ili kuwaruhusu raia kuondoka salama, vita hivyo vilivyodumu kwa zaidi ya siku 10 sasa vimeathiri biashara...
Shangwe limeibuka kwa wakazi wa Rwanda na Uganda baada ya mpaka Gatuna unaotenganisha nchi hizo, kufunguliwa rasmi leo Jumatatu.
Mpaka huo uliopo wilaya ya Gicumbi ulifungwa mwaka 2019 kutokana...
Televisheni ya Taifa la Korea Kaskazini imerusha maoni ya wananchi kuhusu afya ya Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong-un baada ya video iliyokuwa ikimwonesha kupungua uzito kusambaa, hali ya nadra...
By: Mkufi Dindai on Taifa Daily (visit our website)
Summary: Tanzania’s decision to abstain the UN resolution of Ukraine sparked controversy across social media posing questions like Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.