Jamani nina miezi kaadhaa naangaika na tatizo la kuvimba upande wa jicho la kushoto mpaka mashavuni, nilipomuona daktari awali aliniandikia dawa hizi Celestamine na gluslovin but still tatizo...
Habar zenu wakuu.Nina shida ya mafua kwa siku tatu sasa nimejaribu kupiga nyungu ila wapi,Nasikia vitunguu swaumu vinasaidia ila sijui namna ya kuvitumia naomba msaada. Au kama kuna dawa yeyote ya...
Njia tano za asili za kuondokana na miguu kuwaka moto
Huu ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana na mara nyingi humfamnya mtu mwenye tatizo hilo kushindwa kusinzia japo anahisi kusinzia.
Miguu...
Mei 24 kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Ugonjwa wa Skizofrenia (World Schizophrenia Day). Huu ni ugonjwa unaoathiri fikra, hisia na kumfanya mtu kushindwa kujitambua vizuri.
Hakuna chanzo...
Wataalam habari za Muda huu?
Naomba msaada wa elimu katika hili.
Baada ya kuishi na mke wangu kwa muda wa miaka mitatu Sasa bila kupata hata dalili yoyote ya mimba maana hata period yenyewe...
Mimi ni mmoja wa watu wanaoishi kwenye ndoa. Nina jambo ninataka kushirikiana nanyi. Je ni vibaya au ni vizuri kwa mtu kuchukua kufuli/chupi ya mkewe au mke kuchukua ya mumewe na kuinusa kila...
Habari ndugu wanajukwaa,
Nauliza ukiachilia mbali kuvumilia mpaka muda fulani vipoe na usiwashwe au kupaka mchanga majivu na mbinu nyingine za kawaida je, kuna dawa ya vitu vinavyowasha kwa mfano...
Habari naomba huu uzi tuelimishane kuhuusu ukosefu wa mbegu za kiume na kutosimamisha vizuri, kunaweza leta ukosefu wa kupata mtoto kwa Wanaume.
Leo kuna Rafiki yangu kaenda Kwenye herbal Clinic...
Katika mada yetu ya leo tutalijadili tatizo la kukusa hedhi ambalo kitaalamu huitwa amenorrhea. Mwanamke anakuwa na tatizo hilo pale ambapo anakosa hedhi kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo, au...
Habari wakuu na madaktari wa hili jukwaa.
Nimepata changamoto ambayo imebidi nije wajuzi mniambie what could be wrong. Few month ago kama miezi miwili hivi nilianza kuwasha juu ya ngozi kifuani...
Habari wapendwa,
Ebu nipeni ujasiri jamani! Yaani naogopa vibaya mno kwenda "ANGAZA".
Nikiwaza kwenda huko tu tumbo linauma naahirisha siendi tena!
Tatizo gani hili nishaurini basi namna ya...
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada wa kidaktari, mimi mwana Jf mwenzenu ninatatizo la kiafya linalonipelekea kuhisi kwamba mwili wangu hauko timilifu kiutendaji, yaani mfumo wa fahamu unafanyakazi...
Habari, nina shida ya mawe kwenye Nyongo. Nimejaribu kumuona Daktari anashauri nifanyiwe operation ya kutolewa nyongo yote.
So naombeni ushauri waliowahi kupitia hayo mambo huwa wanaishi kwa muda...
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua...
Gharama za upimaji wa vinasaba kwa Tanzania ni shilingi laki 1 kwa sampuli ya mtu mmoja.
Hii inamaanisha kuwa kwa sampuli za watu 3, yaani baba, mama na mtoto gharama itakuwa jumla ya shilingi...
Tafiti zimebainisha kuwa mtu anashauriwa kutumia maganda ya ndimu kama ambavyo anatumia juisi ya limao kwani maganda hayo yanavirutubisho muhimu sana katika mwili wa binadamu hasa katika kupambana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.