Nilipata tatizo la panick attacks na anxiety disorder kiasi cha miaka mitatu iliyopita hali iliyopelekea kuwa na mapigo ya moyo kwenda kasi, kuruka na moyo kupiga kwa nguvu kwa baadhi ya nyakati...
Wadau kama kichwa kilivyofafanua, nahitaji daktari mbobevu wa mifupa, kwa kifupi nina mwanangu alianguka kama mwaka hivi akaumia mguu, baadaye mguu ulivimba sana, baada ya kusinyaa kwa kutumia...
Wakuu habari. Poleni kwa mishe na matatizo.
Nahitaji mtalaam wa mental health (therapist au psychologist) kwaajili ya kunisaidia.
At least mara 2 kwa week kila session angalau ya 2 hours...
BAADHI YA VYAKULA VYA KUONGEZA DAMU MWILINI NI PAMOJA NA;
1. Baadhi ya matunda husaidia kwa kiwango kikubwa katika kuongeza damu mwilini, na matunda hayo ni pamoja na; Matunda Damu, Zabibu...
I predict miaka michache ijayo shida haitakua tena Malaria,HIV/Aids au hata Covid 19 bali tutanza kudili na magonjwa yatokanayo na mifumo yetu ya kila siku ya maisha hata ulaji Mbovu/unhealthy...
Salamu Waungwana na Wataalamu wa Baraza letu hili la Afya. ninaomba kujuzwa suala hili ambalo limekuwa likinitatiza sana.
Baada ya kupata matatizo ya Kisukari, miongoni mwa Ushauri niliopewa in...
Habarini, naombeni kuuliza anayefahamu tiba ya tatizo ili la kucha kuota kurudi ndani, jinsi ya kuliondoa lisiwe linajirudia hata baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo.
Wanajukwaa naomba kuuliza tatizo la maumbile ya kiume madogo isivyokawaida kwa mtu mzima linatibika? (Na nitafurahi kama nitapata pia briefing za namna yakupata tiba).
Ama mtu akizaliwa hivyo ndo...
Wataalamu wa Upasuaji wamefanya majaribio ya kutumia figo ya nguruwe na kuiweka kwa mwanadamu ambapo imeonesha kufanya kazi vizuri.
Figo hiyo iliwekwa kwa mwanadamu ambapo iliruhusu damu kupita...
KidneyX imepewa tuzo baada ya kuonyesha mafanikio katika figo ya bandia ambayo itaondoa uhitaji wa Dialysis kwa wagonjwa wa figo.
Kifaa hicho kipya ambacho kimeweka matumaini makubwa katika...
Naomba ushauri,
kipimo cha blood kimeonesha abnormal population band doctor anasema kuna cell nyingi mwilini naomba kujua kama ina shida gani au adhari gani na naweza fanyaje kujua tatizo...
Nawasalimu wanajamvi
kama heading inavosema nikitumia dawa zenye content gani sitakiwi kabisa kupiga pombe? Maana kwenye muvi sometimes tunaona wazungu wanakunywa baadhi ya dawa wanasukumia la...
Naomba ushauri au kueleweshwa,
Vipimo vya damu kuoneosha abnormal population bands yani Dr. Anasema cell ziko nyingi zaidi hii ina maana gani au kuna risk gani?
Habari wakuu,
Nauliza wapi kwa Dar naweza kupata physiotherapist anaefanya home visitation..Nina mgonjwa wa miguu ambae nahitaji huduma akiwa nyumbani.
Shukrani.
Habari za ahsubuhi wana Jf! Naomba madokta wa humu ndani kama wana uzoefu kuhusu uvimbe wa mafuta kwa kitaalam Lipoma au (Fatty tumors/lump) nini causes zake,tiba,na prevention ya lipoma! Thanks...
Na. Emmanuel Kasomi.
Kijana anaye jongea kwa kasi.
Dr Sebi ni mzaliwa wa Honduras, alifanikiwa kutibu AIDS, cancer, kisukari, lupus na kifafa.
Miaka ya 1980 alichapisha tangazo kwenye gazeti la...
Ndugu naomba kujuzwa Kama Kuna mtu anayefahamu kuhusu ALTAI BALANCE ni virutubisho vinavyotibu sukari ambavyo nimeona vinapigiwa debe kwenye mitandao na imekuwa maarufu huko marekani.
Kama...
Nahisi nina mimba[emoji1751] kabla sijaipata niliitaman na nikasema niitafute..nikaitafuta kama miez miwili hiv hola sasa mwezi huu nimenasa! Naogopaaa! Nawaza? Nifanyaje? Nitamudu? Kazi zangu...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26 nasumbuliwa na ishu ya uume kushindwa kusimama vizuri na pia ni kibamia cha hali ya juu, hali hii imeniathiri kisaikolojia kabisa kwani hata kuingia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.