Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Tafiti iliyofanyika Uingereza ilijumlisha watu 26,000 wenye umri kati ya miaka 26-60. Imeonyesha kuwa ulaji wa nyama unatoa virutubisho vinavyosaidia mwili kuimarisha mifupa. Idadi kubwa ya...
4 Reactions
5 Replies
542 Views
Taasisi ya utoajii huduma za afya ya Aga Khan, Tanzania kupitia ubia wa kukabiliana na UVIKO-19 kati ya Umoja wa Ulaya na mtandao wa maendeleo wa Aga Khan imezindua jukwaa la mafunzo ya kiduitali...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Imeshanitokea si chini ya mara TATU, wakati ukiendelea na tendo kondomu za Bull ZINAPASUKA. Mungu bariki hapakuwepo maambukizi. TBS chukueni hatua, mnaangamiza maisha ya watu....!
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Pitapita zangu mitandaoni nikakutana na hiki kitu kuwa huyu ndiye mdudu anayekuwepo usoni na kusababisha chunusi hizi tuzionazo baada ya balehe👇 Wanasema unapobinya chunusi hutokea weupe ule...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Rainwater almost everywhere on Earth has unsafe levels of ‘forever chemicals’, according to new research. Per- and Poly-fluoroalkyl substances (PFOAS/PFAS) are a large family of human made...
1 Reactions
1 Replies
639 Views
Fungasi za kwenye unyayo, pembezoni mwa miguu na kwenye vidole. Nimewah kujaribu tiba kadhaa na powder bila mafanikio yoyote. Mwenye utaalam na hili tatizo naomba msaada.
2 Reactions
24 Replies
11K Views
Salaam! Wakuu nipo nyumbani wilayani Pangani mkoani Tanga namalizia msiba wa kaka yangu wadamu aliefariki katika hospitali ya taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ikishirikiana na...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Natumaini mpo salama wapendwa naomba msahada wakujua dawa ya matibabu ya muwasho wa ngozi asa pale mtu anapokuwa katika hari ya mwili kuisi joto au mshtuko wowote uwa mwili uanza kuwasha sana sana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Anayeijua dawa ya jino /meno mbali na kung'oa anisaidie maana nimeng'oa naona sasa yanaisha Karibuni..
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Watoto wachanga wanapaswa kuanza kunyonyeshwa maziwa ya mama ndani ya saa moja baada ya kuzaliwa ili maziwa yaanze kutoka mapema. Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) wanaeleza kuwa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wa ndugu naomba msaada ndugu yangu amepatwa na ugonjwa wa parkison naomba kwa anayejuwa tiba au jinsi ya kumsaidia, nawakilisha kwenu tafadhali
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa muda upatao mwaka na miezi mitano sasa nimekua mtu wa dawa za maumivu, kwenda hospital kujaribu kutumia tiba mbadala na hata kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali pasipo mafanikio...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Ikiwa mbegu za uzazi zitatoka kwenye uume wakati wa kujisaidia haja kubwa, inamaanisha kuna udhaifu kwenye tezi ya kiume "prostate''. Hii ni kwasababu ukanda wa pembeni wa tezi dume (peripheral...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari za majukumu wataalam, Nimekuwa na tatizo kwenye sikio takribani miaka 2 sasa tatizo lilianza kutokea baada ya kupingwa sehemu ya sikio la kushoto na baada ya siku mbili lilitoa damu nyeusi...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Naombeni msaada juu ya kutibu hili tatizo mdogo wangu anasumbuliwa na kifua kumuuma na mapafu kuuma naombeni msaada
0 Reactions
5 Replies
931 Views
Habar ndugu Mimi nina mpenzi wangu, karibia mwaka mzima tupo kwenye mapenzi yetu, hata siku moja hatujawahi kutumia condom na pia huwa tunafanya muda wowote saa yoyote tunapopata nafasi kwa mwezi...
2 Reactions
99 Replies
5K Views
  • Closed
Hivi mtu unapo toka kuumwa let's say Malaria na UTI sex desire, Sex drives na erection hupungua? Nimetoka kuumwa najiona hovyo
1 Reactions
4 Replies
458 Views
Thursday, August 04, 2022  The latest figures are in, and things are not looking good for “fully vaccinated” Australia. Even though more than 96 percent of the native population there took the...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Asilimia 97 ya watoto wanaozaliwa hunyonyeshwa maziwa ya mama na kwamba asilimia 92 ya watoto hunyonyeshwa kwa kipindi cha mwaka mmoja na kuendelea. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jami, Jinsia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za majukumu na JF. Nina mpenzi wangu ambae nampenda pia nae ananipenda. Na tumekua na mahusiano yaliyodumi kwa muda wa mwaka mmoja Mara kadhaa ameniomba nimpelekee moto nimekua...
0 Reactions
5 Replies
616 Views
Back
Top Bottom