Habari zenu?
Naombeni ushauri kama nilivyotanguliza kwenye kichwa chajieleza hapo juu.
Ndugu yangu alifanyiwa operesheni ya Hernia ambayo ilikuwa inashuka kwenye korodani upande wa kulia.
Sasa...
Nawasalimu wadau, naomba ushauri ndugu yangu anateswa na hali ya kupigwa shoti mwili Mzima, hali hiyo hutokea kama sekunde 30 , baada ya hapo unakuwa na hali ya kusikia kizunguzungu na kichwa...
Kwanza poleni kwa Msiba Mkuu wa kuondokewa na Mh Rais wa awamu ya tano Ndg John Pombe Magufuli. Mwenyenzi Mungu ailaze roho yake panapostahili.
Kwa mujibu wa tangazo la tanzia, Mh Rais amefariki...
Hello wa kuu za muda huu nimeshindwa kupata diagnosis kwenye hii case. Samahani kuna ili tatzo ana vipele vidogo vidogo kwenye corona grands penis ambavyo ni vidogo vidogo sana haviwash, wala...
Raia wa Ghana wanazidi kufa kwa matokeo ya ugonjwa wa Figo.
JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO:
1.Usichelewe kwenda HAJA. Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni...
Taifa letu likiendelea kwa mwendo kama huu tutafika mbali sana.
Katika video hii kuna dawa iliyotengenezwa hapa hapa Tanzania, ni dawa ya kufukiza inayoitwa UDANOL.
Wadau naomba msaada wenu, tumbo langu linaunguruma sana hadi nakosa amani, halafu nikienda haja sipati kitu na pia shemu ya chini ya tumbo na kiuno nahisi maumivu na tumbo linakuwa kama limejaa...
Jua ni muhimu katika uzalishaji wa Homoni ya Melatonin ambayo hudhibiti mzunguko wa usingizi.
Inaelezwa kuwa jinsi mwili wako unavyoweza kuzalisha Melatonin za kutosha ndivyo mfumo wako wa...
Njegere ni mbona yenye virutubisho vingi vinavyofanya kazi ya kujenga mwili, kuboresha ufanyaji kazi wa ini na ni chanzo kizuri cha Protini.
Ulaji wa njegere mara kwa mara husaidia kuboresha...
Habari za jioni wakuu
Nilienda kituo cha afya nikaambiwa jino la juu ukitoa linaweza kusababisha kifo maana limeunganika na mishipa ya fahamu,naomba kujua kama kuna ukweli wa swala hili?
Pia...
Omega 3 ni kirutubisho ambacho kina uwezo mkubwa wa kuboresha afya ya macho, afya ya akili na uwezo wa kutunza kumbukumbu, hupunguza athari ya magonjwa ya moyo, vilevile huboresha afya ya ubongo...
Habari za asubuhi wakuu?
Nianze hivi,
Jana nilitoka Mbeya kuja huku Sumbawanga hadi Nkasi, kiukweli safari ilikuwa na changamoto ya nauli nilivutana sana na makonda hadi kudiliki kunitoa nje ya...
Tangu kuingia kwa Virusi vya Corona wataalamu wa Afya wamepambana kutafuta dawa na chanjo kukabiliana na gonjwa hili hatari bila mafanikio.
Hivi karibuni ziligundulika chanjo mbalimbali ikiwemo...
Kama ambavyo imekuwa ikielezwa na baadhi ya vyombo vya habari, wanawake wapo kwenye nafasi ya kupata msongo wa mawazo kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume. Pia kiwango chao cha kupata matatizo ya...
[emoji1314] KUTOJUA KUJISAFISHA UKE
kwa wale wanawake wote wasiojua kujisafisha vizuri uke tatizo hili lazima likupate
kwahali hiyo basi UKE inatakiwa kuusafisha vizuri na kwa makini na...
Nywele zangu zinanyonyoka utosini na zinakuwa nyepesi...naona dalili za kipara wajomba zangu asilimia 30 wana vipara.
Sasa salon naponyoa kinyozi kanishauri nitumie mafuta ya mnyonyo yanazuia...
Habari wakubwa niende kwenye point moja kwa moja, nina tatizo ambalo lilianziaga mwaka jana ila naona sasaivi linakuwa endelevu. Nikipigwa na jua mida ya asubuhi nasikia mwili unachoma choma kitu...
Usivae barakoa pindi unapokuwa katika shughuli zinazopelekea barakoa kuloa kama kuogelea, ukinyeshewa na mvua ama shughuli yoyote inayohatarisha barakoa kuloana.
Barakoa mbichi husababisha...
Habari Wakuu,, mke wangu amepitiliza siku zake za hedhi isivyokawaida na amepima hana ujauzito, mara ya mwisho aliingia kwenye siku zake tarehe 29 /08/2018 hadi leo tar 03/10/2018 bado hajaona...
Mwanamke anayeingia hedhi mara 2 kwa mwezi (mzunguko wake kuvurugika) je anaweza kupata mimba siku yoyote mwezi unaofuata au unaanza kuesabu vipisiku zake?
Mfano January alingia hedhi tarehe 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.