#UNAELEWA NINI KUHUSU TEZI DUME?...
, je unajua kati ya wanaume 100 wenye umri wa miaka 40 na kuendelea wana tatizo LA Kansa ya tezi dume (BPH) ....
Tezi dume ni nini?[emoji734] Na Kansa ya tezi...
Habari wakuu,
Mimi ni mjamzito wa wiki 24 kwa sasa naona kuna hali ambayo inanikuta sasa sijui ni kawaida au lah,Mimi nakosa hamu ya kula vitu vyote yani sina hamu ya kula chochote na kwa sababu...
Habar wana jf na wataalam wa afya kwa ujumla.
Nina mgonjwa kwa miezi 3 amekuwa akigugumia maumivu bega la upande wa kulia. Naomba ushauri wenu please kwani nimejaribu sana kumpa mazoezi ya...
Leo nimepima presha nimepata katika vituo vitatu tofauti majibu yamekuja tofauti tofauti.
Cha kwanza ilikuja 152/80/67 nikamwomba arudie ikaja 146/79/68.
Nikenda kituo cha pili nilipata...
msaada tafadhali nimekua na tatizo la uvimbe kwenye kwapa kwa muda wa miezi mitatu sasa bila ya kujua tatizo nini au nasumbuliwa na ugonjwa gani ila sijisikii maumivu ya aina yeyote ila...
Habari Doctors naomba msaada wenu,
Mtoto wangu anaumwa siku ya sita mpaka sasa lakini anachoumwa ni joto kali la mwili hospital 🏥 wakipima anakuwa na 38.8 za joto na vipimo vyote wamepima Hana...
Salaam wakuu,
Watoto wengi wanaogopa Sana sindano na wengi wao hawajawahi hata kuchomwa hizo sindano zenyewe lakini wanaziogopa tu.
Yaan unakuta ukiwatajia tu neno sindano wanaanza kulia na...
Hello!! Wadau sekta ya afya
Naomba nipate msaada wa kupata vifaa hivi au vinapatikana pharmacy gani haswa Dar es Salaam
CENTRAL LINE CATHETER
7Fr, 16cm CENTROVENOUS CATHETER.
Salam wakuu,
Nimekutana na report iliyoandaliwa na watafiti wa Kitivo cha Elimu ya Viumbe: Afya ya Uzazi ya University of Minesotta, ikielezea maumbile madogo ya kiume ni moja kati ya sababu...
Goodmorning wanaJF,
I have a serious problem.Mimi ni kijana wa jinsia ya kiume. Nina viuvimbe katika chuchu zangu since nimebalehe hadi sasa nina umri miaka 26 lakini havijatoka kama wengine...
Kwanza poleni na mihangaiko ya kutafuta riziki lakini ndio maisha ya mwanadamu hapa duniani.
Ndugu zangu kama nilivyosema hapo juu katika kichwa cha habari, nakuja kwenu kuomba ushauli wa tatizo...
Habari wakuu,
Nina tatizo la kilimi/kimeo kimerefuka sana , wananiambia nikikate ,je hakuna tiba tofauti na kukikata?
Naombeni msaada wenu wakuu maana kinanitesa sana.
Kama kichwa cha mada kinavyeleza, wadau naomba kujua ukwel kwa kina kuhusu huu uvumi kuwa energy drinks zinamalza nguvu za kiume au vinginevyo mana nimekuwa nikinywa karb kilasiku...
Wakuu poleni ma majukum kwa wale ambao tayari mnamajukum!!
Nimekuwa nikijiuliza hili swali maana nakumbuka hapo zamani niliwahi kumuuliza mama huwa makamasi yanatoka wapi akaniambia huwa ni...
Midomo yangu imekubwa na miwasho na vipere vidogo vidogo,
Naombeni dawa wakuu hii inatokana, na ile mambo ya kujizama kunako, maana hua sijali nazama ata robo saa, haijalishi kukoje, nasafisha...
Nimemuona rafiki yangu leo anaumwa gego la juu aisee kwa jinsi nilivyosimuliwa Ni hatari.
Halali Wala hali vizuri hata kuongea anashindwa yaani mpaka kichwa kimevimba maumivu Ni ya mwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.