Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Watoto Njiti huwa kwenye hatari kubwa ya kupatwa na Vifo vya Ghafla kutokana na Sababu zisizojulikana wanapokuwa kwenye Mazingira yaliyochafuliwa na Moshi wa Sigara Mazingira ya aina hii hudumaza...
0 Reactions
1 Replies
824 Views
habari wana jf!!! natumaini ni wazima wa afya. nina ndugu yangu akikojoa mwishoni mwa mkojo unauma sana na wakati mwingine anatoa damu kidogo... ila hapati maumivu ya tumbo wala homa. ameenda...
2 Reactions
24 Replies
24K Views
umri wake ni miaka 47 Kwa Sasa amekuwa akisumbuliwa na tatizo la tumbu yaani akienda hospital kupima anakutana na shida za kawaida tu kama typhoid au minyoo au vidonda vya tumbo na wakati mwingine...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wana jf, Kama kichwa kinavyosema, nimekua nikiangaika na tatizo la nywele kua nyeupe sehem za siri nimekua nikinyoa lakini bado hazibadiliki naombeni dawa
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Nawasalim ktk jina la jamuhuri. Binafsi nimekua na tatizo la kupatwa madonda ya kooni (tonsels) kwa muda mrefu sasa na hutokea pale ninapotumia vinywaji baridi wakati mwingine hunipelekesha hadi...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Mimi nina mtoto wa kiume sasa ana miezi sita. Gesi zilimsumbua sana, huku niliko tumezoea kuita mchango. Nilitumia sanaaaa dawa za hospital, ila mchango ulikua mkali sana na unajiludia malakwa...
2 Reactions
1 Replies
21K Views
Daktari bingwa wa afya na magoniwa ya akili wa Hospitali ya Rufani ya Kanda ya KCMC, Dk. Editruda Gamassa, amesema hivi sasa wanapokea wagonjwa wa nie wenye matatizo ya afya ya akili, zaidi ya 300...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu habari za majukumu mke wangu amejifungua ila tatizo ni kuwa maziwa hayatoki kabisa je ni dawa gani anaweza kutumia?
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kipindi cha nyuma kama miaka 6 hivi (2014 au 2015) nilimgonga wife akiwa katika siku zake. Kipindi hicho bado nilikuwa sijamuoa, ndio...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
KWANINI UNENE(OBESITY) UNAZIDI KUONGEZEKA KWA KASI SIO TANZANIA TU DUNIA NZIMA Somo ili linaletwa kwenu na DR KAMALA Janga la unene au uzito uliopitiliza limezidi kuongezeka kwa Kasi sio tu kwa...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapedwa wanajukwaa, binti yangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi mitano, alizaliwa akiwa na afya tele kwa maana hakuwa na ugojwa wowote, mama yake alifanikiwa kumnyonyesha miezi sita ya mwanzo...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Habarini, Wadau hebu tujadili hili suala mara nyingi mwanamke baada ya kujifungua wengine huchelewa kuanza kupata ada ya mwezi kwa mwingine huchukua miezi kadhaa hata miaka miwili bila kupata...
0 Reactions
7 Replies
34K Views
Wakuu heshima kwenu Tatizo hili silielewi kabisa; siwezi kulala chali zaidi ya dakika 10, na nikizidisha hapo napata maumivu makali ya tumbo kiasi kwamba inanilazimu niamke nikae kwanza kama dak...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Hali zenu waungwana, Kwa atakaekuwa na ujuzi/msaada juu ya maumivu ya meno na fizi nitamshukuru mno. Ninasumbuliwa na meno kuuma hasa ya upande mmoja wa kinywa (kulia), yanavuta mpaka kwenye...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu habari za asubuhi? Mdogo wangu wa kike kila akimaliza kuoga lazima maji yamuwashe mpaka unamuonea huruma anavyojikuna.Hata akipigwa na mvua kidogo basi inakuwa taabu kweli kweli...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habar wadau !!! Nimejaribu pitia majarida kadhaa uko mtandaoni zipo tafiti nyingi zinafanywa na wanasayansi kujua km upo uwezekano wa mtu mzima kuota meno km ilivyo kwa viumbe km papa.mamba nk...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakubwa heri ya Mwaka mpya. Pole sana na Majukumu yenu. Moja kwa Moja bila kupoteza muda niende kwenye mada. Kuna Rafiki yangu amepata tatizo la sikio kuwa linapiga kelele sana wakati wote pia...
0 Reactions
11 Replies
13K Views
Hivi macho kuuma, mfano kutoa machozi mpaka jicho moja kuanza kutoona mbali kunasababishwa na nini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mtoto aliyezaliwa kabla ya kufikisha wik 37 za ujauzito huitwa Njiti. Lishe bora ni muhimu sana kwa watoto njiti kwa sababu inachangia moja kwa moja katika ukuaji wao na maendeleo ya kimwili na...
1 Reactions
2 Replies
759 Views
Back
Top Bottom