Habari, nimefanyiwa Tohara wiki na nusu sasa lkn doctor aliniambia nyuzi zitatoka zenyewe na uume utajirudi vizuri lkn hadi sasa nyuzi hazijatoka,
Je nyuzi hutoka baada ya mda gani na hutoka...
Niliingia period trh29 mwezi wa 6 uwa Nina tatizo la kutokomaa kwa mayai hvo unaipelekea kuchelewa kupata hedhi, siku ya 5 ambayo ilikuwa trh 3 nilitumia dawa ya kupevusha mayai iitwayo Over mit...
Habari za humu ndani ndugu wataalam,
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, nina mtoto wa mwaka na nusu, kuna kitu nimekinotisi kwenye mkojo wake. huwa mkojo wake unakuwa na harufu kali sana kuliko...
Habari zenu wapendwa?
Naombeni ushauri wenu tar 11/7 ni tarehe yangu ya kuingia period na huwa naumwa sana tumbo siwezi kufanya chochote, tatizo linakuja hiyo tarehe 11 ndo siku ambayo tumepanga...
Magufuli alipokuwa rais walikuwa wanazaliwa watoto wenye vipaji.
Kwa mfano yule mmoja aliyekuwa wapi sinui,hodari wa hesabu ambaye hata Waziri Ndalichako alikwenda kumuona.
Mwingine tena mtoto wa...
Hello wakuu, hasa madaktari, msaada wenu wa ushauri.
My friend amenionesha huu ugonjwa wa ngozi kwa picha akauliza kwa nini imetokea hivyo nikashindwa kujua shida ni nini na afanye nini ili hali...
HAPANA shaka kuwa wanawake ni moja ya makundi muhimu katika jamii yetu. Mwanamke ni mama, na ndiye kiumbe pekee ambaye hufanya kazi ya kuleta uhai duniani.
Lakini mwanamke huyu hivi sasa yu...
Mke wangu ni mjamzito na yupo hatua za mwisho Nurse alimwambia atajifungua tareh 10 hadi leo tareh 12 kitu ni bila bila sasa leo ananiambia kuna viuchafu kidogo huwa vinamtoka tena anadai tokea...
UPUNGUFU WA DAMU KIPINDI CHA UJAUZITO (ANAEMIA IN PREGNACY)
Upungufu wa damu (anaemia) hutafsiriwa kama kupungua kwa kiwango cha hemoglobin katika damu damu chini ya kiwango kinachokubalika...
Habari mkuu,
Nimebahatika kupata mtoto wa kike mrembo kweli kweli, lakini mpaka Sasa ana miezi 10 lkn ukimwangalia ni kama anamiezi 5.
Bado hajakaza kukaa vizuri, akikaa kwa muda anaanguka...
Kulegea kwa misuli ya kibofu na kusababisha kushindwa kuzuia mkojo
Hupelekea kushindwa kutoa mkojo wote
Husababisha UTI, kutokana na bakteria wanaojitengeneza kwenye mkojo
Husababisha maumivu...
Habari wana jf,
Naomba msaada wa dawa ya kutibu vidonda vimejitokeza kwenye ulimi kwa sasa vina wiki 3 nimetumia dawa ya amplicox nikapata nafuu ila vikarudi tena, vinauma sana ukinywa chai au...
Mwanamke wa Afrika Kusini , Gosiame Thamara Sithole amejifungua watoto 10 na kuvunja rekodi ya kuzaa watoto wengi.
Mara nyingi huwa ni matokeo ya kufanya tiba ya uzazi - lakini wapenzi hawa...
Ndugu zangu nawasalimu nyote.
Wiki mbili zilizopita nilikutana na mke wangu kwa tendo la ndoa na tukatumia kondomu kama kinga kuzuia ujauzito.
Toka tulipotumia Kondomu mke wangu anatokwa na...
Habari za usiku wapendwa Wana jf,
Jaman nasumbuliwa na allergy isiyoisha nimetokwa na vipele baadhi ya sehemu za mwili na vinawasha sana. Nimeenda hosp nikapimwa kweli nikakutwa na allergy ya...
Jamani hapa, ninajisikia kama kufa kabisa, ijumaa nilienda kuweka kambi kwenye pori moja kwa muda wa siku 2, kulikuwepo na mbu sijapata ona, niling'atwa si kawaida kusema kweli haraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.