International Forum

News and Stories from rest of the World
Takriban watu 17 wamejeruhiwa na shambulizi la angani la Urusi kwenye hospitali ya Mariupol, kulingana na utawala wa kijeshi wa Ukraine katika eneo la mashariki la Donetsk. Wafanyikazi na...
5 Reactions
59 Replies
3K Views
Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq ambaye jina lake halisi lilikuwa Amir Mohammed al-Mawla.Image caption: Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Rais wa North Korea, Kim Jong-Un, ameweka wazi kuwa ndani ya miaka 5 North Korea itafunga angani setilaiti nyingi za upelelezi ili kukukasanya na kupata taarifa ndani ya muda muafaka zihusuzo...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Na Tom Wanjala Ikiwa nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, China husaidia kutunga sera na kutoa ajenda ambazo zimechangia kutoa mwelekeo wa masuala mbalimbali. Mkutano wa Bunge la Umma la...
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Huku pazia la Mkutano wa 5 wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China likishuka kuashiria mwisho wa mikutano miwili, dunia imeendelea kutambua jinsi vikao hivyo vimekuwa kipimo cha...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov amewashutumu vikali Marekani dhidi ya Mkakati wake wa kutengeneza silaha za kibailojia katika maabara za kijeshi zilitotapakaa nchini Ukraine. Larvov...
1 Reactions
12 Replies
933 Views
Jana nilikuwa na mazungumzo na mchina mmoja juu ya mgogoro unaondelea baina ya Urusi na Yukrein. Kubwa kabisa nilimuuliza, ni kwanini uChina haitaki kumchukulia hatua kali Urusi ili kuonyesha...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Hii ni baada ya wafanyi kazi wake Warusi kutishiwa waondoke kwenye mataifa yote ya Uropa, na pia kususiwa kwa biashara zote zenye asili ya Urusi. Putin alikua amesubiriwa muda mrefu aingie kwenye...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
North Korea imesema ilicheki ufanisi wa mifumo ya kamera na mifumo mingine ktk jaribio lake muhimu zaidi la kutengeneza setilaiti ya udukuzi wa kivita. Hayo yanajiri baada ya nchi hiyo kulaumiwa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Ukraine na Urusi: Je Vacuum au thermobaric ni bomu la aina gani? Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Britain said on Thursday it had imposed asset freezes on seven Russian businessmen including Roman Abramovich, Igor Sechin, Oleg Deripaska and Dmitri Lebedev after they were added to the country's...
1 Reactions
1 Replies
390 Views
1: Alichoamua kukifanya angeweza kushambulia tu maeneo ya kimkakati kuonyesha hakubaliani na Ukraine kujiunga na NATO bila kuingiza jeshi lote. Amefanya makusudi, Russia ipigwe vikwazo uchumi...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Watalii waliovalia mavazi ya kijadi ya China wanapiga picha katika kivutio cha utalii cha Forbidden City mjini Beijing.
0 Reactions
1 Replies
581 Views
Taifa la Algeria mpaka sasa limeendelea kuwa "Neutral" na limekataa kuongeza uzalishaji wake wa gesi kwa ajili ya soko la Ulaya kufidia "gepu" lililoachwa na nchi ya Urusi, Vyombo vya habari vya...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Nilifuatilia mkutano wa waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na waandishi wa habari uliochukua takriban dakika 70, na jambo muhimu kwangu ni yeye kuzungumza kuhusu ushirikiano wa China na...
0 Reactions
6 Replies
649 Views
Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems. Wewe...
56 Reactions
260 Replies
51K Views
Russia to Return to Gold Standard, Government to Remove VAT (Tax) on Bullion. This bill will be submitted to the State Duma on March 4,2022. In one fell swoop, Russia just made the Russian Ruble...
4 Reactions
87 Replies
7K Views
Leo mkuu wa shirika la haki za binadamu ameripoti mauaji ya kutisha na ubakaji huko Ethiopia kqtika majimbo ya Tigray na Afar. Idadi ya mauaji ya raia na visa vya ubakaji vinatia shaka kama...
4 Reactions
4 Replies
607 Views
Afisa mstaafu wa jeshi la Marekani Colonel Macgregor ambaye pia amewahikuwa mshauri ktk Department ya Ulinzi ya Marekani amesema kuwa Zelensky kupambana na majeshi ya Russia ni 'upuuzi' na kuwa...
12 Reactions
21 Replies
3K Views
Msanii maarufu wa Ukraine anayejulikana kwa jina la Pasha amefariki Dunia kutokana na kushambuliwa kwa makombora na wavamizi wa Urusi huko Irpin, Ukraine. Kifo cha msanii huyo kiliripotiwa na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom