Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari wanajamii forums! Naomba kuuliza, nikikaa muda mrefu kwenye kiti au nikilala baada ya kuamka na kuanza kutembea visigino vinauma sana kama dak 5 hv ndo narud kwenye hali yangu ya kawaida...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
WanaJf naombeni ushauri je ni dawa hani Nzuri ya kutibu Fangas sehemu za Siri ? Nimeshatumia dawa lakin naona mambo hayakai sawa ... Naombeni ushauri
3 Reactions
41 Replies
17K Views
TATIZO LA KUTOPATA UJAUZITO NA MVURUGIKO WA HOMONI KWA MWANAMKE - FEMALE INFERTILITY AND HORMONE IMBALANCE FAHAMU AFYA YA MWANAMKE (KUTOPATA UJAUZITO NA MVURUGIKO WA HOMONI ) Mvurugiko wa homoni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hivi formula ya kutumia kunywa maji kwa siku ni ipi?? kwa kuzingatia uzito,umri,urefu n.k
1 Reactions
3 Replies
503 Views
Nna sumbuliwa na kiuno sana tatizo lina kama wiki adi sasa Ila naona kama liko serious sana yaani limeamua kwa kweli Najua mpo wajuvi humu mnaweza nisaidia Miaka yangu 21s
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwenye account yake ya Twitter, Meek Mill ameandika kuwa amepona maradhi ya tumbo yaliyokuwa yakimtesa kwa kipindi kirefu (miaka miwili) mara baada ya kutumia dawa za asili kutoka Afrika "bitter...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mratibu wa huduma ya afya ya uzazi ya baba, mama na mtoto mkoa wa Mtwara Bi Rosalia Arope amefafanua kuwa katika kipindi cha Januari hadi Juni mwaka huu, akina mama 7,783 walichunguzwa na 100...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito, (first trimester) ni muda wa mabadiliko mbalimbali kimwili na kisaikolojia kutotokana na homoni za uzazi kuzalishwa kwa wingi zaidi. Mabadiliko haya...
4 Reactions
24 Replies
54K Views
Ninapolala hasa nikilalia upande wa ubavu wa kushoto nahisi maumivu sehemu ya Kati ya mbavu na tumbo. Mgongoni hasa maeneo ya kiuno huuma nanapokaa muda mrefu au kuonana Napata haha kubwa ngumu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba kujua dawa yakutoa makovu miguuni (dark spote)kwakutumia njia nzuri ya asili nakutumia hata kamafuta.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
It is another good day that God has granted us. Coming back from work today and boom! I meet my baby brother Elijah who is a form one student in one of the best secondary school in our town. Right...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
>>>>Upate aina za dawa zifuatazo, kila moja kiasi cha gram 100, saga >>>>pamoja na dawa zifuatazo: >>>>1. Shubiri >>>> >>>>2. Ubani >>>> >>>>3. Mvuje >>>> >>>>4. Ukwaju >>>> >>>>5...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Natumaini mpo salama wakuu, Naomba kufahamu kwa mtu anayejua bei ya root canal hapo Lugalo hospital na pia Muhimbili, sina bima ndio maana naulizia bei.. Kama yupo ambaye amefanya hapo miaka ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kukushukuru ewe mdau kuipitia mada hii kwa kunipa muda wako kufwatilia swala hili, lengo kubwa ikiwa ni kuelimishana Tunapo ongelea kuhusu maambukizi ya virusi...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Wakuu habari za majukumu. Binafsi ninapo meza vidonge vyenye nta huwa nahisi tumbo kuvurugika au kuuma sana na huwa napendelea kuvifungua na kumeza ule unga wake tu Sasa naomba mnifahamishe...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Tangu dunia iumbwe hakuna mwanadamu aliyewahi kuona kirusi. Hata hiki kilicho maarufu sasa hakijawahi kuonwa na yeyote. Unachoona kwenye michoro hiyo ni computer generated model tu ya kutengeneza...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari ndugu wapendwa katika imani! natumai mmeamka salama na mpo kwenye majukumu ya kila siku. naomba nielekee kwanye hoja au maombi ya kimawazo, ushauri au tiba kwa aliyekutwa na hili tatizo na...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Wataalam wa humu JF! Napenda kuomba msaada wenu, kuna mwanangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kuota sugu katika unyayo wa mguu na hupata shida wakati wa kutembea akanyagapo ardhini hapo mahali hapo...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Kifafa ni nini? Kifafa ni ugonjwa wa ubongo. Ubongo wa binadamu una mabilioni ya seli za neva. Zinashirikiana na kila moja kupitia chaji ndogo ndogo za umeme ambazo huwaka na kuzima.Wakati...
3 Reactions
402 Replies
217K Views
Habari wakuu mbali mbali? Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nimekuwa natumia sigara kama matibabu ya mafua endapo nikiugua na huwa napona siku hiyo hiyo ,lakini ifahamike mimi sio...
0 Reactions
5 Replies
685 Views
Back
Top Bottom