Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Nina ndugu aling'atwa na ng'e mara mbili kwa wakati mmoja kutokana na maumivu makali aliyokuwa nayo alikimbizwa hospital nakupatiwa matibu zimepita siku sita sasa toka apatiwe matibabu nakumaliza...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello...!! Baada ya kupata kiamsha kinywa nikajisikia hamu ya soda (pepsi) ikabidi niagize. Nikapiga mafundo kadhaa mpaka ikafika nusu. Nilipoitazama likanijia swali kichwani hivi nanufaika na...
3 Reactions
78 Replies
18K Views
Kati ya vitu vinavyoninyima amani ni haya meno ya watu wa Arusha baada ya kuja kusaka maisha kwenye huu mji, takribani miezi mi5 iliyopita, nimeamua kuihamisha familia yangu kutoka mkoani, kesho...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wataalamu, kuna mazingira haya katika jamii yangu yamewakuta wanandoa fulani na kwa kuwa jamaa ni rafiki yangu kachanganyikiwa sana hajui aanzie wapi na kumiomba nimsaidie ushauri. Bahati...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wadau wa jamiforums, Nilikua naomba ushaur wa kitaalam mke wangu kabeba mimba wakati bado Ana mtoto wa mwaka mmoja Baadh ya watu wazima wanaamin kua mama akibeba mimba basi hatakiw...
6 Reactions
71 Replies
9K Views
Viongozi napenda nijue Tiba ya kwikwi maana siku ya tisa sasa baba yangu inamtesa sanaaa inafika muda kwikwi inambana Hadi anashindwa kupumua na muda mwingine anatapika... Yeye kama yeye kajaribu...
3 Reactions
73 Replies
25K Views
https://www.businessinsider.in/science/health/news/covid-19-what-is-proning-and-how-can-it-help-you-increase-oxygen-levels-at-home/articleshow/82251671.cms
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtu mwenye vidonda kichwani anaweza kuvikausha na nini? Vimeanza tu vina kama siku nne hivi kichwani na vinatoa maji maji.
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Watu wengi hupendelea kutumia maji ya moto kuoga pale hali ya hewa inapobadilika na kuwa ya baridi au wakati mwingine mtu anaumwa hivyo anatumia maji ya moto. Lakini kwa ajili ya urembo na afya...
0 Reactions
319 Replies
166K Views
Natanguliza shukran wadau wa Jf! Mada yangu inahusu wale wanangu wa workout, either gym or home. Nmefanya sana mazoezi lakin kwa sasa naon mwili wangu umegoma kabisa kutanuka especially upper...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Tangu jana usiku tumbo limenisumbua mpaka nimelala kwa shida mno. Asubuhi Nimeamka ni sameways, maumivu chini ya kitovu, kujamba kwingi na tumbo kuunguruma. Baadae nikaanza kupata haja ila...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Have jf member naomba kuuliza kitu inachukua muda gani mtoto mchanga kuanzia kuona vitu
0 Reactions
17 Replies
53K Views
Habari wanajamvi. Mchumba wangu ana tatizo la tumbo la chini kuvuta(chini ya kitovu). Amepima magonjwa ya ngono, magonjwa ya mkojo na mimba vyote ikawa hana. Namuonea Sana huruma anavyopata...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana zengwe! Natumaini mpo poaa kabisa, na wazima wa afya tele! mimi sio mwandishi mzur ilaa naamini ujembe wangu utawafikiaa na watu watachangia. kwa nn siku hizi watu wana shida ya...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu kwema? Nimekuj kwenu wanaume wenzngu ninatatizo la dhakari kusinyaa sana na kuwa kama wa mtoto mdogo. Naombeni matibabu ndugu zangu najisikia vibaya kuiona hii hali. Msaada...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe ameweka wazi kuwa ugonjwa wa Saratani unaweza kutibika endapo mgonjwa ataanza kupata matibabu mapema baada ya kugundulika ana ugonjwa huo. Kauli hiyo...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Habari, Mtoto wangu ana hivi viupele(kwenye picha) kama miezi 7 sasa, viko mkononi, miguuni na mzunguko wa macho kidogo, nilimpelekea Hospital ya regency nikijua Dk atanipania ni allergy hani...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna ishu inanisumbua hapa,mwanangu anapata shida ya kunya , akitoa choo kinatoka kigumu sana kinamuumiza analia na wakati mwingine kinatoka na damu, pia anakula ila anaweza kupata choo baada ya...
0 Reactions
6 Replies
33K Views
Niseme wazi hii tulielezwa na watalamu wa Afya ila wa kanisa fulani sitalitaja jina, ni miaka mingi nyuma kidogo nikiwa Form 6 wakati huo. Vidonge au Sindano za Uzazi wa mpango zina side effect...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar wadau polen na majukum nimeona Mimi kama kijana niwatoe hofu vijana wenzangu kua Si kwel kua Punyeto hupunguza nguvu za kiume Bali huimarisha misuli ya Uume na kuufanya uume kua imara Mpaka...
6 Reactions
52 Replies
13K Views
Back
Top Bottom