International Forum

News and Stories from rest of the World
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imesema Serikali ya Belarus inayoongozwa na Rais Alexander Lukashenko imeendeleza ukandamizaji wake kwa kiasi kikubwa, huku wahusika wakilindwa na kutowajibishwa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Mzozo kuhusu kifo cha anayedaiwa kuwa mjumbe wa ujumbe wa Ukraine kwa mazungumzo ya amani na Urusi, Denis Kireev, umeibua sintofahamu Umoja wa Mataifa (United Nations). "Kesi hii inapaswa...
1 Reactions
2 Replies
573 Views
Waziri wa Afya wa Ukraine, Viktor Liashko amesema Vikosi vya Urusi vimeshambulia na kuleta uharibifu kwa Hospitali takriban 61. Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (UN) inasema Raia...
1 Reactions
1 Replies
690 Views
Kinachoendelea kati ya URUSI na UKRAINE, kitatokea tena kati ya CHINA na TAIWAN. Mabeberu wataichokonoa sana CHINA kwa kuitumia TAIWAN kama walivyoitumia UKRAINE. Japo kwa TAIWAN kuona jinsi...
3 Reactions
5 Replies
987 Views
Vita vyote huwa mwonevu na mwonewa. Hata hivyo pana wimbi la mashabiki pia. Kwanini waafrika tunatokea kukenua mno bila kusimamia misingi ya haki wala kuzingatia madhara? Hata hivyo nisiache...
9 Reactions
93 Replies
4K Views
Padri wa Kanisa Katoliki, John Burdin wa Kijiji cha Karabanovo amejikuta matatani baada ya kukemea vita katika ibada aliyoiongoza Jumapili kanisani kwake. Atafikishwa mahakamani leo. Padri huyo...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Vassily Nebenzia, amesema nchi yake itasitisha mapigano kuanzia saa nne asubuhi ya leo kwa majira ya Moscow na kufunguwa njia salama kuwahamisha raia...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders. Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada. Wataongea nini wakati...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Wakati dunia inapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, mwanaanga wa China Bibi Wang Yaping, ametoa salamu kutoka kwenye Kituo cha Anga ya Juu cha China, akiwatakia wanawake wote duniani...
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Vikwazo vya kiuchumi na kufungia pesa imekuwa ni silaha ambayo imetumiwa mara kadhaa na mmarekani na wenzake. Hii silaha ilianza miaka ya 1950 hivi na Korea kaskazini. Wakaja Iraq, Iran...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Katika kipindi cha Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi, maonesho ya taa yamefanyika kwenye ukumbi wa kuteleza kwenye barafu kwa kasi wa kitaifa.
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Na Serah Nyakaru Juhudi za wanawake kuleta mabadiliko duniani sasa zinaonekana katika kila pembe ya dunia. Nchi zilizostawi na zinazostawi kote duniani zina miradi ambayo inaendeshwa ama...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Vita ya Ukraine itaenda kutengeneza mpangilio mpya wa dunia, urusi hana mpango na wala hafikirii kushindwa kama alivo sema Vladimir Putin wataendelea mpaka malengo yao yatimie, kushinda kwa Urusi...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanafunzi 23 wamefanikiwa kurejeshwa #Namibia kutoka #Ukraine. Wizara ya Elimu imewataka wanafunzi hao kujiunga na vyuo vya nchini kwao ili kuendelea na masomo. CNN imeripoti wanafunzi takribani...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Seneta wa West Virginia wa Chama Cha Democrat, Joe Manich, amemtaka rais Biden kuongeza uzalishaji wa nishati wa Marekani ili kuiepusha Marekani kuendelea kuitegemea mafuta na gesi ya Russia...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
MASWALI 1. Nini kilikuwa chanzo cha hayo maandamano 2. Ni nani aliyeanzisha hayo maandamano 3. Je ni maafa( vifo, uharibifu wa Mali n.k) gani hayo maandamano yalisababisha [ matokeo hasi] 4. Je...
1 Reactions
67 Replies
2K Views
Since its founding in New York, rap music has become synonymous with Black identity. This association has sheltered Rap from popular criticism. Significant critique has unfortunately come from...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni katika kile kinacho onekana kupinga kujihusisha kwa umoja wa NATO na nchi za magharibi katika mgogoro unaondelea nchini Ukraine.
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Mwanafunzi amefariki kwa kupigwa risasi wakati polisi wakituliza vurugu za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Gulu nchini Uganda, zilizotokana na kuzuiwa kutazama mchezo wa Man City dhidi ya Man...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Venezuela,Iran na Saudi arabia ndo mataifa pekee ambapo mafuta huuzwa shilingi 40 tu Ukitaja mataifa ambayo mafuta ya petrol ni bei chee duniani basi namba moja ni venezuela ambapona Iran mafuta...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom