Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Amani ya Mungu iwenanyi wapendwa, Nimewiwa kuandika makala hii nikitaka kujua taratibu na hatua/taratibu za kufuata kiserikali. ili niweze kuwa na kliniki ya kutoa matibau ya mitishamba au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila...
49 Reactions
973 Replies
131K Views
Wakuu, mtoto wa miezi minne anatakiwa anywe at least kiasi gani cha ujazo wa maziwa ya mama kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tisa mchana. Tunatumia chuchu za watoto
1 Reactions
14 Replies
6K Views
  • Closed
Fanya hivi kumsaidia mwanao kupata usingizi mwanana. Pale unapomuona mwanao amelala kamwe hutaacha kutafakari uzuri wake na kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake! Hata hivyo watoto wengi huwa na...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
But don’t over do it beyond your ability.
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Hivi kupatwa na kizunguzungu wakati wa kuamka kutoka ulipokuwa umekaaa hii inasababishwa na nini? Na kiafya shida ni nini na nini madhara yake.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habarin wana jukwaa kwa siku za hivi karibuni nmekua ninapo fanya mapenzi kwa kutumia staili ya kuinama baada ya dakika kadhaa ninakua ninatoa sauti kama nnajamba lakini sijambi hii inapelekea...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu, mimi ni mrefu wa sentimeta 183, awali nilipima nikawa na kg 104. Uzito huo ulinitisha nikaamua kuanza mazoezi na kubadili life style. Nimeacha kutumia soda, maana hapo kabla kila siku...
4 Reactions
65 Replies
18K Views
Habari za muda huu. Napata maumivu sana ninapovuta hewa ndani ( Breath in) kuna maumivu kama kichomi nayapata kwa upande wa mgongoni lakini ni kwa ndani nadhani ni mbavuni upande wa kulia...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Habar ya wakati huu wadau wa Jf na segment hii ya DOCTOR........naomba kuelimishwa juu ya hili: Kwa kipindi cha miez mitatu ss nimekuwa na kazi nyingi sana kiasi kwamba muda wangu wa kulala...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu nna swali linanisumbua sana kuhusu kisukari. Nmefuatilia saana na kusoma kuhusu huu ugonjwa, lakini bado sijapata kujua kwanini wagongwa wengi wa kisukari huishia kukatwa vidole vya miguu...
2 Reactions
33 Replies
10K Views
Wakuu habari zenu, naombeni msaada nimepima malaria, typhoid, UTI vyote cna ila mgongo unauma Sana hasa sehemu ya Kati kuja juu kwenye mabega...shida inaweza kua nn zaid? Na je nikifanyiwa massage...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za muda huu ndugu zangu Wana jf, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, nina tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu sasa (takriban 9-10 years) yaani uume umelegea sana sana na hauwezi...
8 Reactions
39 Replies
11K Views
Wakuu salama hapa, Tangu mwezi wa 1 mwanzoni nilijiskia hali fulani ya kuumwa kichwa nikapima magonjwa mbalimbali hakuna tatizo. Mdogo wangu akanishauri nipime presha kweli nikakuta nayo ipo...
2 Reactions
41 Replies
15K Views
Habari wanaJF Nimesumbuliwa sana na minyoo mwaka jana. Hadi kuja kugundua kuwa ni minyoo, ni baada ya kuwa napata kichefuchefu mara kwa mara baada ya kula au kabla ya kula, najikuna sana sehemu...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
  • Closed
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuhusu kufanya mapenzi au tendo la ndoa kama ni salama ama si salama katika kipindi cha ujauzito. Makala hii fupi imelenga kukufahamisha faida za kufanya mapenzi...
4 Reactions
2 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu?kama swali linavyojieleza hapo juu kumekuwa na Imani kwamba mtoto mchanga kitovu kisiangukie kwenye uume wake kwani itasabisha uume wake kutodinda je ni kweli au Imani tu...
4 Reactions
13 Replies
5K Views
Jaman tumbo langu linaunguruma sana, Hasa nikiwa nimelala kama kupumzika. NI DALILI YA NINI? AU NI UGONJWA GANI jaman? Msaada plz.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu wa afya habari? Niende kwenye Mada moja kwa moja... Inasemekana kitovu cha mtoto wa kiume kikidondokea Kwenye Uume kwa mtoto wa Kiume kuwa Atakuwa Hazai,Hawezi zalisha Au kuwa Hanithi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom