Je, mgonjwa wa figo ambaye zimesha haribika na yuko kwenye dialysis huwa maisha yake yakoje? haswa mgonjwa aliye kijana na mwanaume. Je, huwa anaweza ishi maisha ya kawaida, yani kufanya mazoezi...
Wapendwa kwema? Jamani nasumbuliwa na muwasho kwenye njia ya mkojo unaoambatana na mkojo wenye harufu kali.
Nimeenda muhimbili, nimepiga xray, nimeotesha mkojo(urine curlture) lakini nimeambiwa...
Habari za uzima ndugu zangu,
Naomba kuuliza kuna kozi za afya ambazo ukiwa na degreee sio rahisi sana kupata kazi tofauti na mtu mwenye diploma???
Au ni rahisi kupata kazi ukiwa na degree tofauti...
Salaam Wana-JF Doctor!
Niende moja kwa moja kwenye mada! Mtoto wa sister yangu mwenye umri wa miaka 3 anateseka sana kwa ugonjwa ambao hapo kabla tuliamini ulitokana na kula samaki. Kwa kifupi...
1. Unazalisha takriban mililita 500 hadi 1,500 za gesi kwa siku, na kuitoa kwa mara 10 hadi 20.
2. Unaweza kuiwasha gesi ya kijambo kwa moto. Ina gesi aina ya methane na hydrogen ambazo zinawaka...
Habari Team
Hii ni wiki sasa, palianza kama uvimbe mdogo (kigololi) then pakawa panawasha sn.
Nilipataje?
Siku moja nilitoka shamba baada ya kumalizia shughuli za shamba gafla nikaanza kusikia...
Habari wakuu. Kuna kipind nilikuwa nahisi dalili kama maumivu chini ya kotovu na homa kali nilivyopima nikabainika nina U.T.I nikaanzishiwa Dozi, baada ya mda nikawa sawa kabisa, Ila baada ya mda...
MAZIWA YA NG'OMBE HALISI NA UNGA WA KARAFUU NI TIBA YA MARADHI MENGI.
Kijiko kidogo cha Unga wa karafuu ya kusaga changanya na glasi moja ya maziwa chemsha kwa dakika 5 Kisha Kunywa kwa kila...
Februari 6 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukeketaji. Mila hii ingawa inapingwa vikali, bado inaendelea kufuatwa na baadhi ya makabila.
Rhobi (sio jina lake halisi) ni binti wa...
Bandhugu'
Nasikia hii ni dawa nzuri sana
Urine therapy refers to one of several uses of urine to prevent or cure sickness, to enhance beauty, or to cleanse one's bowels. Most devotees drink...
Tatizo la kuharisha safarini linatatiza sana na pia huabisha. Shida hii husababishwa na sumu zilizotengenezwa na bakteria au virusi uliowameza kwenye msosi. Ni jinsi gani ya kujizuia.
1. Usile...
FAIDA YA KEGEL NA JINSI,YA KUFANYA MAZOEZI YA KEGEL (Wanaume)
Kufanya mazoezi ya Kegel ni muhimu kwa kila mwanaume, nasema hivi kwa sababu ni zoezi ambalo kila aliyelifanya mara kwa mara ndani ya...
Habari wana JF,
Ni muda sasa umepita hii halii siioni tena kwani kipindi cha nyuma nilikuwa wakati nikienda haja kubwa ni lazima uume usimame haswa ila kwa sasa sioni ukisimama; sasa najiulizaa...
Wandugu naomba kufahamu dalili za ugonjwa wa appendex. Pia naomba kufahamu matibabu yake. Vilevile nikifahamu visababishi vya ugonjwa huu itakuwa bora zaidi
Nawasilisha
======================...
pombe ni nini?
pombe ni neno ambalo linajumuisha aina zote za vilevi unazozifahamu, pombe za aina mbalimbali zinatengenezwa na kutumika na jamii zote duniani japokua kuna baadhi ya dini haziruhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.