Naombeni msaada ndugu zanguni.
Kila nikifanya mapenzi na mchumba wangu ,baada ya siku moja au mbili mbele kunauchafu unaanza kumtoka ukeni,akienda hospitali anaambiwa anafangasi anapewa ant...
Je, unasumbuliwa na presha! Kisukari! Uchovu! Au huna hamu na tendo la ndoa!!
Alkhasusi ni kinywaji kama ilivyo chai inatengenezwa kwa muunganiko wa viungo tofauti
Alkhasusi itakutibu kabisa...
Wakuu Habari Zenu?
Naomba kufahamu madhara ya kutumia kondomu hizi maana wengi tunatumia kwaajili ya kulinda afya zetu dhidi ya gonjwa lisilokuwa na tiba zaidi ya kinga, Je kuna madhara yoyote...
Habari wana jamvi, mimi nina ujauzito wa miezi miwili toka nimegundua ni mjamzito nakwenda haja kubwa kuliko kawaida yangu na choo kinakuwa cha rangi nyeusi je tatizo ni nini?
Mboga za majani...
Habari wakuu? Nimeambatanisha picha hapa chini,kwa sasa nipo mbali na hospital kubwa nilitaka kujua kwanza kwa sasa nina miezi nane ,nywele hazioti sehemu moja inabaki kama kishilingi hivi.
Napata maumivu upande wa kushoto wa kifua (moyo) lalkini yanakuwa ya aina ya kichomi sasa natak kujua yanasabibishwa na nn na linaweza kuwa ni tatizo kubwa??
Habarini za jioni,
Poleni na majukumu na mihangaiko ya maisha ,naomba nirudi kwenye swali langu, naomba kuuliza kuna madhara yeyote kiafya kucheua chakula punde baada ya kula wastani baada ya...
Wana Jamii,
Nina tatizo la kucheua mara kwa mara. Na haswa pale ninapotoka kula naweza kupata tatizo hilo hata kwa masaa matatu. Nilichogundua hadi sasa ni kuwa chakula ninachokula hakisagiki...
Ndugu naomba Msaada wenu nahitaji kujua kama kuna huduma ya kumsaidia Mjamzito kuzuia kutapika maana kuna dada hapa Mimba Toka inamwezi mmoja mpaka ameenda kujifungua yeye kila Siku na kila baada...
Kuna Mtaalam Mmoja wa Masuala ya Lishe nimemsikia mahala akisema hili ( haya ) huku akihimiza mno kuwa tunapoenda Kulala Usiku ndiyo tujitahidi tuwe tunajamba sana ( mno ) akisema kuwa Kiafya kwa...
Kutoka kwa mimba changa ni nini?
Miscarriage au kutoka kwa mimba changa ni kupoteza ujauzito kabla haujafikia wiki ya 20. Jina la kitaalamu kwa upotevu huu wa ujamzito mchanga ni “Spontaneous...
Wakuu habarini za Asubuhi nna imani muwazima wa afya,
Mada kama inavyosomeka inajieleza. Nimekua nikisumbuliwa na maumiv ya kiuno ad nawaza inakuaje na nn tatzo nakumbuka kimeanza kama mwez...
Habari wana JF!
Ninahitaji msaada wa kupata dawa ya kivimbisha vidole vya miguuni. Kwa miaka sasa miguu yangu imekuwa na sugu zisizoisha. Ilitokea siku moja nilijigonga na kidole kimoja cha...
Heshima mbele wakulu!
Ninasumbuliwa sana sana na Fungus sa miguuni na Muwasho na michubuko pembeni mwa mapumbu/mapajani.Nimeshatumia dawa kama Daktarin Powder kwa miguu,zinanisaidia sana,lakini...
Habari za huku,
Naomba kwa anaejua madhara ya juisi ya viazi mvirngo anisaidie mana nimekua nikiitumia kama tiba ya vidonda vya tumbo (kuondoa acid tumboni au kupunguza ges) lakin naona kila...
msaada tafadhali nilikua najiskia vibaya homa kali kichwa kuuma kila muda vidonda mdomon nikaenda kituo cha afya kupima nikaambiwa nina typhod 160 nikapewa dozi aina ya sipro tangia nilivyo...
Mwanangu ana umri wa miaka miwili kasoro!
Ana uchu wa samaki kinoma!
Lakini bahati mbaya kila akila samaki anajikuna na kutokwa vipere mwili mzima mithili ya kupitiwa na mdudu washawasha!
Je...
Natumai wazima humu ndani,
Naomba ushauri, mama ana maumivu makali hasa usiku ya mkono mmoja wa kulia mpaka begani.
Tulienda hospitali kupiga xray hakuna tatizo, tulipewa dawa za kuchuwa tu, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.