Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Afrika ina idadi kubwa zaidi ya wagonjwa wa malaria duniani na jitihada zinafanywa kupunguza mzigo huo. Malaria inasalia kuwa moja ya magonjwa hatari zaidi barani / Picha: AP Muungano wa...
0 Reactions
2 Replies
384 Views
Ndugu Wana JF, Kama Uzi unavyojieleza mwamba nimekutana na jambo, nimemshona mtoto wa mtu uko sasa siku iliyofuata natazama uume umeanza kujaa. Matabibu mliopo umu msaada katika hili, tupanuane...
5 Reactions
124 Replies
10K Views
Kwanza niwatoe hofu kwa wale wote ambao wamepatwa na Hali hii na kudhani ya kuwa ni mambo ya kishirikina, kisayansi Hali hii inaitwa SLEEP PARALYSIS. Sleep paralysis ni Hali ambayo inawapata watu...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari ya kazi Wakuu. Ndani ya mkoa wa Dar es salaam, maziwa hayo yasiwe ya Soya au Almond. Kwa kampuni yoyote ile inayozalisha maziwa ya watoto.
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Habar wakuu presha ya kawaida kwa mjamzito miez 8 huwa inacheza ngap kitaalamu Mke wang amefanya clinic zahanat hapo hivi sasa ana miez 8 ya ujauzito presha yake inacheza 135 kwa 88 baadae...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Maambukizi ya utando wa kinywa (Stomatitis), inahusu kuvimba na uwekundu wa utando wa mdomo (oral mucosa) ambayo husababisha maumivu na ugumu wa kuzungumza, kula, na kulala. Inaweza kuathiri...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Wakuu habari ... Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la mucus kwenye koo linalopelekea nitoe makohozi yenye harufu mbaya sana na kinywa kunuka sana. Nimekwenda hospitali nikabainika tatizo la post...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Punyeto ni nini? Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa...
24 Reactions
9K Replies
2M Views
Wakuu poleni na majukumu! Naomba mwenye kujua tiba ya kifua iwe mbadala au ya kisasa kwa mtoto mwenye kusumbuliwa na kifua kilichosababishwa na kuvuta maji machafu wakati wa mama kujifingua...
1 Reactions
5 Replies
11K Views
Kuna jamaa yangu age yake ni kati ya miaka 29-30, huyu jamaa shida yake muda wote kuongea peke yake tena, muda mwingine Kwa vitendo kabisa. Yaani huyu jamaa anaweza kuanza kuelezea mipango yake...
8 Reactions
72 Replies
4K Views
Jamii imetakiwa kuwa makini na matumizi ya vidonge na njia mbalimbali zinazotumiwa kwa lengo la kutoa mimba kuwa zinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya na hata kusababisha kifo. Baadhi ya dawa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nauliza ni hospital gani nzuri kwa watoto maeneo ya Tabata, hospital itakayokua na daktari mzuri kwa kutibia watoto.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heri ya mwezi mpya! Wakuu toka utoto wangu hadi umri huu, nina uoga wa ajabu sana nipandapo kwenye 'tall structures'. Utotoni michezo ya kupanda miti mirefu, nilikuwa naogopa sana kiasi cha...
1 Reactions
2 Replies
689 Views
Wataalam macho yangu sehemu ile ambayo inatakiwa kuwa nyeupe yenyewe yana rangi ya uwekundu wekundu kama mvutasigara au bangi, mnywa pombe kali na hili nimeliona kwa watu wengi wa bongo. Kama...
2 Reactions
15 Replies
46K Views
Natumaini ni wazima, Mimi NAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU MKUBWA Naomba kufahamu dawa ya kutumia ili kupunguza maumivu ya jino. Ahsanteni
1 Reactions
3 Replies
599 Views
Habari wanajamii forum,Niende moja kwa moja kwenye mada,ninae mtoto wa kike alikuwa mzima anasikia vizuri kabisa!Sasa changamotoimekuja baada ya kwenda form five term ya pili2022Akiwa huko akawa...
0 Reactions
10 Replies
825 Views
Wataalamu habari!! Hivi hii Hali ni kawaida au Mimi tu ndo natatizo Kila nikimaliza kufanya mapenzi Afu nikaenda kukojoa basi huwa napata maumivu fulani kwenye kichwa Cha uume kwa ndani yani...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwanangu wa kike mwenye miezi 6 amedevelop tabia ambayo nadhani ni zaidi ya jambo la kawaida.ameanza kutingisha kichwa kwa namna ile mtu afanyavyo kuonyesha kukataa jambo.mwanzo tuliona ni mchezo...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Ukienda kupata matibabu Zahanati/Kituo cha Afya/Hospitali ya Wilaya/ Hospitali ya Rufaa au Mkoa/ Hospitali ya Kanda na Hospitali ya Taifa Muhimbili kitu gani kina kukera ili Wizara ichukue hatua...
0 Reactions
2 Replies
729 Views
Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika...
6 Reactions
10 Replies
23K Views
Back
Top Bottom