Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari wadau.. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.. Nina kama mwezi sasa nasumbuliwa na kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa.. Nimeshameza dawa za minyoo lakini tatizo bado lipo.. Kwahyo...
4 Reactions
99 Replies
12K Views
Wakuu hospital gani hapa dar inatoa chanjo na masharti gani yanatakiwa ili nipate chanjo? Mwenye kujua anipe utaratibu.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia (bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina). Ni vema kufahamu kuwa,katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi...
3 Reactions
60 Replies
13K Views
Imeandikwa Na Smartdunia. Utasikia "biashara ya dawa inalipa kwasababu magonjwa yapo kila siku". Mara utasikia,"ukijisikia vibaya nenda haraka kamuone daktari usije ukachelewa". Tena...
1 Reactions
0 Replies
891 Views
Mke wangu alikuwa anasumbuliwa na U.T.I na Typhoid. Akiwa kwenye matibabu pressure imepanda na kupoteza uoni kabisa. Nini nifanye kumrudisha katika hali yake ya kawaida?
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habar zenu wapendwa naomben msaada wenu miez michache iliopita nikiwa na mpenz wangu nilijiona nawah kumaliza game sana na siku hiyo nilivokuwa namaliza nikahis na miguu inauma magotin baada ya...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Naanza kwa kuwapa pongezi nyingi sana hawa madokta wa kiume wanaowazalisha wajawazito yaani hawa ni majasiri kupita hata wanajeshi, tena ujasiri uliotukuka angalia anakabidhiwa mjamzito amzalishe...
13 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari wanaJf. "Thinking is good but overthinking can end things before they get chance to develop, it is the biggest cause of unhappness" alisikika mwalimu wangu akijaribu kunishauri. Kufikiria...
7 Reactions
53 Replies
5K Views
Wakuu tafadhalini Naomba munijuze bei gani kupima Covid-19 kwa raia wa kawaida na maeneo yanayotoa huduma ya upimaji ya Coronavirus
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeoa mwaka wa tatu huu naenda lakin sijabahatika mtoto mimi na mke wangu. Mwanzo mkewangu alikua na shida ya uvimbe tukafanya oparataion amekaa sawa kwamjibu wa madaktari sasa tumekua tukilima...
6 Reactions
143 Replies
9K Views
Wataalam wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) wanasema ushindi dhidi ya saratani ya mapafu, ini na koloni uko karibu sana. Wataalam wanaamini kuwa ushindi juu ya saratani ya mapafu uko karibu...
4 Reactions
2 Replies
617 Views
Habarini za leo wana JF Naombeni mnisaidie kunifahamisha, mtu akijifungua kwa operation ni baaada ya muda gani anaruhusiwa kufanya mapenzi? Mimi nilijifungua kwa operation mwezi uliopita sasa...
4 Reactions
78 Replies
31K Views
Leo nimemsikia Dr akifafanua juu ya mathara yanayotokana na wapenzi kufanya oral sex,Dr alikuwa anahojiwa na kituo cha redio Clouds fm, Doctor alieleza ongezeko la saratani za midomo na koo hasa...
7 Reactions
223 Replies
31K Views
Ni mwaka wa 22 ninasumbuliwa na tumbo. Mwanzoni ilikuwa ni mara Amiba, minyoo na kichocho cha tumbo! Kila nikitumia dawa napata nafuu kwa wiki moja au mbili kisha gwaride linaanza upya. Mei...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari wana Jf. Mimi n Mwanaume mwenye miaka 30, Nipo kwenye ndoa takriban 4yrs. Ndan ya hyo miaka sijabahitika kupata mtoto, nikahamasika kwenda hospital kupata vipimo na mke wngu ndipo ika...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Wakuu leo nimeamka shingo inauma kinomanoma, misuli imekaza siwezi kugeuka kulia (nikigeuka inabidi nigeuke mwili mzima kama roboti😀😀). Nipeni solution ya chapchap wakuu. Nimejisugua eneo husika...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba kupewa ufahamu kuhusu kinyama kinachokwepo kwa nyuma kama mkia fulani hivi yaani kwenye njia ya kuelekea mkunduni (puru) Kuna baadhi ya watu husema ukiwa ni mzazi (mwenye mtoto mchanga)...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
habarin wana jf ! juzi juzi hapa jicho langu la kushoto lilikuwa likitoa matongo tongo sana wakat wa mchana kama siku mbili hivi baada ya hapo likaacha likaamia la kulia hii siku ya nne sasa kila...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Wataalamu wa #Afya wameifananisha Chanjo dhidi ya Magonjwa mbalimbali ni kama #Helmet anayovaa Dereva na Abiria wa Pikipiki. Ufafanisho huo umemaanisha chanjo kama ya #COVID19 umetokana na ukweli...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaada jamani😒 Nina mtoto wa miezi 9 na week 3 sasa hawezi kaa kwa kujitegemea kwa muda mrefu akikaa kidogo anaanguka ijapokuwa yupo active kuanzia mikono kushika shika vtu na miguu kuitupa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom