Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuu, Fanyeni hivi: Chukua ndizi Saba au nane zilizoiva kabisa. Zioshe kwanza kwa maji Safi. Menya (toa maganda) halafu hayo maganda weka kwenye sufuria Safi,weka maji kwenye sufuria kama lita...
17 Reactions
76 Replies
9K Views
Wana JF habari za Jumapili. Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya nimetumia kila aina ya dawa hospital nimejaribu kubadisha...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Habari zenu jamani naombeni mnisaidie dawa ya mapunye, mtoto wangu katokewa na punye mkononi. Ana miaka 4 na miezi 7
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nadhani wataalamu mtakuwa mmenielewa. Naomba msaada wenu. Maana humu mtaani uswazi maneno ni mengi, mara oohh, anakunyonya huyo, anakubemenda huyo, na maneno kama hayo. Thats why nikaona nije...
7 Reactions
76 Replies
4K Views
Wana jamvi msaada wenu plz, mke wangu huhisi maumivu chini ya kitovu........ afanyeje?
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Niende kwenye Topic muhimu direct mimi King Kakaa na rafiki yangu tulie shibana sana jina Kapuni. Rafiki yangu huyo naishi nae jirani hapa mjini ila Mkewe mwajiriwa Mkoa mwingine tofauti na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Shirika la Afya Duniani, (WHO) limeonya kuwa Afrika inakabiliwa na hatari ya kuongezeka ya milipuko ya Magonjwa, ambayo huenea kutoka kwa Wanyama hadi kwa Binadamu kwa asilimia 60 kwa zaidi ya...
0 Reactions
2 Replies
723 Views
Nimefanya majaribio mwenyewe asubuhi tu nikiamka kabla sijafanya mazoezi nachemsha Maji naweka chumvi kijiko kimoja Na limau.baada ya lisaa limoja utaenda toilet kutoa uchafu. MziziMkavu uje utie...
2 Reactions
7 Replies
7K Views
2010 nikiwa kidato Cha kwanza ndipo tatzo lilianza japo nilion ni Hali ya kawaida tu lakin kadiri muda ulivyoenda limekuwa tatizo sugu kwangu mpaka namalizs fomu 4 sikuwa na rafiki Wala ukaribu na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nadhani humu kuna wataalamu wanaweza kufanunulia vizuri juu ya kwamba mtoto anaweza kuchelewa kuzaliwa na akawa premature (amezaliwa mzazi wake akiwa kambeba tumboni kwa miezi kumi na 2 siku...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada anayejua dawa ya maambukizi kwenye ulimi kwa jina la Geographical toungue kama inavyoonekana hapo kwenye picha. Niliambiwa ni upungufu wa vitamin C, nikaandikiwa dawa za Vitamin C...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari Wana JF, Mimi Ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 nikiwa na umri wa miaka 19 niliingia katika mkumbo wa kupiga punyeto nikajikuta nimezama humo hadi sasa huku nikifikiri kuwa...
5 Reactions
67 Replies
7K Views
Habari ndugu na jamaa naomba kujua kutokwa na jasho jingi wakati wa sex ina sababishwa na nini kila ninapo fanya sex baada ya dakika moja na kuendelea natokwa na jasho lingi sana kama nacheza mpira.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Magonjwa mengi ikifika usiku makali huongezeka ila kukicha tu nafuu hupatikana. 1. Jino usiku ni balaa 2. Magonjwa mengine usiku ni balaa 3. Hata Vifo vingi hutokea usiku Naomba kujua Usiku huwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana JF Doctor, Naomba msaada wenu, napata maumivu sana. 1. Usiku wakati wa kutaka kulala nyonga yangu huniuma sana mpaka nitulie kwa kulala chali. 2. Asubuhi nikitaka kuamuka napata maumivu...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mke wangu tumezaa mtoto mmoja miaka 3 na nusu sasa imepita hajashika mimba. Hospital amepima ana chronic PID. Ni wapi atapata msaada zaidi maana madawa ya hospital kama hayatoi majibu hivi...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Kweli wanawake wengi wanadhani kuwa hawawezi kupata ujauzito kipindi wananyonyesha hasa kutokana na kutopata hedhi au kupata hedhi kidogo katika miezi ya awali tangu wajifungue. Kitabibu ni...
4 Reactions
12 Replies
6K Views
Kujifungua kwa njia ya kawaida kuna tofauti na kujifungua kwa upasuaji. Pamoja na furaha yote, lakini kumbuka kwamba kujifungua kunakuja na mzigo mwingine hasa wa mabadiliko ya mwili wako. Shepu...
4 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari za asubuhi? Mwenye kujua dawa ya UTI sugu anisaidie. Kuna mtoto wangu, Anasumbuliwa na UTI inayojirudi rudia. Aksanteni
3 Reactions
12 Replies
6K Views
Staili ya kufanya mapenzi huchangia sana urahisi au ugumu wa kupata mimba kwa mwanamke. Pamoja na hayo; KIFO CHA MENDE ndiyo inayotajwa kuongoza kuwa ni staili pekee yenye uhakika wa kutungisha...
4 Reactions
19 Replies
15K Views
Back
Top Bottom