WEKA TABIA YA KUPIMA MARA KWA MARA
1. Shinikizo la damu
2. Kiwango Cha damu Sukari/kisukari
3. Kiwango Cha lehemu/Cholesterol
PUNGUZA
1. Chumvi
2. Sukari
3. wanga
4. Maziwa
5. Vyakula...
Kwa mujibu wa ripoti ya WHO, magonjwa yasiyo ya kuambukiza huua Zaidi ya watu milioni 41 kila mwaka, hii ni sawa na asilimia 71 ya vifo vyote vinavyotokea duniani.
Magojwa ya moyo na mfumo wa...
Habari zenu wana Jf,
Nimekuwa nikiona kwa baadhi ya wanawake mistari ya mishipa ikionekana hasa miguuni na kwenye mikono, inakuwa imejichora inaonekana kwa mbali Kama misuli hivi.
Napenda kujua...
Kwa uzoefu wangu mdogo nimebaini Watanzania wengi sana tunapofikisha miaka around 40 tunaanza kupata changamoto nyingi sana za kiafya zinazo weza kuzuilika kutokana na life style zetu.
Ukiachana...
Madokta naombeni msaada huaga inanitokea hali flani ya kuwashwa hiyo sehemu tajwa baada ya kutoka msalani na muwasho unakua Mkali na unadumu kwa dakika kadhaa.
Najikuta nikipata Aibu kujikuna...
Imekuwa zaidi ya ugonjwa unakuta mtu amependeza hasa aila akikusogele kuongea mdomo wake unato harufu si nzuri.
Nashauri elimu itolewe kwa kila namna kuondoa hili tatizo.
Shirika la Afya Ulimwenguni limesema kuwa halijashangazwa na ripoti ya kwanza iliyotolewa hivi karibuni inayoonesha kuwa mbwa ameambukizwa ugonjwa wa homa ya nyani kutoka kwa binadamu aliyekuwa...
Am in tears,
Mwanangu alizaliwa mzima hana shida yoyote (4kg) hiyo siku alilia sana hadi joto likapanda to 41 (alikua na siku mbili tangu kuzaliwa) nesi akamchoma sindano hakunambia ya nini, basi...
Wapendwa nianze kwa kuomba radhi kama mada hii ilisha wahi tolewa bila mimi kujua.
Nimekuwa nahangaika sana na tatizo hili la chango kwa kuamini ninalo kwani kwanza kabisa kwangu ninapokuwa na...
Wadau hasahasa waliopo Dar, natafuta whey protein ili inisaidie nataka kupunguza unene na kujenga mwili...mwenye kujua inapouzwa anijuze, kwa sasa nipo Mwanza.
Nawasilisha
ziko zinapatikana...
NI WAKATI GANI USITUMIE DAWA
Habari wana jf natumaini mnaendelea vyema na majukumu yenu ya ujenzi wa taifa
Watu wengi wanaamini kuwa kuna vitu hawawezi kufanya au kula wakati wanapotumia dawa...
Habari za wakati huu
Kuna msaada wa haraka na ushauri unahitajika ili suluhisho lipatikane na tujue kipi cha kufanya.
Kuna wamama wawili walienda kuwapa chanjo watoto wao mtoto mmoja chanjo ya...
Wife kajifungua kwa njia ya upasuaji, Imeshapita miezi miwili sasa Je, naruhusiwa kuchakata Mbususu 🙂 Nimemisi sana, sina mchepuko wala sijawahi mcheat hata kwa punyeto...
Story nyingi eti mpaka...
“Kila nikihisi homa na kwenda hospitali kupima nakutwa na UTI. Imekuwa ikinitokea mara kwa mara, napewa dawa nakunywa lakini bado inarudi tena,” ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo...
Habari ndugu zangu wana JF health
Katika mihangaiko yangu leo nimepata offer na mshangazi mmoja hivi.... sasa nipo kwenye dozi ya malaria natumia sindano artmether injection (ARH-A) sasa kama...
Wana body nawasalim sana.
Sorry kwa usumbufu.
Naombeni msaada daktari bingwa wa watoto kwa ugonjwa wa degedege.
Mwanangu anasumbuliwa sana na degedege na mwili kukakamaa na macho kumtoka na...
Habarini wanajamvi.
Moja kwa moja kwenye mada. Je ugonjwa wa pressure kupanda unaweza sababisha kuchanganyikiwa? Mgonjwa ameugua miaka minne sasa. Amekua akitumia dawa za hospitali kwa miaka...
Ni mtoto wa umri wa mwaka na 0.5 .
1;Anasikia ,Ila ukimwita hawezi kuja wala kugeuka hata ukimgusa hageuki ataendelea na Mambo yake.
2:Ukimpa chakula hawezi kupokea ,ila vitu vingine anapokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.