Habari...mm kuna tatizo limeanza sasa sielew ni hali ya hewa au nn...kwa sasa nimekuwa nikienda haja ndogo mara nyingi zaid hasa nyakati za usiku...imefika wakati ikanibid nifanye jaribio kijua...
Habari za asubuhi ndugu zangu wa jf,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31na mwenye urefu wa cm172 na uzito wa kg 66. Mwaka jana nlikuwa kwenye masailiano ambayo yanahitaji mtu apimwe afya...
Wakuu kwema?
Nahitaji kuwa na uboho wakutosha ili tatizo la mifupa kusagana lisinipate kadiri umri unavyo kwenda, naombeni ushauri, ni vyakula gani nikila vitasaidia kuongeza uboho?
Ahsanteni.
Ndugu, habarini za maisha.
Nachukua fursa hii kuwashirikisha hofu kubwa na kujikatia tamaa kunakoniandama kutokana na kugunduliwa kuwa na HBV.
Mwaka 2000 nilianza kuhisi kwamba size ya spleen...
Nimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115.
Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa.
Nimepewa dawa za kutumia wiki moja then nirudi...
Leo nimekaa sehemu, ghafla akapita kichaa mara acheke cheke, aokote vipande vya mkaa na kuchora visivyoeleweka kwenye ukuta, n.k kiufupi akili haijakaa sawa, sasa nikawa najiuliza haya maswali...
Habari za asubuhi wakuu?
Natumaini tu wazima wa afya, kwa wale wagonjwa polen!!
Neende moja kwa moja kwenye mada! Et wakuu mwanamke akiwa kwenye cku zake ( bleeding), anakuwa na hasira Sana adi...
Shikamooni wakuu.
Mimi ni muhanga wa tatizo la ajira, na pia kabla ya hilo ni mtaalamu(mteknolojia) wa maabara(Laboratory technician) mwenye diploma ambayo nimeipata kutoka BUGANDO mwaka 2018...
Unapokuwa unatumia metronidazole (Flagyl) hauruhusiwi kabisa kunywa pombe. Matokeo ya muunganiko wake kwa baadhi ya watu huwa siyo mazuri. Inaweza kusababisha kiungulia kikali, kutapika...
Nina rafiki yangu ameoa huu mwaka wa tano yupo kwenye ndoa hawajabahatika kupata mtoto wala hawajawahi kupeana ujauzito hatta kwa bahati tu,,
Naombeni msaada wenu wa kimatibabu au nini Cha kufanya...
Nina ndugu yangu amekuwa diagnosed na High Blood Pressure na Diabetic.
Anakunywa red wine karibia kila siku chupa moja.
1. Je hii ni sawa
2. Au anatakiwa kuacha kabisa?
Wanajamvi habari,
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, hivi mbadala wa haya madawa ambao unaweza kuuandaa mwenyewe getoni kwako na ukaleta ufanisi unaoendana nayo ni upi?
Maana kila ukimuuliza...
HOMA YA INI (HEPATITIS B)
Kwa tafiti chache zilizofanyika mpaka sasa imegundulika kuwa kati ya watu 117 ni mtu 1 tu anakuwa ameathirika na virusi vya UKIMWI/VVU lakini ni watu 22 wanakuwa...
Kutafuna Big G huongeza umakini katika kufanya kazi pamoja na kuongeza tahadhari kwa mhusika. Huongeza pia usikivu, umakini pamoja na uchangamfu hasa kwa mtu anayefanya kazi moja kwa muda mrefu...
Habari wapendwa?
Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana, kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari.
So nauliza,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au...
Ilikuwa ngumu sana kumuachisha kunyonya.
Alinyonya hadi miaka 3 as recommended by doctors.ila bado hadi Sasa anapenda nyonyo .ukilala ukipitiwa unamkuta analo mdomoni. Au mchana tu anaweza tu...
Habari za jioni wapendwa, naomba ushauri mwanangu miaka mitatu anasumbuliwa na kikoozi anakooa anakuwa mpaka Kama anakakamaa wakati mwingine na kutapika, hosp wamepima kifua Kiko vizuri na Hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.