Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari jf doctors Nina mtoto wangu ana mwaka na miezi 10. Kinywa chake kinatoa harufu mbaya,najitahidi mno kumfanyia usafi wa kinywa lakini tatizo linakuwa. Bado lipo. Najisikia vibaya pale...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI SALAM, Hivi, nini chanzo cha kutapika safarini kwa watoto na watu wazima? Jee kuna kinga ama kinga yoyote? Msaada tafadhali. --- Wakuu...
0 Reactions
130 Replies
50K Views
Nikianza na Taarifa zangu za awali. Age: 24 Jinsia: mwanaume Kuoa: Sijaoa Urefu: 5.9ft Uzito: kwa Sasa 76kg kwakawaida ni 89kg Ulemavu: Sina ulemavu Kilevi: Situmii kilevi Wala sijawai kutumia...
0 Reactions
5 Replies
676 Views
Habari zenu wote wanajanvi katika jukwaa letu pendwa, naamini kabisa hapa ndio mahari ambapo tunapata suruhisho na mwongozo ufaao tunaouhitaji. Moja Kwa moja kwenye maada , nina mwanangu wa...
0 Reactions
3 Replies
866 Views
Kuna jamaa yangu ameugua ugonjwa wa tete kuwanga.Na yeye ni zaidi Ya miaka 14 sasa naona ameshamuambukiza kaka yake mwenye umri wa zaidi ya miaka 24. Nimepata wasiwasi huenda anayefuatia kuugua ni...
1 Reactions
209 Replies
105K Views
Bana pumzi kuanzia point A mpaka ufikie point B bila kuachia. Ukiweza zoezi hili basi jua mapafu yako yako vizuri
2 Reactions
3 Replies
704 Views
Habari wana JF, mimi ni kijana umri miaka 30. nina familia mtoto mmoja na nimeajiriwa kazi nzuri tu. Kwa haraka haraka naweza kusema maisha yangu ni mazuri kwa hilo nashukuru Mungu. Kilichonifanya...
10 Reactions
49 Replies
7K Views
JF Doctors, Greetings. Kuna wakati flani 2011 nilifanyiwa Orthopaedic Surgery, to be precise ORIF(Open Reduction Internal Fixation)- yaani niliwekewa vyuma (metallic plates) katika mkono wangu...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Habari wanajanvi, Samahani kama uzi upo sahihi ama la mnivumilie kwa uandishi naweza kukokesea kutokana na hali niliyonayo kwa sasa sipo sawa. Nina watoto mapacha wawili wakiume na kike wote...
2 Reactions
12 Replies
927 Views
Wakuu je hivi kuna utofauti Kati ya kunyonywa uume hadi unakojoa na kujichua kupiga nyeto kwa mkono je vyote athar ni ile ile au?
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu natumaini ni wazima Niende moja kwa moja kwenye mada nina tatizo langu ni maumivu kwenye mbavu pale ambapo ni kiinama upande wa kushoto nasikia maumivu Ila tofauti na hapo hamna...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari samahani wakuu first mimi ni mjamzito wa 5weeks nimeenda kupima utrasound nikaambiwa na PID Sugu na UTI nimeandikiwa sindano 7 za ceftriaxone na pamoja na co-amoxiclav tables ya siku saba...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari samahani wakuu first mimi ni mjamzito wa 5weeks nilienda kupima utrasound nikaambiwa na PID Sugu na UTI nimeandikiwa sindano saba za ceftriaxone pamoja na co-amoxiclav tables nazo za siku...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari naombeni ushauri. Mimi Ni baba wa watoto watatu. Wa Kwanza miaka nane wa pili miaka mi nne huyu watatu ndio anaenda miezi miwili. Changamoto niliyo nayo huyu wa tatu amegoma kuengeza kilo...
1 Reactions
2 Replies
292 Views
Wasalaam. Msaada, dawa ya kupunguza gesi tumbo I.
4 Reactions
16 Replies
60K Views
Eti mimba inaanza kuonekana muda gani baada ya kuingia? yaani kama ikiingia leo, baada ya muda gani ndiyo itaonyesha kuwa ni positive? MASWALI YA WADAU WENGINE KUHUSU DALILI ZA MIMBA Helow, Ni...
0 Reactions
242 Replies
1M Views
Habari, nawasalimu, Barua yangu ni fupi tu kwenu, Nimekua rafiki yenu hapa kwa Muda sasa, na nimeandika hapa mara kadhaa kwa mambo mbali mbali, hata hivyo tatizo hili sijawahi kulisema kwa aibu...
3 Reactions
149 Replies
21K Views
Naomba msaada matibabu,,, baada ya tendo,, siku tatu au nne natokwa na vipele pembezon mwa uume ambavyo huwasha sana na ukivikuna vinabaki vidonda,, nilichoma sindano ya ppf lakin tatizo lipo pale...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu Kiukweli natesekaa sana, mimi siyo mchafu ila kinywa kimekuwa changamoto nimetumia dawa nyingi za meno mpaka sasa mouthwash ila hakuna matokeo nanukaa sana mdomo Hivyo naomba...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna mtu anafahamu dawa ya kuzuia kipara? Vyuma vimekaza upara nao unaanza kuja kwa spidi! Mwenyewe dawa naomba anisaidie aisee
1 Reactions
40 Replies
16K Views
Back
Top Bottom