Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wapendwa msaada wa dawa nzuri na ya uhakika ya mafua. Nimejaribu coldrill hayaponi. Nimechemsha tangawizi,vitunguu saumu na limao lakini bado. Uuuwiii nafwaa msaada plz.
2 Reactions
51 Replies
9K Views
This is an eye-opener for the Thomases questioning the efficacy of the vaccine by: Dr DP Prakash FRCS American Eyecare & Lasik Centre I have been reading about the vaccine [emoji382] in almost...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Hodi hodi huku ndani wakuu, Nina msaada wa kiafya au wa saikolojia, ila natanaguliza shukrani kwa Muumba maana sio mgonjwa ila pia binadamu bila afyaa njema anakua na wakati mgumu sana...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari za muda wandugu na poleni kwa majukumu ya kila siku, nikiwa kama ndugu rafiki au jamaa pengine yaweza kuwa msaada kwa ndugu yangu huyu. Matatizo ya kutokwa na damu puani hutokea tu punde...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Kuona maluweluwe kisha kupoteza fahamu Kuanguka na kutupa miguu au mikono Kukaza mdomo, kujing’ata na kutoa povu Kutokwa na haja ndogo au kubwa MUHIMU: Ukiona moja ya dalili hizi nenda haraka...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kamati ya Bunge masuala ya Afya iliypkaa dodoma hivi karibuni , kupitia mbunge wake , ambaye pia ni daktari, imesema tiba ya nguvu za kiume ni vyakula na si madaewa, alkasusu, wala mengineyp...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Je, unapenda kuishi maisha marefu? Kwa ujumla, hakuna mtu asiyetaka kuishi miaka mingi na kuwa na afya njema. Wanasayansi na wataalamu mbalimbali wamethibitisha kuwa ukizingatia mambo yafuatayo...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Ugonjwa wa figo Figo ni ogani inayoshirikiana na moyo. Kuathirika kwake kuna athari kubwa kwa mfumo wa damu na mapigo ya moyo. Magonjwa sugu ya figo hutokea pale ogani hiyo inapopoteza uwezo wa...
4 Reactions
39 Replies
10K Views
Wadau nina tatizo la kupoteza msisimko ninapovaa mpira kuanzia bao la pili. Bao la kwanza ninaenda bila shida, ila bao la pili na kuendelea nikivaa mpira msisimko huwa unapotea nikizubaa kupachika.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Utafiti umebaini kuwa matumizi ya Paracetamol kwa siku 7 unapunguza uzalishaji wa homoni za kiume na uwezo wa watoto mvulana kuzalisha baadaye. Wanawake wajawazito wanapaswa kutahadhari zaidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona huu mjadala huko jamuhuri ya Facebook wakibishana juu ya njia asilia kurudisha uke wa mwanamke aliyetoka kujifungua. Mabishano ni makubwa wengine wakidai aoshe uke na maji baridi kila...
1 Reactions
42 Replies
24K Views
Yaani sijajua kama ni ugonjwa au ni hulka au ni tabia ya mtu lakini kinachonisumbua ni hicho yaani nikipiga mihayo tuu macho yanamwaga machozi hadi natoa kitambaa kabisa nafuta kama nimelia hivi...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
https://www.directorstalkinterviews.com/astrazenecas-tagrisso-approved-in-eu-in-early-lung-cancer/412993871
0 Reactions
16 Replies
1K Views
  • Closed
Kwikwi hutokana na kushtuka na kusinyaa kwa ghafla kwa misuli mikuu ya upumuaji (diaphragm) ambako hujirudia rudia na kusababisha hewa kuingia kwa kasi kwenye mapafu. Kwikwi sio ugonjwa; kwikwi...
3 Reactions
2 Replies
6K Views
I'm fine now thank you. It was nothing serious. Regards.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wananzengo Ni huduma gani ya kwanza anayotakiwa kupewa mtu aliyepaliwa?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Wakuu muu hali gani naomba kujua kinachosababisha mkanda wa jeshi na indicator zake pia madhara yake na kami huu ugongwa una tiba...
2 Reactions
309 Replies
167K Views
Habari wana JF, Recently kumetokea ugonjwa wa ngozi haswa kwa maeneo ya Dar na Moro, ambapo mwili huwasha na kutoa vipelepele ambavyo hutoa kama maji maji hivi na hali hii hutokea kwa wakubw na...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari za jioni? Mimi ni kijana wa miaka 32 kuna tatizo kwa kweli limekuwa likinikosesha raha sana, nimeona nikilileta hapa jamvini ninaweza kupata suluhisho. Kama nilivyoainisha hapo juu...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Ninawasalimu katika jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania na kazi iendelee. Tafadhali ninaomba msaada ninatatizo la kuumwa kichwa sana hasa kuanzia muda wa mchana kichwa kinauma sana hasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom