Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuu nawasalimia, Sikio langu la kushoto limeanza kuwa na shida ya kutosikia vema, wakati fulani nahisi linakuwa linaziba wakati mwingine linafunguka. Naomba kuelekezwa kwa Dar es Salaam naweza...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Poleni na msiba wa taifa waungwana. Niende moja kwa moja kwa mada nilipima hospital Baada ya vipimo nikakutwa na U. T. I nyingi nikaandikiwa sindano za powersafe za mishipa now nimemaliza dozi...
2 Reactions
7 Replies
6K Views
Dear fellow Tanzanians, I would like to present to you a recent paper published in a journal "Medical Hypothesis, Volume 146, January 2021, 110411" with regard to wearing facemasks for preventing...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini za wakati huu. Naombeni msaada. Nina mtoto wangu ana mwaka shida yake kubwa ni kuwa ni mjeuri sana kwenye kunywa dawa yani ukitaka kumnywesha tu dawa anakuwa anajitapisha au ateme yote...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za majukumu wapendwa leo kuna mwenzangu kapatwa na shida, asubui wkati anaamka anasema alisikia sikio linawasha ,Sasa akachukua pamba ya kusafisha masikio akaanza kusafisha,ghafla sikio la...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hellow wadau, Hivi eti ni kweli nanasi ni hatari kwa akina mama wajawazito maana kuna jarida moja la kuaminika niliona limeeleza hayo, sasa nashindwa kuelewa iweje hili tunda iwe hatari, maana...
1 Reactions
40 Replies
88K Views
  • Closed
Kaa aina ya Horseshoe ni wakongwe kuliko dinosaurs. Wamekuwepo kwa takribani miaka milioni 450. Zipo aina nne za kaa hao, aina tatu zinapatikana kwenye bara la Asia huku aina moja ikipatikana...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Closed
Watu hawapaswi kuvaa barakoa wakati wa kufanya mazoezi, kwa kuwa barakoa zinaweza kupunguza uwezo wa kupumua vizuri. Jasho linaweza kufanya barakoa iweze kuwa na unyevu haraka zaidi ambapo...
1 Reactions
3 Replies
912 Views
Habari zenu Ni vyema tukashirikishana mambo ya muhimu kama haya ambayo watu wengi hawayachukulii kwa uzito yaani yanaonekana ni ya kawaida tu lakini unaambiwa ukitaka kujua kuwa mwili wako ni wa...
100 Reactions
216 Replies
30K Views
Njia hii kitaalamu inaitwa “Gastric bypass”. Ni aina ya upasuaji unaosaidia mwili kupungua kwa kubadilisha namna ambavyo tumbo na utumbo mdogo unashughulikia chakula. Upasuaji huu hulifanya tumbo...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Machi 24 kila mwaka ni siku ya kifua kikuu duniani. Madaktari wanaonya kuwa maendeleo yaliyopatikana katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu yamerudi nyuma kwasababu ya janga la virusi vya corona...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Habari za wakati huu wanajukwaa wote mabibi na mabwana,pasipo kupoteza nyakati kuna jambo ninataka nisaidiwe kwa namna moja ama nyingine. Nina mdogo wangu anasumbuliwa na fangasi za mdomoni yaani...
1 Reactions
32 Replies
54K Views
Jamani ndgu zangu mm Nina umri wa miaka 21 naomba msaada Nina tatizo la kutopata hedhi kwa muda mwingi Hali inayonifanya nikose Raha. Kwa mwaka napata Mara 3 tu. Na pindi ikitokea napata maumivu...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Immunity kuwa chini kunasababishwa na nn ukiachana na virus attack? Na je sign ipi itaonyesha kuwa immunity kuwa chini kunasababishwa na virus attack?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Siku za karibuni tulisikia upasuaji uliofanyika Hospitali ya Muhimbili kitengo cha magonjwa ya Moyo kwa mtoto kuweka kifaa cha bandia ndani ya Moyo Wake. Je, Pacemaker ni nini? Moyo umeundwa na...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Naombeni msaada kama kuna yeyote anaejua tiba mbadala ya mawe kwenye nyongo, hospital wanataka kunifanyia operation ya kunitoa nyongo, so alie na utaalam wa wapi naweza pata tiba naomba anisaidie.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini wana jukwaa hapa JF doctors Kwanza napenda kutoa salaam za pole kwa msiba mkubwa uliolikumba taifa letuu.. Niende moja kwa moja kwenye mada husika , Labda naweza kupata msaada kutoka kwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tangu mwaka juzi mwezi wa 7 nilipatwa na tatizo la kuuma mgongo! Lakini niliwahi kupima vidonda vya tumbo wakanambia positive means nina vidonda vya tumbo. Naombeni ushauri nifanye X ray au...
0 Reactions
4 Replies
999 Views
Habari za mchana wakuu? Niende straight to the point. Majuzi niliumwa sana nikalazwa takribani wiki moja kwa maradhi ya tumbo. Nimetoka juzi naona kuna Hali Fulani imenianza naomba msaada wakuu...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Habarini wana JF, Naombeni ushauri mwanangu ana umri wa mwaka na miezi 3 sasa anapenda Sana kunywa maziwa ya ng`ombe lakini anapoyatumia anapata kinyesi chepesi na chenye harufu Sana na rangi ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom