Wadau, Mimi nasumbuliwa kwa muda sasa tatizo la mdomo kuzalisha mate machungu ikiambatana na tumbo kunguruma na kadri tumbo linavyonguruma ndipo mdomo unakuwa mchungu zaidi na hali hii inakuwa...
Wanajamvi natumaini wote mu wazima wa afya Mwenyezi Mungu katujalia kuiona siku njema ya leo.
Niende moja kwa moja kwenye lengo la kuja kwenu.Kipindi cha nyuma nikiwa bado mdogo nilikua...
Wakuu mimi nina tatizo la macho kuwasha kila ifikapo jioni macho yangu huwa yanawasha sana hadi kupelekea kuyakuna mpaka yanakuwa mekundu.
Naombeni msaada.
Nimepata hii Hali ya ngozi kuvimba na muwasho kwambali Kama inavyoonekanakwe ye picha. Hii inaweza kuwa Ni Nini?
Na tiba yake ni nini?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Morning, shortly nina swali.
Kama mwanamke alianza period (bleed) tarehe 12 afu akafanya unprotected sex tarehe 29 mwezi huo huo anaweza kupata mimba?
Karibu wakuu
Habari waungwana,
Kama mada inavyoonekana hapo juu naomba mwenye kujua suluhisho la kuondoa kitambi anisaidie, nilijifungua kwa operation mwaka jana 11 na sikufunga tumbo sasa badala ya...
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu, kuna mwana upande mmoja wa kichwa chake slightly umebonyea kuanzia katikati ya kichwa mpaka kwenye komwe.
Je, ni kweli hii husababishwa na kulazwa...
Ndugu zangu natanguliza salamu kwenu ni matumaini yangu mko salama na mnaendelea na majukumu yenu. Kwa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awapiganie mrudi katika hali zenu za hawali sijajua...
Baba yangu alipatwa na stroke ya upande wa kushoto December 2017, tulikaa hospitali siku 26 tukaruhusiwa akiwa ameparalize upande mmoja. Toka hapo tumeendelea na clinic ya BP na kupata dawa zake...
Wakuu samahani nilikua naomba kujua ni nn kilikua chanzo cha ugonjwa wa marehem Malcolm Masoud mtoto wa Masoud Kipanya. Aliyekaa hapo kwenye wheel chair ndiye marehem Malcolm afya yake ilikua nzur...
Wadau chanjo kitaalam anapewa mtu ambaye hajapata ugonjwa ili iwe kinga kwake.
Watanzania wengi sasa COVID-19 ilishapamba moto kutokana na jinsi serikali ya JPM ilivyopuuzia hili jambo...
Habari members.
Kuna jamaa yangu alinyweshwa maji ya betri na majambazi. Mungu alimsaidia hakuimeza lakini imeathiri kinywa chake. Amekua akipata shida kutafuna na kwa upande wa kuongea ulimi...
RANCIDITY NI NINI?
Rancidity ni hali ya kuharibika kwa mafuta ya kupikia au mafuta yaliyo katika vyakula mbalimbali kama vile samaki au nyama kutokana na jinsi yanavyotumika, kuhifadhiwa au...
Wana JF, pengine baadhi ya wezangu suali langu wanaweza wakalichukulia kuwa mzaha, lakini ni muhimu kujuwa vitu vinavo sababishwa na afya au maradhi mwilini mwetu ukiwemo "USHUZI" kitendo hiki cha...
Wakuu, nimeuza mechi jana usiku asubuhi nikaamua kumpima huyu mdau, majibu yemekuja positive kwake na mimi negative ingawa niliwahi kumla huyu mtu mwezi wa nne kavu pia ila hatukupima.
Baada ya...
Maana ya Afya
Afya ni ukamilifu wa binadamu bila kuwa na magonjwa yoyote, binadamu aliyekamilika kumwili,kiakili,na kijamii pamoja na kuwa na nguvu za kufanya kazi bila wasiwasi wowote.
MAANA YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.