Habari z muda kaka na dada zangu wote wa humu jukwaani. Wakuu nimekuja na shida mficha uchi hazai hata kidogo.
Mimi ni mtu mzima 27 yrs nimeoa na mtoto hadi leo bado nakojoa kitandani inauma...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania...bila shaka wengi wenu ni wazima na kwa wale wenye matatizo mwenyezi mungu awatie nguvu....!! Ndugu zangu mabibi na mabwana leo hii nimekuja...
Habari ndugu najamaa nimekua katika wakati mgumu sana nibaada ya kutazama sex kwa muda mrefu na kujichua uume umekua legelege sana na unasimama kwa tabu na pindi unapo simama au unapo kua na...
Salaam,
Natumai wote mmeamka salama.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika je unasumbuliwa na Pumu? Basi inawezekana leo upo mahali sahihi pa kupata tiba ambayo inaweza ondoa kabisa...
Habari ndugu zangu. Natumaini wote ni wazima. Mimi ni mwanachuo Nilikuwa naomba kujuzwa kama kwa bima yangu hii ya NHIF(50400/=) naweza kuitumia kufanya vipimo vya macho kwenye hospitali kama vile...
Habarini za jioni Wana JF.
Humu ni sehemu ambayo nimejifunza mengi. Watu wamepata utatuzi wa yale yanayowasibu.
Kama mada inavyosema, nina tatizo la ganzi nyayoni. Hii husababishwa na nini? Nini...
Husika na kichwa cha habari,
Uzito wa kupitiliza umekuwa ni janga kwa watu walio wengi kuanzia vijana hadi wazee.
Hii yote ni kulingana na ulaji mbovu wa vyakula kama chips na wanga...
Habari mabibi na mabwana wa jukwaa kubwa la JamiiForums
Sitaki kwenda mbali sana nikawachosha naomba tu kufahamu dalili za mtu anayeanza kuwa na matatizo ya akili kichwani.
Uzi tayari!
Wakuu,
Tukubali tukatae kwa sasa kumekuwa na matukio mengi ambayo sio ya kawaida Kama vile Kuuwana, kufanya vituko vya kujiaibisha na mhusika akaona ni sawa nk nk.
Ukisoma machapisho kadha wa...
Habari watalamu.... Mm naomba ufahamu ktk hili ,hivi mbegu za kiume hata tone zinafaa kumpa mimba mwanamke? Au nikiasi gani Cha mbegu kinatosha kubebesha mimba, je Ni mbegu zile za kwanza au hata...
Kampuni hiyo ya Afrika Kusini imetangaza kuacha kuuza poda yake ya watoto yenye kemikali ya #talc duniani kote ifikapo Mwaka 2023, kutokana na hofu ya usalama wa watumiaji
Mnamo 2020, J&J...
Habari jf?
Naomba tushee mawazo kuhusu hili suala.
Nimekutana kimwili na huyu binti toka tarehe 1 August, 2022 bila kutumia kinga.
Leo hii nimejaribu kumpima UPT bila yeye kujua maana alikua...
Kipindi nasoma advance mzazi wangu alinionya na kuniambia jirani yangu ana mamb ya kichawi ,na nilikuwa sipendi kabisa wajue mambi yangu hususan ninasoma wapi.
Ikatokea siku nikiwa nalipa ada kwa...
Jamani habari za jioni, Mimi ninasumbuliwa na tatizo la mapigo ya moyo kwenda mbio, ambapo tatizo hili lilinianza ghafra na lipo kwa muda wa miaka miwili mpaka Sasa.
Mapigo ya moyo haya mwanzoni...
Habari zenu wadau wapendwa wa JF?
Naombeni msaada was ushauri was kitabibu tafadhali
Mpaka hivi leo ni zaidi ya week moja na ziada nimekuwa nikipatwa na maumivu kwenye koo especially nikiwa...
Jana waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu alitoa maelekezo kwa Lightness Shirima (22), mwanafunzi wa Chuo Cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo - Dodoma kufika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya...
Magonjwa ya saikolojia yanasumbuwa watu wengi saana. Ningeomba serekali wafanye kila liwezekano wawasaidie wanainch
Ilikuwa 2021 kuna mwana dada fulani ambaye kwenye Facebook alikuwa anaomba...
Nipo katika wakati mgumu Sana kisaikolojia sielewi yaani nifanyaje ,
Mwaka 2017 Kuna binti mmoja naona ndo chanzo Cha mm kuwa hivi nilivyo leo
Huyu binti Kuna siku alikuja gethon bila hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.