Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Deleted
0 Reactions
2 Replies
682 Views
Ndugu naomba msaada wa kupata mawasiliano ya daktari bingwa wa magonjwa ya mfumo wa chakula
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu habarini? Naomba kuuliza kwa hapa Dar Hospital gani nzuri nitapata dermatologist.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Uwiano wa uzito wa mwili kulingana na urefu kitaalamu hujulikana kama BODY MASS INDEX (BMI) Uwiano huu hupatikana kwa njia ya hisabati ambapo hugawanywa UZITO WA MWILI (KG) kwa kipeo cha pili cha...
2 Reactions
8 Replies
15K Views
Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako. Ndiyo hilo ni jambo ambalo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama heading inavyoeleza hapo juu, Leo ikiwa ni siku ya 3, Mwenetu amezaliwa na weeks 32/miezi 7 na kdg, Physical yuko sawa, ana 3.2kg. Alipozaliwa tuu wakamuweka kwenye Mashine, baadae akaweza...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani hili tatizo nimekuwa nikilisikia kwa watu lakini sijui chanzo naomba kujuzwa === MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU Umeuliza swali zuri kwa ufupi hili jambo la utumbo kujikunja bado halina tips...
0 Reactions
12 Replies
33K Views
Typhoid au kwa kiwahili Homa ya matumbo ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria anayeitwa Salmonella Typhi. Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kula au kunywa chakula au maji yalio na kinyesi cha mu...
10 Reactions
134 Replies
143K Views
Hapa kuna mtoto katimiza mwaka mmoja jana.cha ajabu hajaanza kutembea.Anatambaa tu na kujivuta kwa kushikilia vitu na ukuta.Watu wengine wanadai km hadi sasa hajatembea basi hatatembea kamwe...
1 Reactions
56 Replies
60K Views
1. The STOMACH is injured when you do not have breakfast in the morning. 2. The KIDNEYS are injured when you do not even drink 10 glasses of water in 24 hours. 3. GALLBLADDR is injured when you...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Habari wana jamiiforum, kwanza kabisa namshukuru mungu kwa kunipa afya njema hadi muda huu, natumai na ninyi ni wazima, kama ni mgonjwa mungu akupe nafuu uweze kupona. nimeamua kuchukua nafasi...
6 Reactions
4 Replies
3K Views
Dah hili tatizo la Watu kunuka Jasho na Mdomo limekithiri sana kwa Wanaume na wanawake Tatizo litakuwa ni nini Unashindwa kutoa Service kwa mtu kwa jinsi anavyonuka kama beberu hii hali inakera na...
6 Reactions
84 Replies
46K Views
Nawasalimu wakuu wote. Mara nyingi nimekua nikiona watu wenye matatizo ya akili vichaa vyao hupanda zaidi wakati wa mwezi mchanga. Nimekua nikifanya pia hata uchunguzi kwa watoto wadogo kuna kitu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
"Ili mtu uweze kupata faida(virutubisho) kutoka kwenye chakula ni lazima chakula iko kipite katika mfumo wa umeng'enywaji chakula(digestive system) ambao unatumia organ zake mbalimbali ili...
2 Reactions
5 Replies
924 Views
Wakuu salam, Naombeni ushauri wenu utanifaa sana maana niko kwenye wakati mgumu. Nina tatizo la kuchelewa au kutofika kabisa kileleni ninaposhiriki mapenzi. Ndani ya wiki mbili hizi nimegegeda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Madaktari hebu mtoe msaada kidogo jamani. Kuna tatizo la mtu wa jinsia ya kiume anapokuwa anajisaidia haja kubwa akijikamua na manii nayo yanotoka! Hii inasababishwa na nini?
0 Reactions
58 Replies
44K Views
Umewahi kujiuliza huwa unaweka mahali gani mkoba wako na je, kuna usalama wa kutosha kwa afya yako? Kawaida watu wengi huweka mikoba juu ya meza, viti, madawati ya baa, hotelini, vibaraza vya...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
“Kuvaa nguo ya ndani ambayo ni mbichi kunatengeneza fangasi ukeni, fangasi inaathari kubwa ikiwemo ya kula hadi mfumo wa uzazi, hivyo upo uwekezano mkubwa hasa kwa mwanamke kupata tatizo la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JE, MAJI WANAYO TUMIA KUMWANGILIZIA NA KUOSHEA MCHICHA UNAOKULA UNAYAJUA? Siku moja nilipata wasaa wa kutembelea maeneo ya Buguruni-marapa,Dar es salaam katika bonde kubwa ambalo watu wa maeneo...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Back
Top Bottom