Polisi katika jimbo la Zamfara Kaskazini-Magharibi mwa Nigeria wanasema wamewakamata watu wanne wanaodaiwa kuhusika na ulaji nyama za watu na kuuza sehemu za binadamu- jambo ambalo ni nadra sana...
Mwanamfalme Andrew amepoteza vyeo vyake vya kijeshi na ufadhili na hatoitwa tena jina linalopatiwa wafalme la HRH.
Majina ya kijeshi ya Duke wa York na ufadhili wa kifalme umerudishwa kwa...
Former President Ahmed Abdallah Sambi and Ikililou Dhoinine of Comoros are caged for allegations of grand corruption that now their Legal Advisers see it as over-politicized suit.
In 2008, the...
Hivi karibuni, Nigeria iliteketeza dozi milioni 1.06 za chanjo ya COVID-19 ya AstraZeneca iliyokwisha muda wake. Wakati virusi vipya vya Corona Omicron vinaenea haraka duniani kote, jambo hilo...
#Waisrael watano wakamatwa kwa tuhuma za kuipeleleza Israel.
Waisrael watano wamekamatwa kwa tuhuma za kuisaidia Iran kuipeleleza Israel ndani ya Israel. Wayahudi hao wamelipwa ili kukusanya...
Nigeria imetangaza kuondoa marufuku iliyowekwa ya kutumia mtandao wa Twitter Juni 4 mwaka uliopita ikiwa miezi 7 ambayo taifa hilo lenye zaidi ya wakazi milioni 200 halijaweza kutumia huduma hiyo...
Mfalme wa Kisiwa cha Ijwi huko Kivu Kusini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anasema Wanyarwanda zaidi ya 100 waliokuwa wamekimbia nchi yao kukwepa chanjo ya Covid-19 walirejeshwa nchini...
Shirika la Afya Ulimwenguni limeonya kwamba nusu ya bara Uropa itakuwa imeambukizwa kirusi cha Covid -Omicron ndani ya wiki sita hadi nane zijazo.
Dk Hans Kluge alisema "wimbi la kutokea...
Mwezi Oktoba mwaka jana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) Bill Burns alisema kuwa, Shirika hilo linaanzisha vituo viwili vikubwa, kimoja kikilenga China na kingine...
Katika hali ya kuonesha jinsi Dunia inavyotumia mbinu za yule shujaa wa Afrika kukabiliana na Maladhi yenye utata yaliyopewa jina la Covid19 nchi ya China imefanikiwa kubaini matunda yenye virus...
Waziri wa afya wa Uingereza Matt Hancock amejiuzulu. Hancock amejiuzulu baada ya kuvunja sheria ya kuthibiti kuenea kwa virusi vya corona kwa kuweka umbali wa mtu mmoja hadi mwingine akiwa na...
MADAKTARI 11 wamemwandikia barua ya wazi Rais wa Ghana, Nana Addo Dankwa Akufo-Addo kutoa mwongozo ikiwezekana kusitisha usambazaji wa chanjo za corona kwa ajili ya kupambana na janga la corona...
Serikali ya Ethiopia imesema itawaachia Viongozi kadhaa wa Upinzani, ikiwa ni jitihada za kuleta maridhiano ya kitaifa na kuhamasisha amani.
Imeelezwa, Viongozi wa Tigrayan People's Liberation...
Bunge la Uturuki limepitisha Sheria ya kusimamia maudhui ya mtandaoni, hatua ambayo wakosoaji wanadai itaongeza udhibiti na kusaidia Mamlaka kuficha mawazo tofauti na yale waliyokuwa nayo...
Mwanzoni mwa mwaka mpya, waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi alipendekeza "Mpango wa Maendeleo ya Amani katika Pembe ya Afrika" wakati wa ziara yake katika nchi tatu za Afrika, na...
Russian computer scientist Valeri Spiridonov is set to undergo the world's first full head transplant, with the 30-year-old expressing hope of "success" in a pioneering operation he has deemed...
Mamlaka nchini Burkina Faso imetangaza kukamatwa kwa wanajeshi wanane wanaotuhumiwa kupanga njama ya mapinduzi.
Miongoni mwa waliokamatwa ni Kanali Mohamed Emmanuel Zoungrana - kamanda maarufu wa...
Ikiwa kama ni namna kulipiza kisasi cha kuuliwa Afisa wa Jeshi la Iran aliyekuwa pamoja na wale Hezbollah wiki iliyopita, Iran inataka kuwaua watoto wa wiwili wa Waziri Mkuu wa Israeli Netanyau...
Na Ronald Mutie
Kenya, Eritrea na visiwa vya Comoro ndio nchi tatu ambazo waziri wa mambo ya nje wa China alitembelea mwaka huu.
Ziara ya Wang Yi kwenye nchi hizo imeendeleza desturi ya China...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.