Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Naomba msaada kwa yeyote anayejua kuhusu namna ya kutibu ugonjwa wa Arthritis ktk miguu hasa magotini inasababishwa na mambo gani na dawa yake ni nini hasa. Ahsanteni sana kwa mawazo yenu.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Kisayansi na kiafya inawezekana mwana mke kujifungua kwa kupitiliza miezi au wiki kwa mimba ya kwanza, kawaida inajulikana mumba kubebwa kwa wk 38 au 40. Hili ni melikuta hapa kwa jilani zetu mke...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwema waungwana, Naomba kufahamu ukiitoa dawa ya mseto ni dawa gani nzuri ya mararia kwa mtoto wa umri wa miaka minne(4)?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
WanaJF habari za Jumapili. Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya Nimetumia kila aina ya dawa hospitali nimejaribu kubadilisha...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Huu ugonjwa upo sana na utambuzi wake ni mgumu. Naomba kupata empirical data na evidence kuhusu kipandauso pamoja na dawa (za kienyeji na kisasa) pamoja na wapi matibabu yanapatikana. Kuna mdau...
5 Reactions
294 Replies
185K Views
Habari ndg zangu. Kama maada ilivyo hapo juu nina tatizo la kujing'ata ulimi usiku nikiwa nimelala je tatizo huwa nini na njia gani nitumie ili niondokane na hili Tatizo. Naombeni msaada wenu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hili tatzo lilinianza mwaka jana mwishoni sijui ni tatizo gani hasa hospitali nishaenda zaidi ya mara moja dawa nimetumia za aina mbali mbali lakini wapi. yani mara nimalizapo kula chakula au...
0 Reactions
4 Replies
784 Views
NAOMBA MSAADA, natumia smartphone Sina ya TECNO CAMON 15 AIR, Android 10 nimenunua tangu 2020 mwezi wa 5, lakini kufikia mwezi wa 11 iliharibika kioo sikuitumia Hadi mwezi ulio pita...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaams wana JF, Ninasumbuliwa na kelele zinazovuma ndani ya masikio yangu na kichwani kwa ujumla. Usiku sauti inakuwa kubwa zaidi. Hospitali nimeambiwa itaisha yenyewe, lakini ni zaidi ya mwezi...
0 Reactions
43 Replies
22K Views
Habari Naomba kuliza, Kama ulikua unaenda siku 28 za mizunguko wa hedhi halafu hujaona siku zako hadi siku 30 unaweza kupata mimba?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam wakubwa, Katika pitapita zangu za hapa na pale ktk mji kasoro bahari nikakutana na hiyo kitu. Kubwa ni kukumbushana tuh. Upo. Jihadhari. Kwa ambae hajaelewa. Wanaita UMEME, UKIMWI...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
HEALTH BENEFITS 1. Coconut and groundnut are sexual drive enhancers. 2. Carrot and cucumbers are sperm boosters! 3. Swimming enhances your memory. 4. Dancing reduces stress, S€x is also good...
10 Reactions
5 Replies
777 Views
Habari ya majukumu Jf, Hivi mwanamke anaweza kupata hedhi akiwa katika ujauzito hasa katika miezi ya mwanzo ya ujauzito, 𝙣𝙖𝙤𝙢𝙗𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙖𝙨𝙞𝙡𝙞𝙨𝙝𝙖, 𝙣𝙖𝙩𝙚𝙜𝙚𝙢𝙚𝙖 𝙠𝙪𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙪𝙛𝙖𝙛𝙖𝙣𝙪𝙯𝙞 𝙪𝙩𝙖𝙠𝙖𝙤 𝙣𝙞𝙟𝙚𝙣𝙜𝙖 𝙟𝙪𝙪 𝙮𝙖 𝙝𝙪𝙮𝙪...
2 Reactions
21 Replies
19K Views
Husikeni na mada hapo juu. Naomba tubadilishane juu ya namna bora ya kutumia kitunguu swaumu kama dawa au kinga na mambo unayoyaona baada kukitumia. Mimi huwa natafuna kitunguu swaumu wakati wa...
2 Reactions
42 Replies
19K Views
Baada ya Serikali ya Tanzania kuweka wazi kuwa ugonjwa uliokuwa haujlikani na kusababisha vifo vya watu kadhaa Kusini mwa Tanzania hasa Mkoani Lindi ni homa ya Mgunda. Kitaalam ugonjwa huo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina tatizo hapa kuhusu kipimo cha HIV Kilionesha Line katika mstari wa C ndani ya Dk 15 za mwanzo ila baada ya dk 25 kuna mistari partial 2 ilijitokeka kwa mbali.. Je nini tatizo kipimo kiko...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nimekuwa na tatizo la kuwa na umio mrefu (Kale ka mkia katikati ya koromeo Kwa ndani), wengine huita kidakatonge. Sasa nataka kupata namna ya...
0 Reactions
4 Replies
731 Views
faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi. Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19 baada ya uvumbuzi wa viwanda na mapinduzi yake yaliyoambatana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina kovu la kichwani ambalo lilisababishwa na mashilingi utotoni sasa nywele hazioti naomba ushauri wenu ni wapi nitapata tiba yakutibu hili kovu na nywele zikaendelea kuota kama kawaida.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom