Mwaka umeanza kwa Iran kuwaua makamanda watatu wa Israel.
Hatimaye Iran yafanya mauaji ya makamanda wa juu wa jeshi la Israel na Marekani kimya kimya kwa kulipa kisasi cha Major General Qasem...
Twitter permanently suspended an account linked to Iran’s supreme leader after it promoted a video depicting the assassination of former President Donald Trump, according to a report.
”The...
LONDON — In Britain, France, Spain and other countries across Europe, politicians and some public health experts are pushing a new approach to the coronavirus pandemic borne of both boldness and...
Mwinjilisti maarufu wa Marekani Michael Todd azua tafrani na kuibua hisia za hasira miongoni mwa watu baada ya video yake akimpaka mate muumini kusambaa.
Katika ibada hiyo ya Jumapili Mchungaji...
The planet Earth needs World War III to redefine it anew given its current status-quo that makes it a huge graveyard.
1. Medics destroy health.
2. Lawyers/Magistrates/Judges destroy justice.
3...
Kampuni ya mawasiliano ya Huawei ya China imesema itapeleka teknolojia yake ya 5G ili kuimarisha uhifadhi wa wanyamapori mashuhuri barani Afrika huku kukiwa na vitisho vinavyohusishwa na shughuli...
Madaktari nchini Sudan wameandama, kulaani kushambuliwa na maafisa wa usalama wakati wa maandamano yanayoendelea mara kwa mara kushinikiza jeshi kurejesha uongozi wa raia, tangu mwaka uliopita...
Polisi nchini Haiti imesema seneta wa zamani ambaye ni mshukiwa mkuu katika mauaji ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Jovenal Moise ametiwa mbaroni nchini Jamaica.
Msemaji wa jeshi la polisi Gary...
Mjasiriamali Elon Musk ametangaza mpango wake wa kuunda makao ya binadamu katika sayari ya Mirihi (Mars kwa Kiingereza),ingawa wanaotaka kunufaika watahitajika kulipa pesa nyingi.
Tiketi ya...
Picha: Hayati Ibrahim Boubacar Keita
Rais wa Mali aliyetolewa kwa nguvu Madarakani Ibrahim Boubacar Keita (76) amefariki dunia katika mji mkuu wa nchi hiyo Bamako.
Chanzo cha kifo chake...
Mfanyabiashara Mkubwa Jimbo la Zamfara nchini Nigeria amekamwatwa kwa kosa la kuua kwa kumchinja mtoto wa kiume wa miaka tisa.
Aminu Baba ambae anafanya biashara ya kuuza magari amekiri kumuua na...
Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayosimamia haki za binaadamu imesema kuwa takribani raia 108 wameuawa katika mashambulizi ya anga kwenye jimbo la Tigray, Ethiopia tangu kuanza kwa mwezi huu.
Msemaji...
Former South African president says his country was asked by UK for help with military plan to remove Robert Mugabe
Mbeki alleged that the former British prime minister pressured him to join a...
Mahakama nchini Myanmar imemhukumu jela aliyekuwa kiongozi wa kiraia Aung San Suu Kyi miaka mingine minne, kwa kosa la kumiliki na kuingiza vifaa vya mawasiliano- walkie-talkies kinyume cha sheria...
Malengo ya Maendeleo Endelevu
Hatua hiyo ni kwa kutambua kuwa kupata huduma za nishati ni msingi wa maendeleo na hitaji la msingi katika kukidhi mahitaji ya binadamu na ukuaji wa uchumi. Ukosefu...
Nchini Mali kuna maandamano makubwa karibu nchi nzima yanayoendelea kupinga unyonyaji wa Ufaransa wa miongo zaidi ya 60 (koloni lilitawala Mali) nchini humo.
Lakini Katika hali isiyo ya kawaida...
Taliban ambao wanaendelea kuiongoza Afghanistan wameweka sheria kali za matumizi ya simu kwa watu wa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ambapo huduma ya simu itapatikana kuanzia saa tatu asubuhi...
Africa has become the fastest urbanizing region of the world, with rural migrants moving into cities a clip that has even surpassed that of China and India, as the continent becomes one of the...
Polisi ya Afrika Kusini imeng'oa mimea kadhaa ya bangi iliyopandwa karibu na ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa mjini Pretoria.
Mimea hiyo ni mali ya wanaharakati kutoka jamii ya wazawa ya Khoisan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.