Ni kawaida kwa watanzania walio wengi kuona suala la kawaida kama halijamgusa moja kwa moja. Hali hii iko hivyo kwa baadhi ya maeneo hapa nchini
Je, hali ikoje kwenye mtaa wako?
Watu wanachukua...
AINA ZA PRESHA YA KUSHUKA
Kuzifahamu aina kuu nne za presha ya kushuka (hypotension) husaidia kujitambua au kutambua hali ya mgonjwa.
1. Postural or orthostatic hypotension (OH):
Ni aina ya...
Utakumbuka wakati ule ametangazwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 Tanzania, watu wengi walianza kuchukua tahadhari. Lakini kirusi alishaingia Tanzania. Watu baadhi wakaumwa. Kwakuwa tahadhari...
Presha ya kushuka ama kitaalamu huitwa hypotension, presha ya kushuka ni hatari kwa afya kama ilivyo presha ya kupanda, maana mwili unakosa nguvu kabisa. Kama ilivyo presha ya kushuka presha ya...
Nina maumivu makali sana ya Kidole cha mkono wa kushoto ambayo yalianza taratibu tu
Sijaumwa na mdudu na wala sijajikata au kuchomwa na kitu chochote.
Baadhi ya watu wanasema ni mdudu wa kidole...
Habari za jioni, nina mafua nmekunywa centrizen ila bado yapo sjui n za kutuliza ama la, hli wimbi la 3 n shida? Msaada tofauti na tangawizi + limao . ntumie nn mafua yaishe
Habarz za asubuhi wana JF.
Nipo kwenye mausiano na mpenzi wang ila karibu miez 5 hatukuwahi kuonana kutkan n sababu zilizokuwa nje ya uwez. Sasa siku tumekutana ilikuw ni siku ya 1 kabla ya...
Kuna huu ujumbe ambao umekuwa ukizunguka kwenye social media. Please mwenye kutoa clarification
"Habari za jioni wapendwa! Hongereni kwa kazi.Nawasihi madaktari wenzangu tujikinge na hili...
Kama ilivyo msisitizo katika kuvaa barakoa nashauri elimu itolewe uvaaji wa kondomu usisitizwe wakati wote kujiepusha na maambukizi japo unapunguza utelezi.
Baada ya kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona duniani mwanzoni mwa mwaka jana, dunia ilianza kutafuta chanjo, na hadi kufikia mwishoni mwa mwaka, kampuni kubwa tano za Pfizer-BioNTech...
Habari wana jamvi. Miezi kama Mitano hivi iliyopita kuna mwanajamvi aliweka thread hapa akieleza jinsi mkojo unavyoweza kutibu Jino na Vidonda vya Tumbo.
Binafsi nilikuwa nasumbuliwa sana na...
Hapa dawa ya kulevya ni kitu chochote ambacho unalazimika kukifanya au kukitumia bila hiyari yako na unashindwa kuachana na matumizi yake kwa hiayari yako hata kama hukipendi, kinakudhuru au...
Tatizo langu kubwa ni uoga uliopitiliza wa kuona majeruhi au kusikiliza visa vilivyopelekea watu kupata majeraha.
Hali hii imekuwa ikinitesa sana, maana punde tu nisikiapo au nionapo majeruhi...
Kuna uzi mmoja niliuanzisha muda kidogo, ukiuhitaji nitakuelekeza namna ya kuupata.
Acha niende moja kwa moja kwenye point! Nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za hospital mpaka zile za bei kali...
Naombeni ushauri hospital nzuri kwa matibabu ya corona kwa waliopitia jaribu hili ni ipi?
Naomba ushauri wenu nina mgonjwa ana dalili zote nataka nimpeleke.
Au kama kuna dawa ya tiba mbadala...
Type O blood often signifies a physiology which is uniquely suited to processing animal proteins. As a result of this efficiency, the optimal diet for those with Type O blood features a lot of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.