International Forum

News and Stories from rest of the World
Qassem warned that Hezbollah's decision to respond to the death of a Hezbollah terrorist in Damascus last year was still in place. Hezbollah deputy secretary-general Naim Qassem stressed that...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Serikali Nchini humo imezifunga Shule kwa muda wa siku 10 na kuimarisha upimaji katika Viwanja vya Ndege kufuatia ongezeko la maambukizi. Uamuzi wa kufungwa Shule umetolewa na Rais Abdelmadjid...
0 Reactions
1 Replies
653 Views
Rais wa Kazakhstan Kassym-Jomart Tokayev amemuachisha kazi waziri wake wa ulinzi leo akimtuhumu kwa kutoonyesha uongozi wakati nchi hiyo ilipozongwa na machafuko mabaya zaidi kuwahi kutokea katika...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza kuwa uvaaji wa barakoa na sheria nyingine za kujikinga dhidi ya COVID-19 zitatupiliwa mbali baada ya nchi hiyo kuwa na maambukizi madogo ya corona baada ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kundi la Wataalamu 36 wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa limesema Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia kwa kiasi kikubwa dhidi ya Wanawake na Wasichana Wanawake...
0 Reactions
5 Replies
999 Views
More than 560 Israeli settlers have stormed the al-Aqsa Mosque compound in the occupied Old City of East al-Quds under the protection of the regime’s forces in the latest provocation against the...
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Simba na Puma katika mbuga ya kuhifadhia wanyamaporinchini Afrika Kusini huenda wameambukizwa virusi vya corona kutoka kwa wamiliki wao, kulingana na utafiti uliofanywa na wanasayansi katika chuo...
2 Reactions
10 Replies
909 Views
Mullah Hasan Akhund anayekaimu nafasi ya Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema Utawala wa Taliban umekidhi vigezo vyote hivyo itambuliwe na Serikali za Kimataifa Akhund ameeleza hayo katika hotuba...
0 Reactions
2 Replies
896 Views
Israel said to secretly ink unprecedented deal to supply gas to Lebanon, via Jordan Israel has signed an agreement to indirectly pump natural gas to Lebanon to aid the...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Mshauri maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia maswala ya Libya Stephanie Williams amesema anapendekeza kufanyika uchaguzi wa Libya ifikapo Juni, baada ya kushindikana kufanyika uchaguzi huo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Moja ya mambo yanayoleta utofauti kati ya Donald Trump na huyu American presida wa sasa Joseph Biden ni msimamo katika baadhi ya mambo. Twende kwa mada; Masaa machache yaliyopita makamu wa Rais...
10 Reactions
222 Replies
21K Views
Idadi hiyo ya maambukizi imetajwa kuwa kubwa zaidi kurekodiwa tangu kuanza Mlipuko wa COVID-19, pia Vifo vipya 239 vimerekodiwa kwa mujibu wa Takwimu za Taasisi ya Robert Tech (RKI). Jumla ya...
1 Reactions
0 Replies
605 Views
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amewaonya Viongozi wa Mataifa kuwa mlipuko wa Virusi vya Corona haujaisha. Amesema kwa wiki iliyopita pekee, Kirusi cha...
2 Reactions
6 Replies
998 Views
Negawo Jimma, ni kijana ambaye ambaye anaishi katika mji wa Maqii uliopo katika jimbo la Oromia nchini Ethiopia, anasema kimo cha urefu wake kimeyatatiza maisha yake. Negawo, mwenye umri wa miaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya wiki chache, chanjo ya watu wazima itakuwa ya lazima nchini Austria. Kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa Februari, wale ambao hawajachanjwa watatozwa faini kubwa. Tangazo hili lilitolewa...
0 Reactions
3 Replies
879 Views
Polisi nchini Msumbiji wanasema kichwa cha mwanaume mwenye upara kimekatwa na kuondolewa na wahalifu waliotaka kukiuza kwa mteja wao nchini Mali. Wakati mteja wao alipotoweka, walikiacha kichwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huku tukiwa tumeshuhudia uapishwaji wa mtoto wa tshisekedi kuwa rais wa congo. Ni vyema kujikumbusha baadhi ya mambo ya kiti cha urais wa congo Aliwahi kuwepo kijana wa kwanza wa Marechal Mobutu...
18 Reactions
370 Replies
50K Views
Rais Xi Jinping wa China hivi karibuni amehutubia Kongamano la mwaka 2022 la Baraza la Uchumi wa Dunia kwa njia ya video, akihimiza jamii ya kimataifa kushirikiana katika kukabiliana na changamoto...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Maafisa Usalama nchini Afghanistan wamesema watu zaidi ya 20 wamefariki kufikia sasa baada ya matetemeko ya ardhi ya mfululizo kukumba eneo la magharibi mwa Afghanistan siku ya Jumatatu, maafisa...
0 Reactions
4 Replies
717 Views
Waandamanaji wameweka vizuizi barabarani katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum wakati baadhi ya maduka na Ofisi yakifungwa kutokana na mgomo wa siku mbili uliochochewa na vifo vya waandamanaji...
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Back
Top Bottom