Sabuni pia zinasemekana kuwa na kemikali zinazoathiri mbegu za wanaume
Kemikali zinazopatikana katika baadhi ya bidhaa ambazo hutumiwa kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta...
Habari wakuu,
Ninasumbuliwa na macho, ni hospital gani ya private naweza pata daktari mzuri wa macho siku ya leo?
Msaada wenu kwa anayefahamu tafadhali.
Salaam JF Doctors
Wakuu hapa nilipo sijalala nafikicha tu pua. Nina allergy kali ya baridi, manukato na Vumbi. Kibaya zaidi tatizo limewakumba hadi watoto.
Kila wakati ni Chafya na kufikicha tu...
Nawauliza wajuzi watujuze kuhusu huu upepo unaojaa ndani ya uke wakati wa ngono huwa unasababishwa na nini?
Nahitaji na suluhu yake maana huwa unaharibu raha yote ya kufanya mapenzi.
Amani iwe nanyi wakuuu.
Mimi napenda kujifunza vitu vipya kupitia kwenu wadau.Nimekuwa nikiwaza sana kuhusu hili ila sijawahi kuuliza.
Pindi mtu umezapa dawa ya aina yoyote ile haushauriwi...
Iwapo shinikizo la damu liko juu sana(zaidi ya 200/120mm /Hg)
Shinikizo la damu la juu sana hata baada ya matibabu kuzingatiwa
Kushindwa kuona kwa sababu ya shinikizo la damu
Kuwepo kwa protini...
Jaman nipeni ushauri me nasumbuliwa na kichwa huwa kinauma upande mmoja sana na nikipima typhod hamna malaria hamna na hata damu haijazid na huwa situmii kachumbali wa chakula chabarid wala...
Habari wadau, nina tatizo la tumbo linatoa mngurumo ni kwa muda mrefu sana. Nimekwenda hospital nyingi na kuonana na madaktari wengi pamoja na kutumia madawa mbalimbali lakini sikuweza kupata...
Habari madaktari na wazoefu...
Nina mwanangu (mtoto wangu) hapa ambaye mpaka hivi leo naandika ana umri wa miezi mitatu na siku nne
Mtoto huyo juzijuzi hapa akawa anaharisha sana na mama yake...
Salaam wakuu.
Naombeni msaada: tuna dada yetu anatakiwa kukatwa mguu anaumwa kisukari. Sasa hatuna mtu yeyote tunayemjua Muhimbili, tumepata dokta mmoja kasema laki 4, sjajua kama ni sawa.
Kama...
Bado sijapata jibu maana kuna wakati naamua kutolala ili nijue ni muda gani mida ya usiku ndio mdomo unaanza kutoa harufu. Mwenye uzoefu na hili atueleze mdomo unaanza kunuka sangapi usiku.
Wadau kwa nini ukitumia kondomu, ukipiga bao la kwanza huwa jamaa anakufa tena huenda usipate kabisa hamu ya kurudia tena, nini kinasababisha, najua wahanga tuko wengi.
Chakula tunachukula kina uhusiano mkubwa na hali zetu za kupenda au kutopenda kufanya mapenzi. Kiujumla chakula chenye virutubisho vya kuusaidia moyo na mishipa ya damu kufanya kazi zao vizuri...
Bila shaka wazima wa afya. Kama wiki moja imepita mke wangu amekuwa anaugulia maumivu ya tumbo, Hali hiyo baada ya kuzidi leo tumeenda hospital na baada ya vipimo imeonekana ana Mimba na imetunga...
Hy Doctors..!!
natumaini kuwa mko poa kabisa na mnaendelea vizuri kuisongesha hii Swaumu.
Bila kupoteza mda All doctors napenda kunielezea mechanism nzima about ejaculation process for men...
"Nataka kutumia kilainishi wakati wa sex nitakapohitaji kumpa mpenzi wangu mimba, lakini nitumie ipi"
Swali kama hili wengi hujiuliza inapofika hatma na wakati wa kutafuta mtoto unapowadia. Na...
Inatokea mara kwa mara, nawasha sehemu yoyote ya mwili (ngozi) nikikuna nahumuka, then after few minutes km 30 na kuendelea panakuwa sawa. Binafsi nimekuwa nikihisi labda ni mzio.
Karibu.
Utafiti uliowasilishwa katika kikao cha kisayansi cha Chuo Kikuu cha Cardiology cha Marekani uligundua kuwa watu waliolala masaa 6-7 usiku walikuwa na uwezekano mdogo zaidi wa kupata mshtuko wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.