Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari Wakuu, kwa zaidi ya mwezi sasa nimekuwa nikipata tatizo la 1.mwili kuchoka sana kusiko kwa kawaida 2.maumivu makali ya mgongo Hapo zamani nlikuwa mtu wa kufanya mazoezi,nliacha mazoezi...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari za jumapili daktari. naomba kufahamu madhara ya kiafya ya kunywa maziwa lita moja ma nusu kila siku. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
55 Replies
15K Views
Habari, Naulizia sehemu ninapoweza kupata banding procedure kit kwa bei nafuu kwaajili ya mgonjwa wangu . Asanteni!!
0 Reactions
0 Replies
594 Views
KWA NINI BAADHI YA WANAUME WANASHINDWA KUOTA NDEVU? Kulingana na tafiti mbalimbali, baadhi ya wanaume hupoteza mawiki kadhaa wakijaribu namna tofautitofauti za kuotesha ndevu katika sura zao...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Kupiga miayo ni tendo ambalo hutokea wakati aidha mtu amechoka au ana njaa, nakumbuka kama nilishawahi kusoma sehemu kuwa tendo la kupiga miayo huweza kuambukiza. Yaani mtu mmoja akilifanya...
1 Reactions
4 Replies
864 Views
Habari wadau, Je kuna madhara yoyote kwa mjamzito kuendesha pikipiki?
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Natumaini mpo poa. Ngoja niingie moja kwa moja kwenye mada bila kuwachosha. Miaka ya siku hizi watoto wamekuwa na vimo vidogo mno, je nini...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Wataalamu! Hedhi yangu huwa inachukua muda wa siku 4 hadi 5 kuisha, lakini kwa sasa imechukua siku 8 na bado inaendelea kutoka. Pia hedhi kwa kawaida huwa inaambatana na tumbo kuuma ila...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Human immunodeficiency viruses (HIV) are two species of Lentivirus (a retrovirus subtype) that infect humans. They cause acquired immunodeficiency syndrome (AIDS), a condition in which the immune...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada wa dawa ya kujizuia kufuza Maana kwangu imekuwa Kama pepo saana Yaani kujizuia siwezi kitu ambacho kinanikera saana Sawa na jua kufuza sio kosa But Kuna mazingira mengine...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau wa afya habari? Poleni na Majukumu. Nimekuwa namuuguza mtoto wangu Takriba wiki 3 sasa juzi tuu kamaliza Matibabu akisumbuliwa na Kifua, Mtoto ana Miezi 6. Anapumua kwa shida yaani...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari ndugu wajumbe. Kuna hali nimekua naipitia inanivuruga kabisa. Umri wangu ni miaka 35 jinsia ni ME, shida ni kwamba ninapokua na ratiba mpya au jukumu jipya au taarifa ya kushtua...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Natumai muko njema bandugu. Msaada wenu bandugu,,,mazoezi haya wakati wa kuyafanya unatakiwa kubana pumzi??? Na je, usipobana pumzi inakuwaje? Nitashukulu sana mukinisaidia na Mungu atawabaliki...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wiki kadhaa nilikuwa nasumbuliwa na UTI baada ya kupata vipimo katika kituo cha afya X na doctor akanishauri nitumie dawa make alisema sio nyingi ni ya kawaida ..baada ya kumaliza dozi ikabidi...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa 28yrs nimegundua nna tatizo la uume wangu kurudi ndani na kuwa kama wa mtoto, ili hali sina tatizo la nguvu za kiume,shida inaweza kuwa ni nini na tiba yake...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari madoctors!! Mwanangu ana wiki mbili toka azaliwe lakini ameanza kupata changamoto ya maumivu akitaka kujisaidia haja kubwa maana kanalia kakitaka kunya na pia hadi makalioni kamekuwa na...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mke wngu amawashwa sana kila nikitumia kondom kushiriki tendo, Nikienda kavu anakua sawa But nikitumia tu komdom baada ya kumaliza tendo anawashwa sana sehem za uke mpk kujikuna sana hii inaweza...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa nahisi nimezidiwa na hormone za wenzetu wa upande wa pili. Nahitaji msaada ni hospital au centre gani dar inaweza kunisaidia kutibu au dawa, maana napata tabu mno. Nipo normal...
19 Reactions
73 Replies
11K Views
nawasalimu kwa jina la jmt! Tumeona na kuelimishwa na nyuzi nyingi sana humu kuhusu madhara wayapatayo wanaoingiliwa kinyume na maumbile. Hebu leo tufahamishane kuhusu madhara ya kiafya kwa...
4 Reactions
97 Replies
19K Views
Back
Top Bottom